Marekani: hatujui waliotungua ndege
Marekani imesema haina ushahidi wa kuihusisha moja kwa moja serikali ya Urusi kuhusika katika kuidondosha ndege.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziIDARA YA UONGOZAJI NDEGE YA MAREKANI FAA YATOA MAFUNZO KWA WAONGOZA NDEGE BARANI AFRIKA
11 years ago
BBCSwahili06 Feb
Marekani yaonya mashirika ya ndege
Marekani imeonya mashirika ya ndege yanayoelekea Russia kuwa kunauwezekano wa magaidi kusafirisha vilupuzi kwa niya ya kuishambulia Sochi
10 years ago
BBCSwahili25 Dec
Marekani:IS haikuangusha ndege yetu
Marekani inasema kuwa ushahidi uliopo unaonyesha kuwa si kweli kwamba wapiganaji wa IS waliangusha ndege ya muungano huo
9 years ago
BBCSwahili21 Oct
Urusi na Marekani zaafikiana kuhusu ndege Syria
Urusi na Marekani zimetia saini makubaliano yanayotarajiwa kuzuia kushambuliana kwa ndege za kijeshi za nchi hizo nchini Syria.
9 years ago
BBCSwahili04 Jan
Marekani yafunga kituo cha ndege Ethiopia
Marekani imefungia kituo cha ndege zisizo na rubani nchini Ethiopia ambacho imekuwa ikitumia kushambulia wanamgambo wa al-Shabab katika taifa jirani la Somalia.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zMJxnqMJKq0arfMbWOi0d-IQmKo*GloCtdUwxkG5zlnn36Y3sfEQF74OFygG0qEwr2MOkVUSlw8YV5l8qme88pWEO12-gGr2/_78388915_78388844.jpg?width=650)
MAREKANI YAWASHAMBULIA WANAMGAMBO WA SYRIA KWA NDEGE
Ndege za kijeshi za Marekani zikirusha makombora kushambulia wanamgambo wa kundi la Islamic State katika mji wa Kabane, Syria. Muonekano baada ya ndege za Marekani kutupa makombora.…
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/ccvv.jpg)
NDEGE YA JESHI LA MAREKANI YAANGUKA AFGHANISTAN NA KUUA 12
Ndege ya kijeshi ya Marekani aina ya C-130 Hercules iliyoanguka. Ramani inayoonesha eneo ambapo ndege hiyo ilipata ajali. Ndege ya kijeshi ya Marekani aina ya C-130 Hercules imeanguka usiku wa leo katika Uwanja wa Ndege wa Jalalabad nchini Afghanistan na kuua watu 12. Kanali wa jeshi la Marekani Brian Tribus ameiambia AFP kwamba watao kati ya waliokufa walikuwa wanajeshi wa Marekani, watano walikuwa raia wa… ...
10 years ago
Mwananchi27 Mar
Miaka minane imepita: hatujui walipo Lemy na Zacharia(2)
 Juma Charles anaendelea kueleza kuwa baada ya tukio hilo alidhani watoto wake walipotea tu kawaida kutokana na kukimbilia kusikojulikana kwa hofu, lakini kadri siku zilivyozidi na matukio ya utekaji na mauaji ya albino kuzidi kuongezeka, hilo liliwatia hofu.
10 years ago
Mwananchi26 Mar
Miaka minne imepita :Hatujui walipo Lemy na Zacharia
Ni msiba usiofutika. Pengine ndiyo maneno yanayofaa kuelezea tukio la familia ya watoto wenye ulemavu wa ngozi, Lemy Juma (12) na Zacharia Juma (6) waliotekwa na watu wasiojulikana miaka minane iliyopita.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania