Majeshi ya Marekani yashambulia Khorasan
Jeshi la Marekani limefanya mashambulio ya anga dhidi ya wapiganaji wa makundi ya kigaidi katika eneo linaloitwa Khorasan .
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili05 Jul
Majeshi ya muungano yashambulia IS Syria
Ushirikiano unaoongozwa na Marekani, unasema kuwa umefanya mashambulio makubwa ya ndege dhidi ya shina la wapiganaji wa Islamic State, katika mji wa Raqqa, wa Syria.
10 years ago
BBCSwahili19 May
Majeshi ya muungano yashambulia Yemen
Ndege za majeshi ya muungano yakiongozwa na yale ya serikali ya Saudi Arabia, zinarusha makombora makali kuwalenga waasi wahouthi
10 years ago
BBCSwahili24 Feb
Majeshi ya DRC yashambulia ngome ya FDLR
Jeshi la Jamhuri ya Kidemkrasia ya Congo vimeanza kuwashambulia wapiganaji wa FDLR katika mkoa wa Kivu ya Kusini.
11 years ago
BBCSwahili08 Aug
Marekani yashambulia Wanamgambo wa IS
Ndege za Marekani zimeshambulia wanamgambo wa kundi la Islamic state kaskazini mwa Iraq
10 years ago
BBCSwahili17 Aug
Marekani yashambulia wapiganaji wa Iraq
Ndege za kijeshi kutoka Marekani zimetekeleza mashambulizi tisa ya angani dhidi ya wanamgambo wa Islamic State kazkazini mwa Iraq
10 years ago
BBCSwahili26 Mar
Marekani yashambulia Tikrit nchini Iraq
Ndege za kijeshi za Marekani zimeanza kutekeleza mashambulizi makali, katika maeneo yenye wanamgambo wa Islamic State, huko Tikrit
5 years ago
BBCSwahili04 Mar
Marekani yashambulia Taliban kwa makombora saa kadhaa baada ya mkataba
Hii inakuja siku moja baada ya rais Trump kuzungumza na kundi hilo kuhusu juhudi za kuimarisha mchakato wa amani.
9 years ago
BBCSwahili16 Oct
Majeshi ya Marekani kubaki Afghanistan
Marekani imesema imeongeza muda kwa majeshi yake kubaki Afghanistan
11 years ago
BBCSwahili17 Jun
Marekani kutuma majeshi Iraq
Marekani imetangaza kuwa inatuma wanajeshi 275 nchini Iraq kusaidia kulinda maafisa na Ubalozi wake mjini Bagdad.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania