Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makunga ageukia ujasiriamali

Ikiwa ni mwezi mmoja tangu astaafu kazi kwenye Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, mmoja wa waanzilishi wa Gazeti la Mwananchi, mwanahabari Theophil Makunga ameweka wazi dhamira yake ya kujikita kwenye ujasiriamali baada ya kuitumikia kampuni hiyo kwa muda usiopungua miaka 15.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WASTARA AGEUKIA UJASIRIAMALI

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya KATIKA kujiongezea vyanzo vya mapato, staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ameamua kujizatiti zaidi kwenye biashara ambapo sasa amefungua sehemu ya kuoshea magari maarufu kama Car Wash iliyopo Tabata, Dar es Salaam. Staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma akiosha moja ya gari lililofika kupata huduma ya uoshaji katika 'Car Wash service station' yake iliyopo Tabata, jijini Dar es Salaam....

 

10 years ago

GPL

DEVOTHA MBAGA AGEUKIA UFUGAJI

Na Imelda Mtema
Staa wa filamu za Kibongo, Devotha Mbaga baada ya kuona filamu zinazingua ameamua kugeukia ufugaji wa ng’ombe ambapo amejichimbia kijijini maeneo ya Chanika jijini Dar. Staa wa filamu za Kibongo, Devotha Mbaga akimnyunyuzia Ng'ombe dawa ya kuulia wadudu. Akichonga na Ijumaa, Devotha alisema kuwa si kama ameacha kabisa sanaa lakini kutokana na muda mwingi kubaini unapotea kwenye filamu ambayo haimlipi...

 

9 years ago

Global Publishers

Mlela ageukia Bongo Fleva

Msanii Yusuph Mlela 'Angelo'

Staa wa Bongo Muvi, Yusuf Mlela.

Suzan kayogela
BAADA ya kuegemea upande wa filamu kwa muda mrefu, hatimaye staa wa Bongo Muvi, Yusuf Mlela ameamua kugeukia Muziki wa Bongo Fleva rasmi ili kutimiza ndoto zake za muda mrefu alizokuwa nazo.

Akistorisha na kona ya Bongo Muvi Mlela alisema kuwa, kabla ya kujikita kwenye uigizaji alikuwa na nia ya kuanza kufanya muziki lakini baadaye alikuja kubadili uamuzi na kufanya filamu ambazo zimemletea heshima kubwa.

“Nimeshatengeneza ngoma yangu ambayo...

 

9 years ago

Mwananchi

Majaliwa ageukia Soko la Kariakoo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki na viongozi wa soko la Kariakoo kukutana naye ofisini kwake Jumatatu ijayo kujadili namna ya kuliendesha soko hilo.

 

9 years ago

Bongo5

Mr Nice ageukia ufugaji wa kuku

Hi

Mr Nice hategemei muziki peke yake kwa sasa. Kuna kitu kingine kikubwa anachokifanya – ufugaji kuku.

Hi

Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Mr Nice amepost picha akiwa kwenye banda la kuku na kuandika:

Sio mpaka niimbe tu ndio nipate hela. Hii pia ni moja kati ya kazi zinazonipa jeuri, some time nakaa kimya kabisa ila sharehe zinaendelea na wengine wanahisi ninabiashara haramu. Napenda kuwamshauri wasanii wenzangu mkishatoka kwenye majukwaa kile mnalichokipata wekezeni kidogo ili msiwe watumwa...

 

11 years ago

GPL

MAINDA AGEUKIA KUIMBA INJILI

MSANII wa sinema Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’  aliyewahi kutamba na filamu za kidunia, sasa ameamua kuimba muziki wa Injili ikiwa ni kumtukuza Mungu na kujiandalia maisha mema ya peponi. Msanii wa sinema Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ Akipiga stori na mwandishi wetu juzi, staa huyo aliyekuwa akiitwa Mwanaidi na kubadili jina baada ya kuokoka, alisema: Vijana siku zote tuna nguvu, tuna muda wa kutosha hivyo...

 

10 years ago

Vijimambo

Aliyetemwa ukuu wa wilaya ageukia ubunge

Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Igunga, Elibariki Kingu.
Dar es Salaam. Siku moja baada ya uteuzi wake kutenguliwa na Rais Jakaya Kikwete, aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Igunga, Elibariki Kingu amesema sasa anageukia ubunge katika Jimbo la Singida Magharibi.Kingu alisema siku nyingi alikuwa na shauku ya kugombea ubunge katika jimbo hilo, kwamba kuondolewa katika wadhifa huo kutampa nafasi ya kujipanga na kuhakikisha anashinda jimbo hilo linaloongozwa na Mohamed Hamisi Missanga (CCM).“Unajua kwa muda...

 

11 years ago

IPPmedia

Kibanda, Makunga acquitted


eTurboNews
Kibanda, Makunga acquitted
IPPmedia
Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam yesterday acquitted former Tanzania Daima Managing Editor Absalom Kibanda and two others of charges of sedition due to lack of sufficient evidence. The accused were acquitted under section 235 of ...
Tanzanian court sets free senior editors free from seditious caseeTurboNews
Court frees editors off sedition hookDaily News
Tanzanian acquits three journalists for seditionGlobalPost

all 4

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani