Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wastara umekiri starehe zimekuponza, badilika kweli!

IMG382KWAKO dada yangu Wastara Juma Kilowoko. Habari za siku? Vipi unaendeleaje na shughuli zako? Bila shaka Mungu anaendelea kukupigania, ni vyema na haki ukaendelea kumtumainia yeye, maana ndiye muweza wa yote.

Ukitaka kujua afya yangu, mimi ni mzima wa afya. Naendelea na harakati zangu kama kawaida. Mungu ni mwema pia, anaendelea kubariki kazi za mikono yangu. Mkono unakwenda kinywani kama kawaida, naendelea kumtumainia yeye!

Dhumuni la barua hii, kwanza ni kukusalimu. Lakini baada ya salamu,...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Wastara: Najuta Starehe Zimeniponza

STAA wa filamu Bongo, Wastara Juma amesema kitu ambacho kimemponza na kumfanya asumbuliwe na mguu wake mara kwa mara ni kujisahau sana katika starehe kwa kuwa hajawahi kujikubali kuwa ni mlemavu.

Wastara

Wastara

Akipiga stori na paparazi wetu Wastara alisema, tangu alipopatwa na tatizo hilo la mguu kwenye fikra zake hakutaka kukubali matokeo, siku zote alipenda aishi kama alivyokuwa mzima ikiwa ni pamoja na kwenda kwenye muziki na kucheza.
“Siyo siri nilijisahau sana, sikupenda kujiona mlemavu,...

 

10 years ago

GPL

WASTARA: STAREHE YANGU KUBWA NI MAPENZI

Makala : Gladness Mallya NIWASHUKURU wote tulioanza nao makala haya ambayo mwigizaji Wastara Juma amekuwa akifunguka kuhusiana na maisha yake, bila shaka kwa namna moja au nyingine tutakuwa tumejifunza kitu kupitia maisha yake. Mwigizaji wa filamu Bongom, Wastara Juma akipozi. Leo tunamalizia sehemu ya mwisho ya makala haya, tutaona jinsi gani alikutana na aliyekuwa mumewe, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’. Twende...

 

10 years ago

GPL

LUNDENGA; USITAFUTE MCHAWI, BADILIKA! KWAKO

Mkurugenzi wa Lino International Agency, Hashim Lundenga. Bila shaka u-mzima wa afya na unaendelea na michakato yako ya kukufanya mkono uende kinywani. Binafsi mimi ni mzima wa afya, naendelea na majukumu yangu ya kila siku. Miongoni mwa majukumu yangu ni hili la kukuandikia barua, huwa nawaandikia watu tofauti lakini leo nimekukumbuka wewe kama muandaaji wa shindano kubwa la urembo nchini, Miss Tanzania. Dhamana uliyokuwa nayo...

 

10 years ago

GPL

KAKA BADILIKA, UTAFIKIRI TAA YA TRENI

Haya tena wapenzi tumekutana tena kama ilivyo ada anti yenu nimejaa tele kama pishi ya mchele, nakushangaa wewe, eeh wewe unamuangalia nani? Kila siku kulalama eti mke wangu kanichoka, mchezo kama mgao wa umeme. Wan’chekesha tena wan’chekesha sana, jamani tokea lini tembo akaelemewa na mkonga wake au kuku alikufa kwa kutambaliwa na utitiri. Leo nataka nikupashe upashike hata katika mpira kila kukicha wanabadili...

 

10 years ago

Vijimambo

Utajua Marafiki wa kweli na Mburulazzz, Lulu Michael Ndio Rafiki wa Kweli

The King Of All Bongo Social Media Network, Le Mutuz ukipenda muite Mzee wa mabebezz amemshukuru mrembo na mwigizaji lulu kwa kuonyesha kumjali wakati wa matizao na kuwashukia baadhi ya marafiki zake ambao huwa wao pamoja nae wakati wa raha tu, ila wakataki washida wote hupoatea. Le mutuz alifunguka“Kwenye shida ndio utajua marafiki wa kweli na le super gademu mburulazzz ..nilipotangaza my House warming Party yanapiga simu kila dakika kuomba mualiko lakini nimesema Mama yangu anaumwa hamna...

 

10 years ago

Mwananchi

Unaposoma unaweza kutambua taarifa anazoandika mtunzi zilizo kweli na zisizo kweli?

Katika makala yangu yaliyochapishwa gazetini tarehe Julai 6, iliyokuwa na kichwa : “Fahamu namna ya kuboresha uwezo wako wa kusoma,” nilieleza kuwa sharti moja la kusoma vizuri ni kuwa na uwezo wa kusoma huku ukitathmini ukweli wa habari unayosoma. Kuna wasomaji kadhaa wameniomba nieleze jinsi mtu anavyoweza kutathmini anachokisoma.

 

10 years ago

Mwananchi

Muziki ni zaidi ya dansi na Starehe -3

Nimeajiriwa kufanya warsha za muziki, siku tatu mfululizo. Chumba nilichopo kimepambwa picha za rangi nzuri ili kuwapendeza na kuwatuliza watoto. Hawa ni walemavu wa aina mbalimbali. Wapo walio katika vigari vinavyosukumwa , baadhi hawawezi kupumua, wana mirija inayopitia chupa za hewa, wengine wameumia kiasi ambacho ubongo au mioyo yao inaendeshwa kwa betri maalumu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vijana watakiwa kutoendekeza starehe

VIJANA wameshauriwa kutokuendekeza starehe zisizo na maana kwao, bali wajikite kwenye mambo ya msingi na yenye faida katika maisha yao ya baadaye. Rai hiyo imetolewa na jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Habarileo

DC: Wazazi acheni ulevi na starehe

MKUU wa Wilaya ya Mlele mkoani Katavi , Ngemela Lubinga amekemea tabia ya baadhi ya wazazi na walezi wilayani humo, kuendekeza ulevi na starehe huku wakikaidi kuwekeza katika maendeleo ya elimu ya watoto wao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani