MAINDA AINGILIA TIMBWILI LA MDOGOWE
Stori: Mwandishi Wetu STAA wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’, Jumapili iliyopita alijikuta akigeuka baunsa wa kujitegemea na kuamulia ugomvi ambao unadaiwa kuwa chanzo chake ni mdogo wa mwigizaji huyo, Rose Peter ‘Muna’. Mtangazaji wa Clouds TV, Castro Dickson. Kwa mujibu wa chanzo makini, kwenye tukio hilo lililotokea katika Hoteli ya Lamada, Ilala jijini Dar, uliibuka ugomvi kati ya mwanamuziki...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLTIMBWILI MSIBANI
11 years ago
GPLTIMBWILI WODINI
11 years ago
GPLTIMBWILI GESTI!
11 years ago
Mwananchi17 Jun
Malinzi aingilia uchaguzi Simba
9 years ago
Mwananchi24 Sep
DC aingilia mgogoro sugu wa maji
11 years ago
GPLMZUNGU AINGILIA PENZI LA WEMA
11 years ago
GPLTIMBWILI LA MWAKA MPYA
9 years ago
Habarileo31 Dec
DC aingilia madai ya vibarua wasambaza umeme
MKUU wa Wilaya ya Arumeru, Wilson Mkambaku ametoa siku 30 kwa kampuni za Angelique International Ltd na East African Electrical Power zinazodaiwa kuwatapeli wafanyakazi wake, kuhakikisha zinalipa Sh milioni 720 wanazodai wafanyakazi hao.
10 years ago
Habarileo04 Jun
Kandoro aingilia kati sakata la mjamzito
SAKATA la unyanyasaji aliofanyiwa mjamzito Judith Komba siku ya kujifungua katika hospitali ya Rufaa kitengo cha wazazi cha Meta, limechukua sura mpya baada ya Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro kuagiza wauguzi waliokuwa zamu siku ya tukio wachukuliwe hatua stahiki.