MAJUTO ADAI KUSHOBOKEWA NA ‘VIBINTI’
![](http://api.ning.com:80/files/cFSv-yJm2DRnf2KAR*PJqZYSRptwWRSzZwFthP7lpmjmbGaPmsfxo0Ts-8tpiXvMer87EVYb9ed-TDDo9bKRwpbqk7*pYWSD/mzee.jpg?width=650)
Brighton Masalu STAA mkongwe kunako filamu Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amefungukia shutuma anazopewa na mashabiki wake kwa kupenda kuonekana na ‘vibinti’ kuwa wanamshobokea mwenyewe. Staa mkongwe kunako filamu Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’. Akichezesha taya na Amani, Mzee Majuto ambaye kifani ni bingwa wa komedi alisema, kutokana na kazi yake ya uigizaji imemfanya kuzimikiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies24 Jul
Majuto Adai Kushobokewa na ‘Vibinti’
STAA mkongwe kunako filamu Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amefungukia shutuma anazopewa na mashabiki wake kwa kupenda kuonekana na ‘vibinti’ kuwa wanamshobokea mwenyewe.
Akichezesha taya na Amani, Mzee Majuto ambaye kifani ni bingwa wa komedi alisema, kutokana na kazi yake ya uigizaji imemfanya kuzimikiwa haswa na mabinti.
“Sijawahi kumshobokea binti yoyote ila wenyewe ndiyo huwa wananishobokea kutokana na uigizaji wangu,” alisema Mzee Majuto.
Hivi karibuni, Mzee Majuto alidaiwa kuoa...
9 years ago
Bongo521 Oct
Majuto awataka vijana kwenda Hijja, adai nchi itakuwa na amani
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DS3fBDgklorUmdbBzaky6CWN1Ev2K*TXVyWwO49gFEYRkkDToG4aX1p*hbLjHbUH4SaKxJY1ThtR0vpHfKghJjPoN7hdAl6J/mzee.jpg?width=650)
MZEE MAJUTO ATAPELIWA
10 years ago
Bongo Movies31 May
King Majuto Agutuka
Staa mkongwe wa filamu za vichekesho King Majuto ameamua kufanya filamu zake mwenyewe na si zakushirikishwa kama kipindi cha nyuma.
Akizungumza na gazeti la Nipasge wiki hii, Majuto alisema ameamua kuwa anatoa filamu zake baada ya kuona vijana wadogo ambao wameanza kazi za uigizaji hivi karibuni wanafanya kazi za kutengeneza filamu zao wenyewe katika kampuni zao.
Majuto alisema anatafakari mbinu za kujiekea mazingira mazuri kwa ajili ya kutengeneza filamu zake.
“Nimechoka kucheza...
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
Watanzania, majuto ni mjukuu!
UKIWAANGALIA Watanzania wa leo utaona kwenye fikra zao, nyuso zao na hisia zao utaona wazi kabisa kuwa iko kiu ya mabadiliko. Watu wanataka mabadiliko wamechoka na mazoea waliokuwa nayo na ambayo yanaendelea kuwafanya wawe dhalili.
Kila mtu anatamani mambo yaache kuwa na hali ilivyo sasa, anatamani yachukue mkondo mpya na njia mbadala ambayo inaweza kuwa na matumaini. Katika hali hii unatarajia kuwa wao ndiyo wawe chemichemi na chachu ya mbadiliko.
Bahati mbaya kwetu ni kwamba,...
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Majuto: Acheni kutuharibia ulaji
9 years ago
Bongo Movies19 Dec
King Majuto Kuja na Lakuvunda
AMRI Athuman ‘King Majuto’ baada ya kutoka Hija anatarajia kuja na filamu kali ya Lakuvunda ambayo itakuwa ni funga mwaka 2015, sinema hiyo ambayo imetengenezwa katika kiwango cha kimataifa, akiongea FC msemaji wa kampuni ya Splash Entertanment Steve Selenge amesema ni kazi nzuri.
“Filamu ya Lakuvunda imetengenezwa katika kiwango cha hali ya juu sana maana ni kazi ya kufunga mwaka kuanzia ubora wa hadithi production na waigizaji hasa King Majuto amefunika,”anasema Selenge.
Sinema ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-a-FzCyHE-DFGhxbqiAGVJNU0378edKu*iIxc9KmTlUAAoUZaANN62Z8iDm6jUVUSprulhra5vcxuItDmstcdxI4rird404C/majuto.jpg?width=650)
MAJUTO, MSANII WAMIMINIANA MABUSU
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/x93ABI42iFW29as1MN1fUZDtVmEA-aJDHbIPosQqBoANWKwI9oqq10QIvbteGTA*t3w5sXnGv-rJNVjGBsKXeARWQCn3GC*3/makka.jpg?width=650)
MZEE MAJUTO ASIMULIA ALIVYONUSURIKA