Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgodi wa Tanzanite One wamwaga ajira 1,280

Kampuni ya Tanzanite One ambayo sasa inamilikiwa na wazawa, imeongeza ajira kwa vijana kutoka 700 hadi 1,280 ili kukabiliana na tatizo hilo nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MGODI WA DHAHABU WA GEITA (GGM), UMEZALISHA AJIRA ZAIDI YA 200

 Mwandishi Wetu, GeitaMGODI wa dhahabu wa geita (GGM), umezalisha ajira zaidi ya 200 kwa jamii baada kuwekeza zaidi ya Sh1.7 Bilioni kupitia programu ya Uchumi na Maendeleo (GEDP) ambayo imelenga kusaidia wakulima na wajasiriamali wadogo na wa kati, wanaoishi jirani na mgodi.


Akizungumza wakati Mkuu wa Mkoa wa Geita, Fatma Mwassa alipotembelea mgodini hapo juzi, Makamu wa Rais wa Anglo Gold Ashanti/GGM, Simon Shayo alisema mpango umelenga kubadili hali za maisha ya wakazi kuwa tofauti na...

 

9 years ago

Vijimambo

Tanzanite: The hidden treasure of Tanzania We arrive at Tanzanite One on a cool September morning.


The global tanzanite market is only worth $50m
The drive from the nearest town, Arusha, was not too long, but the last stretch on a gravel road littered with ditches made the hairs on the back of my neck stand up.
Once we got to the mine, we were given an induction and a quick briefing on the safety rules. After that we were off to the actual shaft, where we were allocated overalls, helmets and yellow plastic boots.
When I saw the contraption that would carry us 460 metres (yards) below ground,...

 

11 years ago

KwanzaJamii

Wanawake 280 wajitokeza kupima vvu kwa hiari

WANAWAKE  280 katika kijiji cha Lundusi kata ya Peramiho wilayani Songea mkoani Ruvuma wanahitaji huduma ya kupimwa kwa hiari virusi vya ukimwi ili kutambua afya zao. Wanawake hao wametoa ombi la kutaka kupimwa  virusi vya UKIMWI kwa hiari baada ya kupata elimu ya kuzuia maambukizi ya virusi vya UKIMWI kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yaliyoendeshwa na shirika la maendeleo ya wanawake Ruvuma RUWODA. Mafunzo hayo yamefanyika kwa wiki moja katika vitongoji vya Ringa,Lundusi,Dodoma na Kiburungi...

 

10 years ago

Bongo5

Ndege ya India iliyokuwa na abiria 280 yashuka futi 5000 angani baada ya rubani kusinzia

Mamlaka ya anga nchini India inachunguza tukio la hatari lililotokea Agosti 8, baada ya ndege ya Jet Airways Boeing 777-300 iliposhuka angani kwa zaidi ya futi 5000 (mita 1500) kutoka kwenye urefu waliopangiwa kuruka baada ya rubani wake kusinzia. Tukio hilo lilitokea wakati ndege hiyo ikifanya safari kutoka Mumbai, India kwenda Brussels, Ubelgiji. Times of […]

 

9 years ago

Mtanzania

CCM, Chadema wamwaga damu

MTZ jmosi new.inddNa Timothy Itembe, Tarime

WANACHAMA na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), juzi walishambuliana kwa ngumi na silaha za jadi na kusababisha kifo cha mtu mmoja na kujeruhi wengine watano.

Tukio hilo lilitokea saa 4.09 asubuhi katika Kijiji cha Mangucha, Wilaya ya Tarime mkoani Mara wakati wanachama na wafuasi wa vyama hivyo wakiwa kwenye shughuli za kampeni za vyama vyao.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli, Lowassa wamwaga sera

Wakati mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa akikanusha kuwa hana mashamba kama inavyodaiwa, mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesema alikuwa akipokea amri na kutekeleza majukumu, sasa anataka apewe nchi aweze kutoa amri kwa wengine.

 

10 years ago

Mtanzania

Ulaya wamwaga neema Ludewa

DEO Na Mwandishi Wetu, Ludewa
NCHI za Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU) zimetoa Sh bilioni 11.3 kwa ajili ya kusaidia kupeleka umeme kwa wananchi 50,000 wa vijiji 20 vya Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe .
Rais wa Shirika lisilo la kiserikali la ACRACCS la Italia, Nicola Morganti, alikuwa akizungumza katika uzinduzi wa mradi huo ambao ulifanyika katika Kijiji cha Lugarawa jana.
Alisema mradi huo unaendeshwa kwa ushirikiano kati ya Kanisa Katoliki Dayosisi ya Njombe na Serikali kupitia Wakala wa Umeme...

 

10 years ago

Mwananchi

Uchaguzi wa mitaa wamwaga damu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umeingia sura mpya baada ya kusababisha mauaji ya watu wawili katika matukio tofauti yaliyotokea katika Wilaya za Nzega mkoani Tabora na Bukombe mkoani Geita.

 

11 years ago

Mwananchi

Wavuvi wamwaga sumu Mto Kou

Watu wasiojulikana wamemwaga sumu ya kuulia magugu Mto Kou unaotiririsha maji Ziwa Manyara, wilayani Babati mkoani Manyara na kuhatarisha maisha ya watu, wanyama na samaki wanaotumia maji hayo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani