Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAGUFULI: NITASIMAMIA UKWELI DAIMA

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli. MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesema atasimamia ukweli, hata kama unauma kwa kusisitiza kwamba hayuko tayari kudanganya umma kwa ajili ya kutaka kupata kura. Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni wilayani Chemba katika Mkoa wa Dodoma jana, Magufuli alisema ingawa kura anazitaka, lazima aseme ukweli hata kama unauma. Msimamo huo aliutoa wakati akizungumzia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Nitasimamia ukweli daima — Magufuli

MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesema atasimamia ukweli, hata kama unauma kwa kusisitiza kwamba hayuko tayari kudanganya umma kwa ajili ya kutaka kupata kura.

 

9 years ago

Michuzi

NITASIMAMIA SHERIA KWA KUWAWAJIBISHA WATAKAO PINDISHA SHERIA KWA MANUFAA YAO-DKT MAGUFULI

 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli(katikati) akiwanadi Mbunge wa Handeni Mjini Dk. Abdallah Kigoda (kulia) na Mgombea wa Ubunge Jimbo la Handeni Vijijini Ndugu Mboni Mhita kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Kigoda mjini Handeni.
Wakati kampeni za kuwania Urais,Ubunge na Udiwani zikidizi kushika kasi nchini,Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli,amesema atasimamia utawala wa sheria kwa kuwawajibisha wale...

 

9 years ago

Vijimambo

Ahadi ya zahanati za Magufuli ukweli huu.

Ni wakati wa kampeni na ni wakati wa kila mgombea kutoa ahadi kwa wapigakura kuhusu mambo atakayoyapa kipaumbele katika miaka mitano endapo atapata ridhaa ya wananchi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.

Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, katika mikutano yake ya kampeni, ameahidi kujenga zahanati katika kila kijiji nchini, kituo cha afya katika kila kata, hospitali kila wilaya na hospitali ya rufaa kila mkoa, endapo atapata ridhaa ya kuwa rais wa awamu ya tano,...

 

9 years ago

Mwananchi

UKWELI UTAKUWEKA HURU : Dawa ya Zanzibar ni Rais Magufuli kukubali kufanya kazi na Maalim Seif

Kwa kawaida katika maisha ya kila siku kiburi na jeuri havimsaidii mwanadamu. Nimesoma kwenye magazeti habari inayogusa maisha ya Watanzania wengi.

 

11 years ago

Mwananchi

Lembeli: Nitasimamia ninachoamini bila hofu ya kushughulikiwa

>Uamuzi wa kupiga kura umepita kwa makubaliano ya kupiga kura mseto utakaoruhusu mjumbe kupiga kura kwa aina anayoitaka; kupiga kura ya wazi au ya siri.

 

10 years ago

Mwananchi

Bosi mpya NMG: Nitasimamia weledi na uhuru wa habari

Dar es Salaam. Ofisa Mtendaji Mkuu mpya wa kampuni ya habari ya Nation Media Group (NMG), Joe Muganda ameahidi kusimamia kikamilifu weledi na uhuru wa vyombo vya habari vya kampuni hiyo, ambavyo ni pamoja na magazeti ya The Citizen, Mwananchi na Mwanaspoti yanayozalishwa na Mwananchi Communication Limited.

 

5 years ago

Michuzi

TUSIMAME NA RAIS MAGUFULI, TUSIMAME NA UKWELI

Na Emmanuel Shilatu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli amuapisha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi)  kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Mei 03, 2020. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba anachukua nafasi ya Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga aliyefariki dunia tarehe 01 Mei, 2020.

Kwenye hotuba yake Rais Magufuli ameongea mengi yenye tija ila baadhi ya Watu wanaleta siasa.

Baadhi ya Watu...

 

5 years ago

Michuzi

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania Daima yapongezwa Geita

WASOMAJI wa gazeti la Tanzania Daima mkoani hapa wameupongeza uongozi wa Free Media Ltd kwa kuliwezesha gazeti hili kufika kwa wakati tofauti na awali. Akizungumza na gazeti hili, mkazi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani