Marekani kuleta umeme Afrika
Wabunge nchini Marekani wameidhinisha mpango wa kuleta umeme kwa zaidi ya watu millioni hamsini Kusini mwa jangwa la Sahara
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili30 Jul
Akon kuleta umeme Afrika
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Nguzo za zege kuleta neema ya umeme
UPATIKANAJI wa umeme nchini umekuwa wa kusuasua kwa muda mrefu hali inayorudisha nyuma maendeleo. Tatizo hilo la upatikanaji wa umeme linatokana na miundombinu duni toka uhuru wa Tanzania Bara hadi...
11 years ago
Mwananchi16 Jan
Sh5 mil kutumika kuleta umeme
10 years ago
Bongo526 Aug
Video: Nelly, mtoto wa Amitabh Bachchan, Abhishek na muimbaji wa Canada, Raghav waachia wimbo wa kampeni ya kuleta umeme wa jua Bongo
11 years ago
Mwananchi11 May
Mvua zatarajiwa kuleta neema ya mavuno kwa nchi za Afrika Mashariki
10 years ago
Dewji Blog14 Jan
Takwimu sahihi na za wakati zitasaidia kuleta maendeleo kwa haraka barani Afrika
Waziri Mkuu wa Uganda Mhe. Ruhakana Rugunda akiwahutubia washiriki mbalimbali kutoka barani Afrika (hawapo pichani) wakati wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika uliofanyika jana katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Munyoyo Kampala, Uganda. (PICHA NA VERONICA KAZIMOTO – KAMPALA).
Na Veronica Kazimoto, Kampala
WITO umetolewa kwa washiriki wote wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika kuelendelea kutoa takwimu sahihi na kwa wakati ili kuleta maendeleo yanayokusudiwa ya...
10 years ago
Habarileo07 Aug
Marekani kuboresha umeme nchini
TANZANIA ni miongoni mwa nchi tano zitakazopokea ongezeko la dola milioni 1.1 kutoka Marekani ili kupanua shughuli za uzalishaji wa nishati ya umeme na hivyo kuyafikia maeneo mengi zaidi ambayo hayafikiwi na umeme wa Gridi ya Taifa.
11 years ago
Michuzi
KAMPENI YA BAVARIA YA MBIO ZA KUELEKEA JUU YATARAJIWA KULETA CHANGAMOTO KUBWA ENEO LA AFRIKA YA MASHARIKI KATIKA SOKO LA VINYWAJI
10 years ago
Dewji Blog24 Sep
Tanzania kunufaika na uwekezaji wa mabilioni ya Marekani katika umeme
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na Mtendaji Mkuu na Mtawala Mkuu wa zamani wa Shirika la Maendeleo ya Misaada ya Kimataifa la Marekani (USAID), Bwana Raj Shah. (Picha na Maktaba).
*Ni moja ya nchi tatu tu za Afrika zitakazonufaika kwa sasa
*India nayo italengwa na mpango huo wa sekta binafsi
*Walioubuni wasema umasikini haufutiki bila umeme wa kutosha
Tanzania ni moja ya nchi tatu tu za Afrika ambazo zitanufaika na uwekezaji wa...