Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahakama yaagiza dawa ya Nurofen isiuzwe

Mahakama moja nchini Australia imepiga marufuku uuzaji wa dawa ya kichwa iitwayo Nurofen inayotengenzwa na kampuni ya Reckitt Benckiser

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mahakama yaagiza wanawe Mubarak waachiliwe

Mahakama nchini Misri imeagiza kuachiliwa huru wa wana wawili wa kiume wa rais aliyeng’olewa mamlakani Hosni Mubarak.

 

10 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YAAGIZA Halima MDEE NA WENZAKE KUHUDHURIA KESI YAO INAPOPANGWA KUSIKILIZWA

Mbunge wa Jimbo la Kawe,  Mhe Halima Mdee
Habari na Mwene Said wa Globu ya Jamii  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeagiza Mbunge wa Jimbo la Kawe,  Mhe Halima Mdee (35) na wenzake wawili kufika mahakamani ili iweze kuanza kusikiliza kesi inayowakabili ya kupinga amri halali ya Jeshi la Polisi na kukusanyika isivyo halali kwa lengo la kwenda Ikulu.  Amri hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi Janeth Kaluyenda baada ya upande wa Jamhuri kudai kuwa mshtakiwa wa kwanza Mdee,...

 

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YAMFUTIA MASHTAKA MFANYABIASHARA WA DAWA ZA KULEVYA

 Mfanyabiashara Mussa Mohamed akiingia katika mahaka ya hakimu Mkazi jijini Dar es Salaam leo.
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemfutia mashtaka Mfanyabiashara Mussa Mohamed aliyefikishwa mahakamani hapo leo Juni 23, 2020  akikabiliwa na mashtaka ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroine.
Hatua hiyo imekuja baada ya Wakili wa Serikali, Sylvia Mitanto kudai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Yusto Ruboroga kuwa upande wa mashtaka hauna nia ya kuendelea kumshitaki Mohamed kwa kosa hilo.
Aliomba...

 

10 years ago

GPL

KIGOGO IKULU AZUIA NYUMBA YA JIDE ISIUZWE

Deogratius Mongela na Chande Abdallah KISMATI! Ile nyumba ya nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ iliyopo Mivumoni, Kinondoni jijini Dar es Salaam, iliyowekwa mnadani zaidi ya mwezi mmoja uliopita, imezuiwa kupigwa bei na kigogo mmoja wa ikulu, Risasi Mchanganyiko lina full data. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1OPGuh8 ...

 

10 years ago

Michuzi

NAMNA YA KUOKOA NYUMBA ISIUZWE KWA KUSHINDWA KULIPA MKOPO

Na   Bashir  Yakub.

Wakopaji  nao  wana  haki  zao.  Yapo  mambo  ya  msingi  ambayo  wanapaswa  kuyajua    ili  yawalinde  iwapo  mambo  yamewaendea    vibaya.  Ukweli  ni  kuwa    ni  busara  unapokopa  kulipa deni    lakini    iwapo sababu   za  kibinadamu  zimejitokeza  ambazo  ziko  nje  ya uwezo  wa mkopaji  na  ambazo  kwa  namna  yoyote  hawezi  kuzizuia  basi   ni  vema  mkopaji  awe  na  njia ya  kujiokoa  yeye  pamoja  na  mali  yake.


 Uwepo  wa  sababu  za  kibinadamu  zinazoweza ...

 

9 years ago

Mtanzania

Serikali yaagiza Dk. Mwaka achunguzwe

3Na Veronica Romwald, Dar es Salaam

SERIKALI imemwagiza Mkurugenzi wa Baraza la Tiba Asili Tanzania kumfanyia uchunguzi tabibu Dk. Juma Mwaka ndani ya wiki moja ili kujua iwapo amekidhi vigezo vya kisheria.

Agizo hilo limetolewa Dar es Salaam jana na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamis Kigwangwala baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika kituo cha Fore Plan Clinic kinachosimamiwa na Dk. Mwaka.

Alisema Dk. Mwaka amekuwa akitoa huduma ya matibabu kwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

ISIS yaagiza wanawake wote kukeketwa.

wapiganaji wa ISIS yaagiza wanawake wote kuanzia umri wa miaka 11-46 kukeketwa.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaagiza mafunzo kwa watangazaji

Dk Fenela Mukangara.SERIKALI imeviagiza vyombo vyote vya utangazaji hapa nchini kuhakikisha wafanyakazi wao wanapatiwa mafunzo na kupewa ujuzi wa kufanya kazi kwa uadilifu.

 

11 years ago

CloudsFM

ISIS yaagiza wanawake wote kukeketwa.

Umoja wa Mataifa umeelezea ghadhabu kutokana na Fatwa iliyotolewa na Kundi la wapiganaji wa Kiislamu wa ISIS ya kuwataka wanawake wote waliozidi umri wa miaka 11 kukeketwa.
Afisa wa shirika la umoja wa mataifa nchini Iraq ,Jacqueline Badcock ameonya kuwa agizo hilo la kidini ama Fatwa itawaathiri zaidi ya wanawake milioni nne kati ya umri wa miaka 11-46.

ISIS yaagiza wanawake wote kuanzia umri wa miaka 11-46 kukeketwa.
Bi Badcock alisema kuwa utamaduni huo ni jambo geni sana nchini Iraq na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani