Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majuto Adai Kushobokewa na ‘Vibinti’

STAA mkongwe kunako filamu Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amefungukia shutuma anazopewa na mashabiki wake kwa kupenda kuonekana na ‘vibinti’ kuwa wanamshobokea mwenyewe.

Akichezesha taya na Amani, Mzee Majuto ambaye kifani ni bingwa wa komedi alisema, kutokana na kazi yake ya uigizaji imemfanya kuzimikiwa haswa na mabinti.

“Sijawahi kumshobokea binti yoyote ila wenyewe ndiyo huwa wananishobokea kutokana na uigizaji wangu,” alisema Mzee Majuto.

Hivi karibuni, Mzee Majuto alidaiwa kuoa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAJUTO ADAI KUSHOBOKEWA NA ‘VIBINTI’

Brighton Masalu
STAA mkongwe kunako filamu Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amefungukia shutuma anazopewa na mashabiki wake kwa kupenda kuonekana na ‘vibinti’ kuwa wanamshobokea mwenyewe. Staa mkongwe kunako filamu Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’. Akichezesha taya na Amani, Mzee Majuto ambaye kifani ni bingwa wa komedi alisema, kutokana na kazi yake ya uigizaji imemfanya kuzimikiwa...

 

9 years ago

Bongo5

Majuto awataka vijana kwenda Hijja, adai nchi itakuwa na amani

Alhaj King Majuto amewataka vijana kutumia muda wao kwenda Hijja ili kujifunza mambo yatakayosaidia kuleta amani nchini. Majuto ambaye alikuwa Hijja hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa vijana hawana hofu ya Mungu ndio maana wanafanya vitu vya kuhatarisha amani. “Hijja ni muhimu sana, ni nguzo ya tano ya dini ya kiislamu. Kwa wenye uwezo vijana ndio […]

 

10 years ago

GPL

MZEE MAJUTO ATAPELIWA

Chande Abdallah na Deogratius Mongela
CHANGA! Mkongwe kwenye sanaa ya vichekesho Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kutapeliwa shilingi milioni mbili alizopaswa kulipwa kwenye shoo ya Instagram iliyofanyika hivi karibuni katika Viwanja vya Posta, jijini Dar. Mkongwe kwenye sanaa ya vichekesho Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’. Kwa mujibu wa chanzo chetu, wiki moja...

 

10 years ago

Bongo Movies

King Majuto Agutuka

Staa mkongwe wa filamu za vichekesho King Majuto ameamua  kufanya  filamu zake mwenyewe na si zakushirikishwa kama kipindi cha nyuma.

Akizungumza na gazeti la Nipasge wiki hii, Majuto alisema ameamua kuwa anatoa filamu zake baada ya kuona  vijana wadogo ambao wameanza kazi za uigizaji hivi karibuni wanafanya kazi za  kutengeneza  filamu zao wenyewe katika kampuni zao.

Majuto alisema anatafakari mbinu za kujiekea mazingira mazuri kwa ajili ya kutengeneza filamu zake.

“Nimechoka kucheza...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Watanzania, majuto ni mjukuu!

UKIWAANGALIA Watanzania wa leo utaona kwenye fikra zao, nyuso zao na hisia zao utaona wazi kabisa kuwa iko kiu ya mabadiliko. Watu wanataka mabadiliko wamechoka na mazoea waliokuwa nayo na ambayo yanaendelea kuwafanya wawe dhalili.

Kila mtu anatamani mambo yaache kuwa na hali ilivyo sasa, anatamani yachukue mkondo mpya na njia mbadala ambayo inaweza kuwa na matumaini. Katika hali hii unatarajia kuwa wao ndiyo wawe chemichemi na chachu ya mbadiliko.

Bahati mbaya kwetu ni kwamba,...

 

11 years ago

Mwananchi

Majuto: Acheni kutuharibia ulaji

Mwigizaji nguli Amri Athumani (King Majuto),amewajia juu wanaovamia fani ya vichekesho kwa kufanya vitendo alivyosema vinatia kinyaa kuviangalia.

 

9 years ago

Bongo Movies

King Majuto Kuja na Lakuvunda

AMRI Athuman ‘King Majuto’ baada ya kutoka Hija anatarajia kuja na filamu kali ya Lakuvunda ambayo itakuwa ni funga mwaka 2015, sinema hiyo ambayo imetengenezwa katika kiwango cha kimataifa, akiongea FC msemaji wa kampuni ya Splash Entertanment Steve Selenge amesema ni kazi nzuri.

Lakuvunda

“Filamu ya Lakuvunda imetengenezwa katika kiwango cha hali ya juu sana maana ni kazi ya kufunga mwaka kuanzia ubora wa hadithi production na waigizaji hasa King Majuto amefunika,”anasema Selenge.

Sinema ya...

 

10 years ago

GPL

MAJUTO, MSANII WAMIMINIANA MABUSU

Stori: IMELDA MTEMA
MH! Mchekeshaji maarufu Bongo, Amri Athuman ‘King Majuto’ ameibua utata wa aina yake baada ya kunaswa na msanii wa filamu aitwaye Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ wakimiminiana mabusu motomoto. Mchekeshaji maarufu Bongo, Amri Athuman ‘King Majuto’ akipokea busu tata kutoka kwa msanii wa filamu Sabrina Omary ‘Sabby Angel’. Akizungumza na paparazi wetu mara...

 

9 years ago

GPL

MZEE MAJUTO ASIMULIA ALIVYONUSURIKA

Gladness Mallya BAADA ya kutokea vifo vya mahujaji zaidi ya mia saba waliokuwa wakishiriki Hija karibu na mji mtakatifu wa Waislam wa Makka, staa wa filamu za Kibongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto au King Majuto’ amesimulia alivyonusurika kwenye tukio hilo la kukanyagana. Staa wa filamu za Kibongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto au King Majuto’ akiwa na mahujaji wenzie. Akizungumza na gazeti hili mke wa Mzee Majuto, Aisha alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani