Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Marufuku kuchumbia mazao’

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza amepiga marufuku mtindo wa kuchumbia mazao shambani akisema kufanya hivyo ni kumnyima mkulima kipato anachostahili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAKALA WA TAIFA WA HIFADHI YA CHAKULA (NFRA) KANDA YA DODOMA INAKABILIWA NA UFINYU WA ENEO LA KUHIFADHIA MAZAO MSIMU HUU WA UNUNUZI WA MAZAO

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi ameitaka Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Kanda ya Dodoma kuhakikisha inatafuta suluhisho la haraka la changamoto ya maghala na mifumo ya kuhifadhia mazao inayoikabili taasisi hiyo wakati huu wa msimu wa kununua mazao.
Vilevile Dr. Nchimbi ameelekeza ukarabati wa Maghala ya hifadhi ya “National Milling” yaliyopo eneo la Makole ambayo uwezo wake ni kuhifadhi takribani tani elfu 10 kwa ghala uwekewe mkakati ili kusaidia kuleta suluhisho la...

 

9 years ago

Michuzi

UHIFADHI WA MISITU NA UZALISHAJI WA MAZAO

Kuimarika kwa uhifadhi wa misitu katika misitu ya tao la Mashariki iliyoko kwenye milima ya Usambara kumesaidia kuboresha shughuli za kijamii kwa wananchi wanaoishi kwenye vijiji kuzunguka misitu hiyo katika wilaya ya Muheza na Korogwe mkoani Tanga, mashamba haya ya mpunga ni katika kijiji cha Mkwakwani kata ya Mnyuzi wilaya ya Korogwe yamestawi vizuri kutokana na juhudi hizo za uhifadhi wa misitu, zinazofanywa na wadau mbalimbali wa uhifadhi ikiwemo wakala wa huduma za misitu nchini TFS na...

 

11 years ago

Mwananchi

Makazi, mazao, barabara zaathirika

Mvua kubwa zilizonyesha kwa muda wa siku tatu mfululizo mkoani Morogoro, zimeathiri kwa kiwango kikubwa makazi ya watu, miundombinu ya barabara na mazao ya mashambani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali kutonunua mazao yote

SERIKALI imesema haina mpango wa kununua mazao yote yanayozalishwa na wakulima, bali wanaweza kutafuta masoko yao wenyewe. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wataka madalali wa mazao wadhibitiwe

SERIKALI imetakiwa kuwadhibiti madalali wa mazao ya shambani kwa kuwa ni maadui wanaosababisha kudidimiza kipato cha wakulima. Ushauri huo umetolewa na mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kisua...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Epukeni uzalishaji wa mazao sumu’

Wakulima nchini wametakiwa kuepuka kuzalisha mazao yenye sumu asili inayoweza kuathiri afya ya walaji.

 

11 years ago

Mwananchi

Wataka viwanda vya mazao ya mifugo

Wafugaji katika Kijiji cha Matongo-Nyamongo wilayani hapa wameiomba Serikali kufufua viwanda vya maziwa, ngozi na kuanzisha viwanda vya kusindika nyama ili kumkomboa mfugaji kimaendeleo kwa madai kuwa kukosekana kwa viwanda hivyo kunapelekea mifugo kuuzwa Kenya.

 

10 years ago

Mwananchi

DC awashukia wanaovuna mazao ya misitu Rufiji

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Nurdin Babu ametangaza vita dhidi ya wavunaji haramu wa mazao ya misitu baada ya kuanza kutumika kwa taratibu mpya.

 

10 years ago

Vijimambo

WAKULIMA WA MAZAO YA HORTICULTURE WAHAMASISHWA KUUNGANA.

Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbarali, Alfred Mzurikwao, akizungumza na wakulima mbali mbali alipokuwa amemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Mbarali katika sherehe za Wakulima zilizofanyika katika skimu ya umwagiliaji ya Ilaji iliyoko Mbarali mkoani Mbeya.Afisa wa TAHA, Isac Ndemanhile, akizungumza na wakulima zaidi ya 300 waliohudhuria sherehe za wakulima katika skimu ya Ilaji.Maafisa wa TAHA wakitoa maelezo kwa mgeni rasmi katika moja ya mashamba ya wakulima yanayoendeshwa kwa kufuata teknolojia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani