Marehemu ajali Noah wafikia 14
MTOTO wa miezi sita aliyejeruhiwa kwenye ajali ya gari dogo la abiria la Toyota Noah na lori la Scania mkoani hapa juzi, amefariki dunia na kufanya idadi ya waliokufa kufikia 14. Happiness Elisha alifariki dunia jana akiwa katika Hospitali ya St Gaspar, Itigi alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
AJALI MBAYA YA NOAH MOROGORO
11 years ago
GPL
AJALI YA NOAH YAUA WAWILI MBEYA
10 years ago
Vijimambo12 Dec
Ajali ya Noah iliyoua yazua kasheshe
Aidha, ajali hiyo ilizua mvutano mkubwa baada ya wahudumu na maofisa wa kituo cha afya kugoma kupokea majeruhi wakidai wapewe fedha kwanza.
Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Deus Nsimeki, alitaja gari hilo kuwa ni T .728 CLV na kuwa dereva wake, Kazumba Musa aliyekimbia baada ya ajali hiyo, anatafutwa.
Alisema...
10 years ago
Dewji Blog26 Sep
Ajali ya basi la City Boys yaua 3, Singida, mwingine agongwa na Noah
Kamanda wa polisI Mkoani Singida (ACP) Thobias Sedoyeka (pichani)akizungumza na waandishi wa habari juu ya kutokea kwa ajali ya basi la City Boys na kusababisha vifo vya watu watatu Wilayani Iramba na mwingine kugongwa na Noah Singida vijijini. (PICHA NA HILLARY SHOO).
Na Hillary Shoo, IRAMBA
WATU wanne wamefariki dunia Mkoani Singida baada ya kupata ajali ya kugongwa na basi la City Boys na mwingine Noah wakati wakivuka barabara eneo la Ulemo barabara kuu ya Singida- Nzega.
Kamanda wa...
11 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Waliofariki ajali ya bomu wafikia wanne
MAJERUHI Regina Mzakule (66) amefariki dunia na kufanya idadi ya waliokufa katika tukio la bomu la kutupa kwa mkono ndani ya gari la abiria wilayani Buhigwe, Kigoma kufikia wanne. Bomu...
10 years ago
Mwananchi13 Mar
Waliokufa ajali ya basi Mafinga sasa wafikia 50
11 years ago
Tanzania Daima17 Oct
Waliokufa ajali ya moto Mbagala wafikia saba
IDADI ya watu waliokufa kwa ajali moto iliyotokea baada ya lori la mafuta kupinduka eneo la Mbagala Charambe jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki imeongezeka na kufikia saba huku...
11 years ago
GPL
MWILI WA MAREHEMU WA AJALI YA MUSOMA WALETA KIZAAZAA
11 years ago
GPLPICHA ZA KWANZA ZA MAJERUHI KATIKA AJALI YA MAREHEMU TYSON