Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASTARA: STAREHE YANGU KUBWA NI MAPENZI

Makala : Gladness Mallya NIWASHUKURU wote tulioanza nao makala haya ambayo mwigizaji Wastara Juma amekuwa akifunguka kuhusiana na maisha yake, bila shaka kwa namna moja au nyingine tutakuwa tumejifunza kitu kupitia maisha yake. Mwigizaji wa filamu Bongom, Wastara Juma akipozi. Leo tunamalizia sehemu ya mwisho ya makala haya, tutaona jinsi gani alikutana na aliyekuwa mumewe, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’. Twende...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Wastara: Najuta Starehe Zimeniponza

STAA wa filamu Bongo, Wastara Juma amesema kitu ambacho kimemponza na kumfanya asumbuliwe na mguu wake mara kwa mara ni kujisahau sana katika starehe kwa kuwa hajawahi kujikubali kuwa ni mlemavu.

Wastara

Wastara

Akipiga stori na paparazi wetu Wastara alisema, tangu alipopatwa na tatizo hilo la mguu kwenye fikra zake hakutaka kukubali matokeo, siku zote alipenda aishi kama alivyokuwa mzima ikiwa ni pamoja na kwenda kwenye muziki na kucheza.
“Siyo siri nilijisahau sana, sikupenda kujiona mlemavu,...

 

9 years ago

Global Publishers

Wastara umekiri starehe zimekuponza, badilika kweli!

IMG382KWAKO dada yangu Wastara Juma Kilowoko. Habari za siku? Vipi unaendeleaje na shughuli zako? Bila shaka Mungu anaendelea kukupigania, ni vyema na haki ukaendelea kumtumainia yeye, maana ndiye muweza wa yote.

Ukitaka kujua afya yangu, mimi ni mzima wa afya. Naendelea na harakati zangu kama kawaida. Mungu ni mwema pia, anaendelea kubariki kazi za mikono yangu. Mkono unakwenda kinywani kama kawaida, naendelea kumtumainia yeye!

Dhumuni la barua hii, kwanza ni kukusalimu. Lakini baada ya salamu,...

 

11 years ago

Mwananchi

Naseeb Abdul (Diamond): Starehe lina mchango mkubwa katika maisha yangu

Nyota huyu wa muziki nchini, aliandikwa gazetini kwa mara ya kwanza katika Jarida la Starehe. Huo ulikuwa mwaka 2007 wakati akitambulisha wimbo wake Kamwambie.

 

10 years ago

GPL

WASTARA AZIMIA KISA MAPENZI

Waandishi wetu/Mchanganyiko
DIVA wa filamu nchini, Wastara Juma ambaye kwa sasa anaripotiwa kuwa katika mapenzi na mwigizaji mwenzake, Bond Bin Suleiman anadaiwa kupoteza fahamu mara tu baada ya kupewa taarifa kuwa mpenziwe huyo amepata mtoto wa nne kwa mwanamke mwingine, Risasi Mchanganyiko linakupa stori kamili. DIVA wa filamu nchini, Wastara Juma akiwa hospitali baada ya kuzimia. TUJIUNGE NA CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo...

 

9 years ago

Bongo5

Nahisi mauti yapo karibu yangu – Wastara

Wastara

Ikiwa leo ni mwaka wa tatu toka msanii wa filamu, Sajuki Juma afariki dunia, mke wake Wastara Juma ameendelea kupitia mitihani mbalimbali ya maisha hali inayomfanya aombe Watanzania wamuombee dua.

Wastara

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Wastara ameandika.

Naanza kwa kumshukuru mungu wangu anaenipa pumzi ya bule mpaka mda huu. Sina budi kusema haya nitakayoyasema kwa ajili mwaka mpya unaonza. Ni miaka 4 na miezi 6 leo imetimia toka furaha yangu ilipoingia dosari.

Mungu alinipa mtu wa kunipa...

 

10 years ago

Bongo5

Wastara: Sajuki aliondoka na nusu ya akili yangu

Muigizaji wa filamu, Wastara Juma Sajuki amesema pengo la mume wake Sajuki halijazibika. Sajuki alifariki January 2, 2013. “02.01.2015 Marehemu mume wangu kipenzi Juma Kilowoko (sajuki)anatimiza miaka 2 tangu atuache tukiwa na majozi tele moyoni mwetu,” ameandika Wastara kwenye Facebook. “Ni ukweli usipoingika ameondoka na nusu ya akili yangu maana sifanyi chochote bila kumfikilia yeye […]

 

9 years ago

Bongo Movies

Wastara: Nahisi Mauti Yapo Karibu Yangu

WASTARA34

Soma vizuri ili uelewe vizuri
Naanza kwa kumshukuru mungu wangu anaenipa pumzi ya bule mpka mda huu
Sina budi kusema hya nitakayoyasema kwa ajili mwaka mpya unaonza kesho
Ni miaka 4 na miezi 6 leo imetimia toka furaha yangu ilipoingia dosari
Mungu alinipa mtu wa kunipa furaha couz kilakitu Alhamdulilah nilikuwanacho kulingana na nafasi yangu lakini sikuwa na furaha lakini furaha hiyo aikudumu nakumbuka ilikuwa mwezi 6/ 2011 marehemu sajuki alipoanza kuumwa ndipo furaha ilipoanza kupotea...

 

10 years ago

GPL

BABY MADAHA MAPENZI NI HOBI YANGU

Mwanadada asiyeishiwa matukio Bongo, Baby Madaha. Stori: Gladness Mallya
MWANADADA asiyeishiwa matukio Bongo, Baby Madaha ameibuka na kutoa kali ya mwaka kwamba anapenda mapenzi kuliko kitu kingine chochote duniani. Akichezesha taya na paparazi wetu, Baby Madaha alisema ‘hobi’ yake ni mapenzi japokuwa anapenda muziki lakini haifikii jinsi anavyoyapenda mapenzi kwani yanampumzisha akili yake na kumfurahisha moyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani