Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msuya aangukia kwa Membe

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard MembeBAADA ya aliyewahi kuwa waziri katika wizara mbalimbali awamu ya kwanza, George Kahama kutangaza hadharani kumuunga mkono Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe kuteuliwa na chama chake kugombea Urais, naye Waziri Mkuu wa zamani, David Msuya amejitokeza hadharani kumuunga mkono Waziri Membe.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

TheCitizen

Msuya endorses Membe in CCM nomination race

Former prime minister says he hopes CCM would settle on the minister as its flag-bearer in the October 25 General Elections

 

10 years ago

GPL

BELLA AANGUKIA KWA SERENGETI BOY

Na Waandishi Wetu/Amani
SABABU za Bella kuachana na mpenzi wake Luten Karama, zimetajwa kuwa ni serengeti boy ambaye ni mwanamuziki anayejulikana kwa jina la Dogo Nasri. Isabela Mpanda, 'Bella' akiwa na  serengeti boy, 'Dogo Nasri'. Sosi wa habari hii alisema kuwa Bella amekuwa akitoka kimapenzi na ‘underground’ huyo na ndiyo maana amekubali kirahisi kuachana na mpenzi wake wa siku nyingi. “Ulishawahi...

 

10 years ago

GPL

MARIA CAREY AANGUKIA KWA BILIONEA

Nyota wa R&B, Maria Carey akiwa na  bilionea, James Packer. CANNES, Ufaransa HISIA ni kitu kingine! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya nyota wa R&B, Maria Carey, 45, kunasa katika penzi la bilionea, James Packer, 47, raia wa Australia.  Maria, aliwahi kuolewa na Nick Cannon lakini waliachana Agosti mwaka jana kwa talaka baada ya kudumu kwenye uhusiano kwa miaka sita wakiwa na watoto wawili mapacha.   Taarifa ni kwamba...

 

10 years ago

GPL

MAMA LULU AANGUKIA KWA MZEE WA UPAKO

Na Mwandishi Wetu
Mama wa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila ameangukia katika Kanisa la Maombezi (GRC) Ubungo-Kibangu jijini Dar, linaloongozwa na Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako.’ Mama wa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila. Chanzo kinasema kuwa mama huyo ameamua kujikita katika maombezi na kwamba hufika kanisani hapo kila...

 

10 years ago

GPL

YEMI ALADE AANGUKIA KWA ‘SERENGETI BOI’

Staa wa muziki Naija, Yemi Alade. STAA wa muziki Naija, Yemi Alade huenda amempata ‘Johnny’ baada ya tetesi kusambaa kuwa ameangukia penzi la dogodogo ‘serengeti boi’ aliyejulikana kwa jina la Fasesin Ayobami ‘Ay-B.’ Fasesin Ayobami ‘Ay-B.’ anayedaiwa kuwa na uhusiano na Yemi Alade. Jalada zima linafunguka kuwa Yemi kwa sasa hasikii haozi kwa dogo huyo ambaye pia ni msanii wa...

 

11 years ago

CloudsFM

MAHAKAMA YAELEZWA JINSI BILIONEA ERASTO MSUYA ALIVYOUAWA KINYAMA KWA KUTUMIA BUNDUKI YA SMG

Bunduki ya kivita aina ya Sub Machine Gun (SMG) iliyotumika kumuua mfanyabiashara tajiri wa Mirerani, Erasto Msuya, ilinunuliwa kwa Sh4 milioni nchini Kenya, Mahakama imeelezwa.
Imeelezwa pia kwamba wauaji wanne waliokwenda eneo la tukio kutekeleza mauaji hayo, walilipwa Sh5 milioni kila mmoja na washirika wao wakilipwa Sh3 milioni kila mmoja.

Hayo yamo katika maelezo ya mashahidi 57 kwa washtakiwa yalisomwa mbele ya Hakimu Mkazi wa Mkoa Kilimanjaro, Munga Sabuni juzi na mawakili wa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI JAFO AIPONGEZA TAASISI YA DK MSUYA FOUNDATION KWA KUKARABATI SAMANI ZA SHULE YA SEKONDARI IBIHWA


Charles James, Michuzi TV

UZALENDO! Ndio kauli ambayo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo ameitumia kuipongeza Taasisi ya Dk Msuya Foundation kwa kuwezesha kusaidia ukarabati samani za Shule ya Sekondari Ibihwa iliyopo wilayani Bahi, Dodoma.

Waziri Jafo ameipongeza taasisi hiyo inayoongozwa na Dk Ombeni Msuya kwa moyo wao wa kizalendo uliowezesha ukarabati huo wa Viti 76 na Meza 45 kwenye shule hiyo ikiwa ni kuunga mkono juhudi za serikali za kuinua elimu nchini.

Akizungumza...

 

5 years ago

Michuzi

TAASISI YA DK MSUYA YAGAWA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA VYENYE THAMANI YA SH MILIONI 2.5 KWA MAKANISA MWANGA

 Mkurugenzi wa Taasisi ya Dk Msuya ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha UDOM, Dk Ombeni Msuya (kushoto) akikabidhi Mashine za kunawia kwa ajili ya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona kwa Mchungaji Anituja Msuya (kulia) wa kanisa la Usharika wa Ndanda, Usangi Mwanga kama mchango wake dhidi ya mapambano ya Corona.Mkurugenzi wa Taasisi ya Dk Msuya ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha UDOM, Dk Ombeni Msuya (kushoto) akikabidhi Mashine za kunawia kwa Mchungaji wa Kanisa la KKKT...

 

10 years ago

Mtanzania

Magufuli aangukia pua

Waziri John Magufuli

Waziri John Magufuli

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru Wachina wa ‘samaki wa Magufuli’ na kuamuru Jamhuri iwarejeshee vitu vyao ikiwemo meli ya Tawaliq 1.

Wachina hao Nahodha wa meli, Hsu Chin Tai na Wakala wa Meli ya Tawaliq 1, Zhao Hanquing waliachiwa jana kupitia hati ya Nole ya kuwaondolea mashitaka.

Hii ni mara ya pili kwa Wachina hao kuachiwa kwani mara ya kwanza waliachiwa na Mahakama ya Rufaa Machi 28 mwaka huu, walikamatwa tena na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani