Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA AWAPA KIPONDO NJEMBA 5!

Stori: DUSTAN SHEKIDELE , Morogoro
ZAMANI kulikuwa na kasumba kwamba wanaume ndiyo huwapiga wanawake lakini hivi karibuni kibao kimegeuka ambapo mama mjasiriamali, aliyetajwa kwa jina moja la Mama Ashura ambaye ni mfanyabiashara wa viazi mviringo, anadaiwa kuwapa kipondo njemba watano kisa deni. Mama Ashura akianzisha varangati hilo. Kwa mujibu wa mashuhuda wetu, timbwili hilo ‘hevi’ lilijiri kwenye banda la...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MKE AMPA KIPONDO MUMEWE

waandishi wetu/mchanganyiko11 UPEPO umegeuka! Imani ya kwamba wanaume ndiyo wamekuwa wakiwapa kipondo wake zao imegeuka, safari hii mwanamke aliyejulikana kwa jina la Naomi Peter akimpa kipondo ‘hevi’ mumewe John Shila mchana kweupe! Naomi Peter akitoa kipondo kwa mumewe. Wawili hao wakazi wa Misheni, jijini Mwanza waliibua timbwili la aina yake ambalo liliwavuta watu wengi chanzo kikiwa ni mwanaume huyo kumkataa...

 

11 years ago

GPL

ASKARI WAMPA KIPONDO DEREVA DALADALA

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
WAKAZI  wa  mjini hapa wamekilaani kitendo cha askari wa kituo kikuu cha polisi baada ya kumpa kipondo na kumkwida hadi kumvua nguo hadharani dereva wa daladala aliyefahamika kwa jina la Bello. Polisi akimpa kichapo dereva daladala. Tukio hilo lililojaza umati wa watu lililoshuhudiwa na paparazi wetu lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya stendi ya daladala mjini hapa. Mashuhuda...

 

11 years ago

GPL

Brazil mambo magumu, Algeria yala kipondo

Neymar akiruka juu kupiga mpira kichwa. Sao Paolo, Brazil
BRAZIL wakiwa mbele ya mashabiki wao, jana walishindwa kuibuka na ushindi baada ya kulazimishwa suluhu na Mexico huku Algeria wakiendeleza machungu kwa Waafrika kwa kuchapwa mabao 2-1 na Ubelgiji.…

 

10 years ago

GPL

NJEMBA ASHIKISHWA ADABU!

Gabriel Ng’osha Shika adabu yako! Njemba mmoja ambaye jina halikufahamika ameshikishwa adabu na wananchi wenye hasira kali baada ya kutembezewa kichapo ‘hevi’ alipokwapua simu ya abiria mwenzake. Kijana huyo aliyedaiwa kuwa kibaka akiwa chini ya ulinzi. Ishu hiyo ilijiri wikiendi iliyopita maeneo ya Mtaa wa Kongo-Kariakoo jijini Dar ndani ya basi la UDA ambapo kijana huyo alidaiwa kukwapua simu hiyo.… ...

 

10 years ago

GPL

NJEMBA YAMFANYIA FUJO WASTARA

Stori: Gladness Mallya Mkwara mbuzi! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya njemba mmoja ambaye hakufahamika kujitokeza na kumpiga mkwara asiendelee na shughuli za uzinduzi wa filamu yake. Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma Wastara akizindua filamu yake ya Last Decision. Tukio hilo lilijiri wikiendi iliyopita wakati Wastara akizindua filamu yake ya Last Decision katika mitaa...

 

11 years ago

GPL

ANTI LULU ANASWA NA NJEMBA

MWANADADA asiyeishiwa na matukio Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ juzikati alinaswa ‘live’ akiwa kimalovee na mcheza soka wa zamani aitwaye Amani Simba. Wawili hao walibambwa kwenye ufukwe wa Coco, Oysterbay jijini Dar wakipunga upepo na walipowaona mapaparazi wa gazeti hili walishituka na kutaka kujificha. Akizungumzia uhusiano wake na Amani, Anti Lulu alisema: ”Jamani acheni udaku wenu, siku...

 

9 years ago

GPL

NJEMBA WAZICHAPA KAVUKAVU STENDI

Mashaka kisusi NJEMBA wawili ambao ilisemekana ni wapiga debe, wamejikuta wakizichapa kavukavu wakigombea mzigo wa abiria. Tukio hilo lililojaza watu ambao walikuwa wakishangilia wakati njemba hao ambao majina yao hayakuweza kupatikana mara moja wakizichapa, lilitokea hivi karibuni majira ya saa 6 mchana ndani ya kituo cha Mabasi cha Nyegezi, jijini Mwanza.  ...Soma zaidi===>http://goo.gl/p3Wzfx ...

 

11 years ago

GPL

NJEMBA ANASWA AKICHAFUA MAZINGIRA

Njemba huyu amenaswa na kamera yetu akichafua mazingira maeneo ya Tazara jijini Dar es Salaam. (Picha: Gabriel Ng’osha / GPL)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani