Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ulaya wamwaga neema Ludewa

DEO Na Mwandishi Wetu, Ludewa
NCHI za Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU) zimetoa Sh bilioni 11.3 kwa ajili ya kusaidia kupeleka umeme kwa wananchi 50,000 wa vijiji 20 vya Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe .
Rais wa Shirika lisilo la kiserikali la ACRACCS la Italia, Nicola Morganti, alikuwa akizungumza katika uzinduzi wa mradi huo ambao ulifanyika katika Kijiji cha Lugarawa jana.
Alisema mradi huo unaendeshwa kwa ushirikiano kati ya Kanisa Katoliki Dayosisi ya Njombe na Serikali kupitia Wakala wa Umeme...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Uchaguzi wa mitaa wamwaga damu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umeingia sura mpya baada ya kusababisha mauaji ya watu wawili katika matukio tofauti yaliyotokea katika Wilaya za Nzega mkoani Tabora na Bukombe mkoani Geita.

 

10 years ago

Mwananchi

Magufuli, Lowassa wamwaga sera

Wakati mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa akikanusha kuwa hana mashamba kama inavyodaiwa, mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesema alikuwa akipokea amri na kutekeleza majukumu, sasa anataka apewe nchi aweze kutoa amri kwa wengine.

 

10 years ago

Mtanzania

CCM, Chadema wamwaga damu

MTZ jmosi new.inddNa Timothy Itembe, Tarime

WANACHAMA na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), juzi walishambuliana kwa ngumi na silaha za jadi na kusababisha kifo cha mtu mmoja na kujeruhi wengine watano.

Tukio hilo lilitokea saa 4.09 asubuhi katika Kijiji cha Mangucha, Wilaya ya Tarime mkoani Mara wakati wanachama na wafuasi wa vyama hivyo wakiwa kwenye shughuli za kampeni za vyama vyao.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi...

 

10 years ago

Habarileo

Maaskofu, mashehe wamwaga machozi Bugando

Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Amani ya Mkoa ya Viongozi wa Dini, Shehe Hassan Kabeke VIONGOZI wa madhehebu ya dini jijini Mwanza, wakiwamo Maaskofu na Mashehe jana walijikuta wakibubujikwa na machozi baada ya kumtembelea Ester John, ambaye amelazwa Hospitali ya Rufaa ya Bugando.

 

11 years ago

Mwananchi

Wavuvi wamwaga sumu Mto Kou

Watu wasiojulikana wamemwaga sumu ya kuulia magugu Mto Kou unaotiririsha maji Ziwa Manyara, wilayani Babati mkoani Manyara na kuhatarisha maisha ya watu, wanyama na samaki wanaotumia maji hayo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mgodi wa Tanzanite One wamwaga ajira 1,280

Kampuni ya Tanzanite One ambayo sasa inamilikiwa na wazawa, imeongeza ajira kwa vijana kutoka 700 hadi 1,280 ili kukabiliana na tatizo hilo nchini.

 

10 years ago

GPL

MAKAHABA WA INDIA WAMWAGA CHOZI AIR PORT

Stori: Waandishi Wetu/Amani
MABINTI 22 wa Kihindi na Kinepal walioingizwa nchini kufanya biashara ya kuuza miili, wamenaswa wakimwaga machozi hadharani kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar wakisikitikia kuwakosa wateja wao Wabongo ambao inadaiwa walikuwa wakiwalipa vizuri. Makahaba hao wakijiandaa kwa ajili ya safari ya kurudi India. Mabinti hao waliingizwa nchini kati ya Mei na Desemba, mwaka jana na...

 

10 years ago

Habarileo

Acacia wamwaga milioni 102/- kwa timu

KAMPUNI ya Uchimbaji wa madini ya dhahabu ya Acacia kupitia Mgodi wake wa Bulyanhulu, juzi ulitoa msaada wa vifaa vya nichezo pamoja na hundi ya Sh milioni 60 kwa timu nne zilizopo katika kata zinazozunguka mgodi huo ikiwemo moja inayoshiriki Ligi Daraja la Pili ngazi ya Taifa.

 

10 years ago

Michuzi

Kuondoka kwa Maximo, wachezaji Yanga wamwaga chozi!

KOCHA wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo amewaaga rasmi leo asubuhi wachezaji wa timu hiyo kwenye mazoezi uwanja wa Sekondari ya Loyola huku akitarajia kuvuna zaidi ya Milioni 20 ndani ya klabu hiyo ikiwa ni mshahara wake wa dola 1200 na yupo kwenye harakati za kudai fidia ya kuvunjiwa mkataba na kuletwa mrithi wake kabla uongozi wa klabu hiyo haujamaliza nae.
Hata hivyo, tayari Maximo ameaga wachezaji wake kwenye mazoezi ya asubuhi leo ambapo mazoezi hayo yaligeuka shubiri baada ya Maximo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani