Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAJUMUISHO YA MAJADILIANO YA AWALI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile ambaye ni kiongozi wa ujumbe kutoka Tanzania na anawakilisha kama Gavana Mbadala (Alternate Governor) pamoja na Gavana wa Benki Kuu Prof. Benno Ndulu ambaye pia ni Gavana katika mikutano hii. Katika picha viongozi hao wakiwa wanafanya majumuisho ya majadiliano ya awali na kukubaliana cha kufanya kwa pamoja na viongozi kutoka IMF na WB kuhusiana na hali ya uchumi kwa maana ya sera za fedha na sera za mapato...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAJUMUISHO YA MAJADILIANO YA AWALI KATI YA TANZANIA, BENKI YA DUNIA NA IMF

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile ambaye ni kiongozi wa ujumbe kutoka Tanzania na anawakilisha kama Gavana Mbadala (Alternate Governor) pamoja na Gavana wa Benki Kuu Prof. Benno Ndulu ambaye pia ni Gavana katika mikutano hii. Katika picha viongozi hao wakiwa wanafanya majumuisho ya majadiliano ya awali na kukubaliana cha kufanya kwa pamoja na viongozi kutoka IMF na WB kuhusiana na hali ya uchumi kwa maana ya sera za fedha na sera za mapato na...

 

10 years ago

Michuzi

watoto wa shule ya awali ya Genesisi wapata mafunzo ya awali ya kuzima moto

 Mkaguzi Msaidizi Idd Chanyika wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutoka Mkoa wa Zimamoto Ilala akielekeza watoto kutoka shule ya awali ya GENESIS waliotembelea kituoni hapo jana tarehe 12 Oct, 15 jinsi ya kutumia vazi la kujikinga na sumu pamoja na bacteria hatari.             Mkaguzi Msaidizi Idd Chanyika wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji akielekeza watoto wa shule ya awali GENESIS jinsi ya kukabiliana na moto wa hatua ya awali, mafunzo yaliyofanyika katika kituo cha Zimamoto na Uokoaji Ilala...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AHITIMISHA ZIARA YA MKOA WA MOROGORO, AFANYA MAJUMUISHO

Rais Kikwete akiongoza kikao cha majumuisho baada ya kutembekea Mkoa wa Morogoro. Rais Kikwete akiongea kwenye kikao hicho. Kulia ni Mbunge wa Mvomero na Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akifuatiwa na Mbunge wa Morogoro kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo Mh Innocent…

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete ahitimisha ziara ya mkoa wa Morogoro, afanya majumuisho na watendaji

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mbunge wa Morogoro kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo Mh Innocent Kalogeris  alipowasili katika ukumbi wa shule ya msingi Gairo ya kwenye kikao cha majumuisho na watendaji wa mkoa huo baada ya kuhitimisha ziara yake ya mkoa wa Morogoro. Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Mvomero na Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla Rais Kikwete akiwashukuru wafadhili wa miradi ya afya ya mama na mtoto mkoani Morogoro. Watendaji wa kada...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA FEDHA MHE. SAADA SALUM MKUYA KATIK MKUTANO WA MAJUMUISHO NA IMF, BENKI YA DUNIA WASHINGTON DC MAREKANI

 Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum Mkuya  na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha  na Mlipaji Mkuu wa Serikali  Dr. Servacius Likwelile wakiwa kwenye mkutano wa majumuisho kati yao na maafisa waandamizi wa  Shirika la fedha la Kimataifa  (IMF) mjini Washington DC. Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum Mkuya  akitoa ufafanuzi na majibu kwaswali aliloulizwa na Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya Mashariki Bw.Herve’ Joly kwenye mkutano wa majumuisho kati yao na maafisa waandamizi wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Papa ataka majadiliano na IS

Papa Francis ametaka milango ya majadiliano na kundi la wanamgambo wa dola ya kiislam iwe wazi ,ingawa hali ni mbaya wanakotawala.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mda wa majadiliano na Iran waongezwa

Mataifa sita yenye uwezo mkubwa duniani pamoja na Iran yameongeza kwa miezi mengine minne makubaliano ya mpango wa nuklia wa Iran.

 

11 years ago

Habarileo

Majadiliano Bunge la Katiba yafungwa

KESHOKUTWA Alhamisi ndiyo siku ambayo rasimu ya mwisho inayopendekezwa na Bunge Maalumu la Katiba (BMK), itatolewa hadharani mbele ya Bunge hilo na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Andrew Chenge.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kikwete kuongoza majadiliano Jumatatu

RAIS Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) anatarajia kuongoza mkutano unaozileta pamoja sekta ya umma na binafsi Jumatatu ijayo. Waziri wa Nchi, Ofisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani