Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NJEMBA YAMFANYIA FUJO WASTARA

Stori: Gladness Mallya Mkwara mbuzi! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya njemba mmoja ambaye hakufahamika kujitokeza na kumpiga mkwara asiendelee na shughuli za uzinduzi wa filamu yake. Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma Wastara akizindua filamu yake ya Last Decision. Tukio hilo lilijiri wikiendi iliyopita wakati Wastara akizindua filamu yake ya Last Decision katika mitaa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NJEMBA ASHIKISHWA ADABU!

Gabriel Ng’osha Shika adabu yako! Njemba mmoja ambaye jina halikufahamika ameshikishwa adabu na wananchi wenye hasira kali baada ya kutembezewa kichapo ‘hevi’ alipokwapua simu ya abiria mwenzake. Kijana huyo aliyedaiwa kuwa kibaka akiwa chini ya ulinzi. Ishu hiyo ilijiri wikiendi iliyopita maeneo ya Mtaa wa Kongo-Kariakoo jijini Dar ndani ya basi la UDA ambapo kijana huyo alidaiwa kukwapua simu hiyo.… ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Fujo Bungeni

MWANASHERIA Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, jana alinusurika kupigwa na wajumbe wenzake wa Bunge Maalumu la Katiba baada ya mwanasheria huyo kupiga kura ya wazi ya “hapana,” kukataa rasimu...

 

9 years ago

GPL

NJEMBA WAZICHAPA KAVUKAVU STENDI

Mashaka kisusi NJEMBA wawili ambao ilisemekana ni wapiga debe, wamejikuta wakizichapa kavukavu wakigombea mzigo wa abiria. Tukio hilo lililojaza watu ambao walikuwa wakishangilia wakati njemba hao ambao majina yao hayakuweza kupatikana mara moja wakizichapa, lilitokea hivi karibuni majira ya saa 6 mchana ndani ya kituo cha Mabasi cha Nyegezi, jijini Mwanza.  ...Soma zaidi===>http://goo.gl/p3Wzfx ...

 

10 years ago

GPL

MAMA AWAPA KIPONDO NJEMBA 5!

Stori: DUSTAN SHEKIDELE , Morogoro
ZAMANI kulikuwa na kasumba kwamba wanaume ndiyo huwapiga wanawake lakini hivi karibuni kibao kimegeuka ambapo mama mjasiriamali, aliyetajwa kwa jina moja la Mama Ashura ambaye ni mfanyabiashara wa viazi mviringo, anadaiwa kuwapa kipondo njemba watano kisa deni. Mama Ashura akianzisha varangati hilo. Kwa mujibu wa mashuhuda wetu, timbwili hilo ‘hevi’ lilijiri kwenye banda la...

 

11 years ago

GPL

ANTI LULU ANASWA NA NJEMBA

MWANADADA asiyeishiwa na matukio Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ juzikati alinaswa ‘live’ akiwa kimalovee na mcheza soka wa zamani aitwaye Amani Simba. Wawili hao walibambwa kwenye ufukwe wa Coco, Oysterbay jijini Dar wakipunga upepo na walipowaona mapaparazi wa gazeti hili walishituka na kutaka kujificha. Akizungumzia uhusiano wake na Amani, Anti Lulu alisema: ”Jamani acheni udaku wenu, siku...

 

11 years ago

GPL

NJEMBA ANASWA AKICHAFUA MAZINGIRA

Njemba huyu amenaswa na kamera yetu akichafua mazingira maeneo ya Tazara jijini Dar es Salaam. (Picha: Gabriel Ng’osha / GPL)

 

9 years ago

Habarileo

Samia akemea fujo

MGOMBEA mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu amewasihi vijana kuacha mpango wa kufanya fujo katika kipindi cha kampeni na hata siku ya kupiga kura.

 

11 years ago

GPL

NJEMBA YAMBAKA MTOTO WA MIAKA MINNE

Stori: Haruni Sanchawa, Nyemo Chilongani NI AIBU!Jamaa mmoja anayejulikana kwa jina la Iddi Mgosi anashikiliwa na Polisi wa Kituo cha Wazo jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka minne (jina linahifadhiwa) huko Mivumoni, Madale Machi 18, mwaka huu. Mtoto wa miaka minne aliyefanyiwa unyama huo. Mgosi, ambaye umri wake haukuweza kupatikana mara moja, anadaiwa kumrubuni mtoto huyo kutoka nyumbani kwao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani