Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makinda ya Kiafrika yatakayoitikisa Ulaya

Baada ya kumalizika Fainali za Kombe la dunia huko Brazil, kipyenga kingine kimeshapulizwa barani Ulaya Katika Ligi Kuu mbalimbali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mgawahawa wa kwanza mkubwa wa kiafrika wafunguliwa Ulaya

IMG_1562

Mgeni rasmi Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mh. Dora Msechu (wa tatu kushoto) akiwa na mwenyeji wake Meya wa Trollhattan, Paul Akerlund (wa tatu kulia), Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchini Tanzania, Tagie Daisy Mwakawago (kulia), Mmiliki wa mgahawa unaotoa huduma za chakula cha kitanzania unaofahamika kama “Lunch by Chef Issa” (The house of Tanzanian food) uliopo katika mji wa Trollhattan, Sweden unaomilikiwa na mtanzania Chef Issa Kapande (wa pili...

 

5 years ago

BBCSwahili

Raheem Sterling: Soka ulaya inahitaji meneja wa asili ya KiAfrika

Maendeleo katika mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi yatakuja tu kwenye sekta ya mpira wa miguu pale watu weusi zaidi watapewa nafasi zakuwa mameneja.

 

10 years ago

Vijimambo

RADIO DW-BONN YAMUHOJI KAMANDA RAS MAKUNJA,AZUNGUMUZIA MAFANIKIO NA CHANGA MOTO ZA MUZIKI WA KIAFRIKA BARANI ULAYA



 Bonn,Asubuhi na mapema tu Radio Deutch Welle Idhaa ya Kiswahili inayorusha matangazo yake mjiniBonn,ujerumani, alimwamkia mwanamuziki Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja kiongozi wa bendi maarufu ya dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni.katika mahojianona mtangazaji mahiri Bi.Swaumu Mwasimba wa radio DW na kipindi cha muziki na utamaduniKamanda Ras Makunja anazungumzia mafanikio na changamoto za muziki wa kiafrika barani ulaya.pia amezungumizia jinsi muziki wa kiswahili...

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Raia Mwema

Julius Nyerere, Mmajumui wa Kiafrika

WAKATI fulani mnamo mwaka 1958 Julius Nyerere, wakati huo tayari akiwa ni kiongozi wa chama cha T

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

BBCSwahili

Kupata chakula cha Kiafrika Uingereza

Ughaibuni, huwa ni gharama kwenda hotelini kila siku. Lakini kuna njia nyingine ambazo unaweza kuzitumia kupata chakula cha Kiafrika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Utabibu wa kiafrika ni halali ama haramu ?

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,waganga wa jadi maarufu kama 'wafumu' wanalaumiwa kuwa ni waongo na walaghai je tiba yao ni halali ?

 

10 years ago

Mwananchi

Ongeza mvuto kwa shanga za Kiafrika

Kwa miaka mingi, jamii za Kiafrika zilikuwa na mazoea yaliyojengewa msingi katika mila na utamaduni kupitia ulimbwende wa kunogesha vazi kwa ladha ya shanga.

 

10 years ago

Vijimambo

RIHANNA AKIWA AMETUPIA KITU CHA KIAFRIKA

Fundi wa nguo hii ni Stella Jean ikiwa imeshonwa kwa kitambaa cha kiafrika na  nguo hii inauzwa kwa bei ya Dollar 1,069  lakini sasa hipo kwenye sale ya 40% off unaweza kupata kwa Dollar 641. Habari ndiyo hiyo ukiweza jipinde na wewe maana ndiyo kipindi cha tax hiki ukipata tu jibullet bullets na kitu lichovaa Rihanna kiroho safi.
Stella Jean draws inspiration from vibrant African wax prints to create this multicoloured Barbara dress. It’s cut to a flattering, 1950s-style silhouette, with...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani