Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Martino ni kocha mpya Argentina

Argentina imemteua aliyekuwa kocha wa Barcelona Gerardo Martino kurithi nafasi yake Alejandro Sabella

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Argentina yailaza Uholanzi 4-2, fainali Argentina na Ujerumani july 13

Timu ya soka ya Argentina imejikatia tiketi ya kufuzu kwa fainali yake ya kwanza tangu mwaka 1990 baada ya kuilaza timu ya Uholanzi kwa goli 4-2, ambapo fainali itachuana na Ujerumani july 13 siku ya jumapili. Katika mchezo huo wa nusu fainali wa jana, Argentina na Uholanzi zilitoka sare tasa baada ya muda wa kawaida […]

 

11 years ago

GPL

KOCHA MPYA STARS

Martinus Ignatius "Mart" Nooij. Kocha mpya wa Taifa Stars ni Mholanzi, Martinus Ignatius "Mart" Nooij anayetarajiwa kutambulishwa rasmi Machi 24 mwaka huu na Rais wa TFF, Jamal Malinzi! CHANZO NI BIN ZUBEIRY…

 

9 years ago

BBCSwahili

Liverpool kupata kocha mpya?

Klabu ya Liverpool inakaribia kumteua meneja wa zamani wa klabu ya Borussia Dortmund Jurgen Klopp.

 

11 years ago

GPL

MAURICIO KOCHA MPYA TOTTENHAM

Kocha mpya wa timu ya Tottenham, Mauricio Pochettin. KLABU ya Tottenham imemthibitisha Mauricio Pochettino kuwa kocha wake mpya Mkuu. Muargentina huyo alijiuzulu nafasi ya ukocha katika klabu ya Southampton, ambako aliwavutia wengi kwa kazi yake nzuri ikiwa ni pamoja na kuinua vipaji vya chipukizi wengi wa England. Pochettino amepewa Mkataba wa miaka mitano White Hart Lane na Mwenyekiti wa Spurs, Daniel Levy, kurithi mikoba ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Inzaghi Kocha Mpya AC Milan

filippo-inzaghi

 

Filippo Inzaghi.

By Israel Saria

AC Milan wamemfukuza kazi Kocha Clarence Seedorf na kumpa kazi hiyo Filippo Inzaghi.

Seedorf amefukuzwa kazi ikiwa ni pungufu ya miezi mitano tu tangu achaguliwe kushika nafasi hiyo kwa klabu inayocheza Ligi Kuu ya Italia – Serie A.

Mdachi huyu mwenye umri wa miaka 37 alipewa mikoba kwenye klabu aliyochezea kwa miaka 10 tangu 2002.

Inzaghi naye ni mkongwe aliyechezea AC Milan lakini hajapata kufundisha timu iliyo katika ligi kuu. Alikuwa akifundisha timu...

 

11 years ago

GPL

BRAZIL KUMTANGAZA KOCHA MPYA

Luiz Felipe Scolari. BRAZIL inatarajia kumtangaza kocha wake mpya katika mkutano na wanahabari Julai 22 mwaka huu kufuatia kujiuzulu kwa kocha wa timu hiyo, Luiz Felipe Scolari. Scolari mwenye umri wa miaka 65 aliiongoza Brazil katika Kombe la Dunia ambapo timu hiyo ilipata kichapo kibaya cha mabao 7-1 dhidi ya mabingwa wa kombe hilo Ujerumani. Aliyekuwa kocha wa timu hiyo ambaye aliiongoza kati ya mwaka 2006 na 2011 huenda...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga wamtega kocha mpya

KLABU ya Yanga imetangaza rasmi kumpatia mkataba wa miezi sita Kocha wake mpya, Hans Van Der Pluijm, ambaye tayari ameungana na timu hiyo iliyopo nchini Uturuki kujipanga kwa raundi ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Zambia yapata kocha mpya

Timu ya taifa ya Zambia imepata kocha mpya, Honour Janza baada ya Patrice Beaumelle kuiaga timu hiyo

 

11 years ago

BBCSwahili

Botswana kumteua kocha mpya

Botwana inatarajiwa kumteua Peter Butler kutoka Uingereza kuwa kocha wake mpya wa timu ya taifa ya soka

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani