Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAONI: Uhalifu dhidi ya polisi usiachwe uzoeleke

>Usiku wa kuamkia jana, polisi wawili waliuawa kwa kupigwa risasi na kisha silaha zao kuporwa na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Ykileo

POLISI WA UNGANISHA NGUVU KWENYE MAPAMBANO DHIDI YA UHALIFU MTANDAO

Polisi wa visiwa vya kifalme vya Solomon vilivyopo pasifiki ya kusini wameunganisha nguvu katika mapambano dhidi ya uhalifu mtandao na kuelezwa ya kwamba nguvu kubwa itasogezwa mashuleni ili kukuza uelewa wa maswala ya uhalifu mtandao (Awareness) na kusisitizwa hiyo ndio itakua shabaha yao ya awali. Haya yamebainishwa na Bradford Theonomi katika taarifa yake ya kingereza inayosomeka   "HAPA" .


Kupitia program ya mpango uliopewa jina la “Cyber safety pasifika” uliopangwa kuwasaidia watoto,...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Wananchi washiriki kumaliza uhalifu

>Mwishoni mwa wiki nchi imekumbwa na hofu kutokana na mapigano baina ya polisi wakisaidiwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) dhidi ya makundi yanayodhaniwa kuwa ni ya ama ujambazi au kigaidi, huko eneo la Amboni na Mapango ya Amboni, Kitongoji cha Karasha mkoani Tanga.

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Tusiuchekee uhalifu, una madhara makubwa

>Ni dhahiri kwamba hali si shwati tena katika nchi yetu, kinyume na maneno au kauli nyingi ambazo zimekuwa zikitolewa hata na viongozi wetu wakiwamo wa kisiasa wa kuitaja Tanzania kuwa kisiwa cha amani, utulivu na mshikamano.

 

11 years ago

BBCSwahili

Uhalifu dhidi ya binadamu Sudan Kusini

Amnesty International limetuhumu pande zote zinazozozana katika mgogoro wa kisiasa nchini Sudan Kusini kwa kutenda uhalifu dhidi ya binadamu

 

5 years ago

Ykileo

ANGALIZO KWA MABENKI DHIDI YA UHALIFU WA ATM JACKPOTING


KWA UFUPI: ATM jackpotting imgonga Hodi Nchini Marekani ambapo imesababisha upotevu mkubwa wa fedha zinazo kadiriwa kuzidi kiasi cha Dola milioni moja hadi sasa.

----------

Kumekua na aina nyingi za uhalifu mtandao unaolenga mashine za ATM ambao umekua ukiathiri mabenki mengi maeneo mengi duniani.



Mataifa ya Afrika yamesha kumbwa na changamoto za uhalifu katika mashine za ATM kama vile “card skimming” ambapo wahalifu mtandao mara kadhaa wamekua wakiripotiwa kughushi kadi za ATM zilizopelekea...

 

10 years ago

Ykileo

UMUHIMU WA USHIRIKIANO KWENYE VITA DHIDI YA UHALIFU MTANDAO

Nianze mada hii kwa kurudia pongezi kwa rafiki yangu Bwana Joe, Kwa kuongezewa nguvu na Nchi yake ya Marekani. Tayari taarifa rasmi ya hili nimeiandikia, na inaweza kusomeka zaidi kwa “KUBOFYA HAPA”. Bwana Joe amekua na imani inayofanana sana na yangu kwa muda mrefu ya kua uhalifu mtandao ni mbio za sakafuni endapo hapatakua na ushirikiano thabiti.


Kume kua na hoja nyingi kutoka mataifa mbali mbali juu ya kusua sua katika ushirikiano unao vuka mipaka huku uhalifu mtandao kutotambua mipaka...

 

10 years ago

Ykileo

NCHI ZA ME ZAWEKEZA ZAIDI KWENYE MAPAMBANO DHIDI YA UHALIFU MTANDAO

Ukipitia takwimu za mwaka huu na mwaka jana inaonyesha Nchi za Ulaya na Marekani zimeendelea kuathirika zaidi na uhalifu mtandao, Huku Nchi za mashariki ya kati kuonekana kunyemelewa na wahalifu mtandao. Wakati huo huo takwimu zilitabiria Nchi za Afrika  kuwa katika hali mbaya baadae kutokana na ukuaji wa kasi wa matumizi ya mitandao ambao hauendani sanjari na maandalizi madhubuti ya usalama wa mitandao.


Mengi yalizungumzwa kuhusiana na tishio jipya katika nchi za kiarabu huku kampuni...

 

11 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA YATOA TAHADHARI DHIDI YA UHALIFU UNAOFANYWA KUTUMIA SIMU ZA MKONONI


Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kwa kuzingatia kifungu 5 (b) na (e) cha Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ya 2003 inatoa tahadhari kwa watumiaji wa huduma za mawasiliano, wananchi na umma kwa ujumla kujihadhari na utapeli unaofanywa kwa kutumia simu za mkononi na mtandao wa intaneti kama ifuatavyo:
1. Usimpe mtu yeyote usiyemfahamu vizuri simu yako au kadi yako ya simu ili atumie.

2. Usitoe maelezo yoyote kuhusu namba yako ya simu au taarifa za binafsi kwa mtu yeyote...

 

11 years ago

Mwananchi

Uhalifu wa kimtandao waitesa Polisi

 Polisi nchini wamekiri kuzidiwa ujanja na wahalifu baada ya kubadili mbinu katika kufanya uhalifu huo pamoja na kuongezeka kwa makosa makubwa na madogo yanayofanywa kwa njia ya mtandao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani