MAINA ATESWA NA PENZI LA ASLAY
![](http://api.ning.com:80/files/iRGkQSu08cuAbqw0UtXz5jl7ci3prfI27BH*dSXf7K9X7JJ2EfTigieo3Rq9xciuzjBNHsigV0x3eSLdTRAV5z1KSMHRvkcb/aslay.jpg)
Stori: Imelda Mtema HISIA! Mrembo aliyetinga hatua ya Tano Bora ya Shindano la Bongo Star Search (EBSS) 2013, Maina Thadei ameibuka na kuelezea hisia zake kuwa anateswa na penzi la staa wa Bongo Fleva, Asilahi Isihaka ‘Aslay’. Mrembo aliyetinga hatua ya Tano Bora ya Shindano la Bongo Star Search (EBSS) 2013, Maina Thadei. Akizungumza na gazeti hili, Maina alisema kuwa ameshindwa kabisa kuzizuia hisia zake kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima30 Jan
Prof. Maina awapa somo wabunge
WABUNGE wameshauriwa kuisoma na kuielewa Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya kabla ya kwenda katika Bunge la Katiba ili kuepuka kuchangia mambo tofauti na yaliyomo kwenye rasimu hiyo. Ushauri huo...
11 years ago
Mwananchi19 Jul
Jaji Maina ‘alilia’ amani na haki
9 years ago
Vijimambo29 Oct
Prof. Maina: Ni hasara kwa nchi.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Petre-29OCT2015.jpg)
Alisema kilichofanywa na Zec kimeteteresha imani ya wananchi kwa tume hiyo kwani Mwenyekiti wake alipaswa kuwachukulia hatua mara moja makamishna waliokiuka sheria na kanuni siku ya kupiga kura.
“Zec ilitakiwa iwe na uwezo wa kukamata watu waliovunja sheria na...
11 years ago
Mwananchi03 Aug
Jaji Maina: Tume iwabane viongozi wasio waadilifu
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Maina Owino ang’atuka Uenyekiti wa CCM tawi la Uingereza
-BI. MARIAM MUNGULA ASIMAMISHWA KAZI KATIBU WA TAWI
Mwenyekiti wa CCM UK Ndugu Maina Ang’iela Owino(pichani) jana ametangaza rasmi nia yake ya kujiuzulu Uongozi wa CCM Tawi la UK baada ya kutumikia toka mwaka 2007.
Ndugu Owino alitoa uamuzi huo wa hiari wakati akifungua rasmi kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Tawi la UK kilichokaa jana Jumamosi tarehe 12/04/2014 katika jiji la Reading, Berkshire, Uingereza.
Ndugu Owino aliwakumbusha wajumbe kuwa awali aliomba kukitumikia Chama kwa muhula...
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-9PIh30vhw6g/VdQ3hcrkGgI/AAAAAAAD3kM/1PjQhK048S0/s72-c/6dc469a90c237810c290a97b05a6d6a0.jpg)
IDDI SANDALY ATOA MSAADA WA COMPUTER SHULE YA SEKONDARi YA KIJIJI CHA MTIBWANI, WILAYA YA MAINA MKOANI TANGA
![](http://3.bp.blogspot.com/-9PIh30vhw6g/VdQ3hcrkGgI/AAAAAAAD3kM/1PjQhK048S0/s640/6dc469a90c237810c290a97b05a6d6a0.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-m_vypyqrjQ4/VdQ3lyznmtI/AAAAAAAD3ls/1H5rkKqBISk/s640/bbe8bddb389b8becb7ce3a3184830c7a.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-ASuG5deT2o4/VdQ3jnMEmkI/AAAAAAAD3lI/kAGw68Tc_j4/s640/9fe096f9977d87d219efb9879ef270e0.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfgzDaIjLDjN5QqMAmfh2ygba6F95FZv85uQLZXbXfeW5hTC-0KkRBGUdy39hfXNHgD5LB7DEc60SAiHM15W*HMs/jb.jpg?width=650)
JB ATESWA NA MAJUNGU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XnAxcylq3iihD*oTzTMA1WzKo6AxGXbsq*BmoeKcVvmurfTt6FvdrN*1qmsqNkHCjQClzHUA3Hs3l0JPq*j9jC-aj1IzVW*B/gfhshj.jpg?width=650)
CATHY ATESWA NA UPWEKE!
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7KfVtj4CX6gOQzLPTBtEOy0GQC1Hq3KaQGLRqLrvWW4zg8Tua5YJOuHYKB4KfBytB8yYrAM1PXgEOCtO*MNE5YCvdlks5Af-/Mrembo.gif?width=650)
MREMBO ATESWA UARABUNI