MAINDA: NAHISI 2014 UTANIFARIJI
![](http://api.ning.com:80/files/DGhaQe0o0DQhy-zLyMBuTQQ*cX*oX4BO4wDsLeC1ju*gB4J6E6IIEriSMnfCG7Z9iEqlJoXWLl6tyd5rXSuF7p0VlZD45zo4/mainda.jpg?width=650)
Stori: Hamida Hassan MWIGIZAJI mkongwe Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amesema anaamini kwa dalili alizoanza kuziona, mwaka huu utakuwa ni wa faraja kwake. Ruth Suka ‘Mainda’. Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni juu ya dira ya mwaka 2014, Mainda alisema mwaka jana aliamua kuokoka baada ya kubaini kuna mambo anamkosea Mungu na imani yake ni kwamba Mungu atamsamehe na kumfungulia milango ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi18 Jan
Nahisi nampenda Prof wangu
10 years ago
BBCSwahili16 Sep
Nahisi wivu Chelsea Manchester:Gerrard
9 years ago
Bongo Movies02 Jan
Wastara: Nahisi Mauti Yapo Karibu Yangu
Soma vizuri ili uelewe vizuri
Naanza kwa kumshukuru mungu wangu anaenipa pumzi ya bule mpka mda huu
Sina budi kusema hya nitakayoyasema kwa ajili mwaka mpya unaonza kesho
Ni miaka 4 na miezi 6 leo imetimia toka furaha yangu ilipoingia dosari
Mungu alinipa mtu wa kunipa furaha couz kilakitu Alhamdulilah nilikuwanacho kulingana na nafasi yangu lakini sikuwa na furaha lakini furaha hiyo aikudumu nakumbuka ilikuwa mwezi 6/ 2011 marehemu sajuki alipoanza kuumwa ndipo furaha ilipoanza kupotea...
9 years ago
Bongo502 Jan
Nahisi mauti yapo karibu yangu – Wastara
![Wastara](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/Wastara-300x194.jpg)
Ikiwa leo ni mwaka wa tatu toka msanii wa filamu, Sajuki Juma afariki dunia, mke wake Wastara Juma ameendelea kupitia mitihani mbalimbali ya maisha hali inayomfanya aombe Watanzania wamuombee dua.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Wastara ameandika.
Naanza kwa kumshukuru mungu wangu anaenipa pumzi ya bule mpaka mda huu. Sina budi kusema haya nitakayoyasema kwa ajili mwaka mpya unaonza. Ni miaka 4 na miezi 6 leo imetimia toka furaha yangu ilipoingia dosari.
Mungu alinipa mtu wa kunipa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BvvAZRNFqnTwDzdDu43J1QrzB3wO0qCCv5TyCHdlZ66sbzjNLf9Lu5Owu5LIudktaPwMk1QmiytZwZK0wwbrUwPpXgpUpkbX/Front.jpg)
MAINDA AGOMBANA KANISANI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/P2Q6K2rcr9EeLqJaZsTv-d62VE70MleGzhEVgVQFl2f0-W-HJXqvJAP99Bmffv976lsWNl2oalDPXNEOHNTYXH2IHgS7oUjX/mainda.jpg?width=650)
MAINDA ASAKA MUME
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*WGU92AGsqV0t6i-5EaNr2xOuo77KOJ1*hjdW0wHsmZRrfyxesKLV-e6lF20B8t0H-XvMIlClFLtfHHFSZYZiUp/maindadogo.jpg?width=650)
MAINDA: BORA NIZAE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*oWdz*jccIObpsGq6W6XfAAbmHyrIx7qvFJZAkWjuQdcJaVaMajwhIXX-BeNZ1u-zt*0q3*hx-wCJpIamlPPNT8/mainda.jpg)
MAINDA AVIKACHA VIMINI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/o1QX7UF1Vt7gmlgEix3Tx*hU8RiqRkjxBTONPKUetJZn7qHyK1H9TXznIUBerAxSnHr*ljHtdIZl7OxCp*I1V7I1ApASZyYk/MAINDA.jpg?width=650)
MAINDA ALILIA MTOTO