MARIA CAREY AANGUKIA KWA BILIONEA

Nyota wa R&B, Maria Carey akiwa na bilionea, James Packer. CANNES, Ufaransa HISIA ni kitu kingine! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya nyota wa R&B, Maria Carey, 45, kunasa katika penzi la bilionea, James Packer, 47, raia wa Australia.  Maria, aliwahi kuolewa na Nick Cannon lakini waliachana Agosti mwaka jana kwa talaka baada ya kudumu kwenye uhusiano kwa miaka sita wakiwa na watoto wawili mapacha.  Taarifa ni kwamba...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL
MARIAH CAREY AHAMIA ‘MAZIMA’ KWA BILIONEA JAMES PACKER
10 years ago
Bongo522 Jun
Picha: Mariah Carey akila bata na bilionea aliyechukua nafasi ya Nick Cannon
10 years ago
Habarileo17 Jun
Msuya aangukia kwa Membe
BAADA ya aliyewahi kuwa waziri katika wizara mbalimbali awamu ya kwanza, George Kahama kutangaza hadharani kumuunga mkono Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe kuteuliwa na chama chake kugombea Urais, naye Waziri Mkuu wa zamani, David Msuya amejitokeza hadharani kumuunga mkono Waziri Membe.
10 years ago
GPL
BELLA AANGUKIA KWA SERENGETI BOY
10 years ago
GPL
MAMA LULU AANGUKIA KWA MZEE WA UPAKO
10 years ago
GPL
YEMI ALADE AANGUKIA KWA ‘SERENGETI BOI’
10 years ago
GPL
NICK CANNON AMFUTA ZAIDI MARIAH CAREY KWA TATTOO
11 years ago
Bongo507 Oct
Picha: Nick Cannon aifunika Tattoo ya Mariah Carey kwa kuchora nyingine juu yake
11 years ago
GPL
BILIONEA ANASWA KWA UNGA DAR