Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nahisi mauti yapo karibu yangu – Wastara

Wastara

Ikiwa leo ni mwaka wa tatu toka msanii wa filamu, Sajuki Juma afariki dunia, mke wake Wastara Juma ameendelea kupitia mitihani mbalimbali ya maisha hali inayomfanya aombe Watanzania wamuombee dua.

Wastara

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Wastara ameandika.

Naanza kwa kumshukuru mungu wangu anaenipa pumzi ya bule mpaka mda huu. Sina budi kusema haya nitakayoyasema kwa ajili mwaka mpya unaonza. Ni miaka 4 na miezi 6 leo imetimia toka furaha yangu ilipoingia dosari.

Mungu alinipa mtu wa kunipa...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Wastara: Nahisi Mauti Yapo Karibu Yangu

WASTARA34

Soma vizuri ili uelewe vizuri
Naanza kwa kumshukuru mungu wangu anaenipa pumzi ya bule mpka mda huu
Sina budi kusema hya nitakayoyasema kwa ajili mwaka mpya unaonza kesho
Ni miaka 4 na miezi 6 leo imetimia toka furaha yangu ilipoingia dosari
Mungu alinipa mtu wa kunipa furaha couz kilakitu Alhamdulilah nilikuwanacho kulingana na nafasi yangu lakini sikuwa na furaha lakini furaha hiyo aikudumu nakumbuka ilikuwa mwezi 6/ 2011 marehemu sajuki alipoanza kuumwa ndipo furaha ilipoanza kupotea...

 

10 years ago

GPL

WASTARA: STAREHE YANGU KUBWA NI MAPENZI

Makala : Gladness Mallya NIWASHUKURU wote tulioanza nao makala haya ambayo mwigizaji Wastara Juma amekuwa akifunguka kuhusiana na maisha yake, bila shaka kwa namna moja au nyingine tutakuwa tumejifunza kitu kupitia maisha yake. Mwigizaji wa filamu Bongom, Wastara Juma akipozi. Leo tunamalizia sehemu ya mwisho ya makala haya, tutaona jinsi gani alikutana na aliyekuwa mumewe, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’. Twende...

 

10 years ago

Bongo Movies

Riyama Awataja Mawakala wa Mauti,Wewe Je ni ‘Wakala wa Mauti’?

Staa wa Bongo Movies aliejijengea heshma kwa mashabiki kwa kazi zake, Riyama Ally anakuja na filamu mpya, kupinga mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi‘Albinos’inayokwenda kwa jina la Wakala wa Mauti.

“Hii ni kazi ya mikono yangu namuomba mungu anijalie iwe miongoni mwa kazi bora inshallah amin.....”Riyama alidokeza.

Akionyesha baadhi ya picha za filamu hiyo  mtandaoni Riyama alisema “Hivi ni baadhi ya kipindekipinde cha filamu yangu mpya " Wakala wa Mauti " anae wadhulumu ndugu zetu ma...

 

10 years ago

Bongo5

Wastara: Sajuki aliondoka na nusu ya akili yangu

Muigizaji wa filamu, Wastara Juma Sajuki amesema pengo la mume wake Sajuki halijazibika. Sajuki alifariki January 2, 2013. “02.01.2015 Marehemu mume wangu kipenzi Juma Kilowoko (sajuki)anatimiza miaka 2 tangu atuache tukiwa na majozi tele moyoni mwetu,” ameandika Wastara kwenye Facebook. “Ni ukweli usipoingika ameondoka na nusu ya akili yangu maana sifanyi chochote bila kumfikilia yeye […]

 

11 years ago

Mwananchi

Nahisi nampenda Prof wangu

Pole na majukumu shangazi mkubwa. Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24 sasa. Ninasoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, mwaka wa pili.

 

11 years ago

GPL

MAINDA: NAHISI 2014 UTANIFARIJI

Stori: Hamida Hassan
MWIGIZAJI mkongwe Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amesema anaamini kwa dalili alizoanza kuziona, mwaka huu utakuwa ni wa faraja kwake. Ruth Suka ‘Mainda’. Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni juu ya dira ya mwaka 2014, Mainda alisema mwaka jana aliamua kuokoka baada ya kubaini kuna mambo anamkosea Mungu na imani yake ni kwamba Mungu atamsamehe na kumfungulia milango ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Nahisi wivu Chelsea Manchester:Gerrard

Nahodha wa Liverpool ya England Steven Gerrard amesema anajisikia wivu kuona timu za Chelsea na Manchester United

 

9 years ago

Bongo5

Mwana FA: Sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote (Video)

12292738_1516860355279681_1179389451_n

Pengine hukuwa unalijua hili. Mwana FA hajawahi kuishi na baba yake katika maisha yake yote.

FA ametuambia hilo baada ya kumuuliza tofauti ya malezi aliyoyapata kutoka kwa baba yake na yale anayompa mwanae wa kike, Malikah.

“Mimi sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote,” anasema.

“Nimekuwa naruka ruka sana, mara nakaa kwa shangazi yangu, mara nakaa kwa babu yangu, kwa bibi yangu ndiyo kwetu ilikuwa, kwa shangazi yangu mwingine hivyo,” ameongeza.

“Experience niliyokuwa naiona ni kwa...

 

9 years ago

Global Publishers

Jini Mauti-17

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Watu wanaposogea kule kulipokuwa na jeneza, kila mmoja alikuwa akimwagiwa unga usoni ili wale waliokuwa na nguvu ya kugundua kwamba yule aliyezikwa hakuwa mtu bali gogo au nyoka mkubwa, waweze kuuona mwili wa marehemu. Endelea…

Ndivyo ilivyokuwa, wakati tunasimama na kuanza kuelekea kwenye jeneza kuaga, tayari wachawi wakakimbia na kuelekea kule, wakajipanga mstari, walikuwa uchi wa mnyama, kila aliyekuwa akilisogelea jeneza lile, alipuliziwa unga fulani usoni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani