Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAIMARTHA KUWASHTAKI TIMU WEMA

Mtangazaji maarufu nchini, Maimartha Jesse. Gladness Mallya MTANGAZAJI maarufu ambaye siku chache zilizopita amejiunga na Azam Tv, Maimartha Jesse amewafikisha wafuasi wa Wema Sepetu wanaojulikana kwa jina la ‘Team (Timu) Wema’  kwa mwanasheria wake kutokana na kuendelea na tabia yao ya kumtukana kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1fcNbxP ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

CUF watishia kuwashtaki maofisa ZAN-ID

mnyaaNA ARODIA PETER, DODOMA

WABUNGE wa Chama cha Wananchi (CUF), wametishia kuwaburuza mahakamani maofisa wawili wa Vitambulisho vya Ukaazi (ZAN-ID) kwa tuhuma za kuwanyima vitambulisho wananchi zaidi ya 20,000.
Kutokana na hali hiyo, wamesema wananchi hao wamenyimwa haki yao ya kuandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapigakura.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana kwa niaba ya wenzake, Mbunge wa Mkanyageni, Mohamed Habib Mnyaa, aliwataja maofisa hao kuwa ni Ofisa Mdhamini wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mali:Kuwashtaki wazazi wa watoto watoro

Mali imesema inapanga kuwashitaki wazazi ambao wanawasafirisha watoto wao wadogo kwenda Ulaya kama wahamiaji,

 

10 years ago

GPL

MAIMARTHA AMUUMBUA SAJENT

Na Hamida Hassan
Kumekuwa na madai kuwa, mwanadada Husna Sajent ameolewa na msanii mwenzake wa filamu, Salim Ahmed ‘Gabo’ lakini wenyewe wamekuwa wakikanusha! Hata hivyo, juzikati Maimartha Jesse ‘Mai’ alimwaga mchele mbele ya kuku kwa kumuita Husna ‘Mrs Gabo’. Maimartha Jesse ‘Mai’. Mai alifanya hivyo pale alipokuwa akiwatambulisha mastaa waliohudhuria sherehe ya ‘baby...

 

11 years ago

GPL

MATEJA WAMUAMISHA MAIMARTHA

Stori: Hamida Hassan
MTANGAZAJI maaraufu Bongo, Maimartha Jesse amelazimika kuhamisha duka lake lililokuwepo maeneo ya Manyanya-Kinondoni kukwepa vurugu za wabwia unga (mateja). Maimartha Jesse. Maimartha alichukua uamuzi huo mapema mwaka huu kufuatia kukerwa na mateja hao kwa muda mrefu katika duka lake la vipodozi hivyo akaona bora alihamishie maeneo ya Vijana, Kinondoni jijini Dar. “Mwenzagu walizidi sana kurandaranda...

 

9 years ago

GPL

MAIMARTHA ACHOMOLEA SIASA

Mtangazaji Maimartha Jesse. Mwandishi wetu Mtangazaji Maimartha Jesse ameibuka na kusema kuwa yeye kama mtangazaji hawezi kushabikia siasa akiamini siyo sahihi kufungamana na upande wowote ingawa kama Mtanzania atampigia kura yule anayeona anafaa. Akizungumza na Ijumaa, Maimartha alisema kuwa anawashangaa mastaa kugombana kutokana na siasa na kuweka hadharani hisia zao wakati kikawaida hawakupaswa ili kutowagawa mashabiki wa kazi...

 

11 years ago

GPL

MAIMARTHA ATIWA MBARONI

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya Mtangazaji maarufu wa Runinga Bongo, Maimartha Jesse amejikuta akiwekwa nyuma ya nondo kwa madai ya kumtapeli dada mmoja aliyetambulika kwa jina la Zai, mkazi wa Zanzibar. Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, mtangazaji huyo alilipwa pesa ya kianzio cha shughuli ya u-MC visiwani humo mwezi mmoja uliopita lakini akashindwa kwenda bila sababu za msingi.
“Kifupi Maimartha alifanya...

 

11 years ago

GPL

MAIMARTHA AUKARIBISHA UPOFU

Stori: Shakoor Jongo
MWANADADA mtangazaji na mjasiriamali, Maimartha Jesse anaonekana kuukaribisha upofu kufuatia kukithiri kutumia gundi katika kujipachika kope bandia. Maimartha Jesse. Kwa mujibu wa daktari wa Ijumaa, wanawake wanaobandika sana kope bandia wanajiweka kwenye hatari ya kupata upofu ambapo Mai ni miongoni mwao. Katika tukio la hivi karibuni mwanadada huyo alionekana akiwa amejibandika gundi katika harakati ya...

 

10 years ago

GPL

MAIMARTHA: 2014 NIMEVUNA SH. MIL 28

Stori: Laurent Samatta MTANGAZAJI wa runinga Maimartha Jesse, ameweka wazi kuwa pamoja na watu kulalamika kuwa mwaka uliopita ulikuwa mgumu kifedha kwa upande wake amefanikisha kuingiza kiasi cha shilingi milioni 28 ambazo amezipata kupitia kazi zake za kila siku ikiwemo ya kundi lake maarufu la Baikoko. Mtangazaji wa runinga Maimartha Jesse. Maimartha alifunguka mchongo huo wa kudaka kiasi hicho cha pesa baada ya kuzungumza na...

 

10 years ago

GPL

MAIMARTHA ANANGWA MAKALIO YA KICHINA

Na Gladness Mallya
KUTOKANA na kubadilika kimuonekano na kila kukicha makalio kuzidi kuwa makubwa, mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse amenangwa kwamba anatumia dawa za Kichina kuyaongeza ukubwa. Mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse. Tofauti na alivyokuwa zamani, Maimartha kwa sasa anaonekana kuwa na makalio makubwa hali ambayo imewashtua baadhi ya wadau wake wa karibu na kusema kwamba mwanadada huyo anatumia dawa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani