Serikali kutonunua mazao yote
SERIKALI imesema haina mpango wa kununua mazao yote yanayozalishwa na wakulima, bali wanaweza kutafuta masoko yao wenyewe. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Mwema25 Jun
Serikali yaisaliti ahadi yake ya kutonunua mashangingi
BAJETI ya serikali iliyowasilishwa bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, itakuwa na naki
Nizar Visram
11 years ago
Uhuru Newspaper24 Sep
‘Serikali isambaze teknolojia ya usindikaji mazao’
SERIKALI imetakiwa kushirikiana na wadau katika kusambaza teknolojia ya usindikaji wa mazao ya kilimo kwa wananchi na kuboresha miundombinu na upatikanaji wa vifaa na zana za kisasa kwa ajili ya kazi hiyo.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni, Andreas Whero, aliyasema hayo alipokuwa akifunga mafunzo ya siku tano kwa wajasiriamali juu ya teknolojia ya usindikaji mazao ya matunda, vinywaji na vyakula.
Whero alisema wakati huu ambapo kuna...
11 years ago
Habarileo18 Mar
Serikali yaombwa kuanzisha mradi wa kuchakata mazao
SERIKALI imetakiwa kuanzisha mradi wa mfano wa kuchakata mazao ya kilimo na hasa matunda katika ngazi ya mikoa. Hayo yamebainishwa na Mratibu wa Taasisi ya Tan Tanzania, Deusdedit Kizito wakati wa kuzungumzia fursa za mazao ya kilimo katika soko la dunia baada ya kuhudhuria maonesho ya bidhaa za Kilimo hai ya BioFach ya Ujerumani na mboga ya Berlin.
5 years ago
MichuziSERIKALI HAITOPANGA BEI ZA MAZAO YA WAKULIMA-MHE MGUMBA
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma
Serikali imesisitiza kuwa haitopanga wala kuingilia bei za mazao ya wakulima nchini badala yake wakulima watajipangia bei na kuuza wenyewe ilihali serikali ikisalia kama msimamizi.
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Omary Mgumba (Mb)...
10 years ago
Dewji Blog09 Jun
Serikali kutumia Teknolojia ya Jeni katika kuendeleza mazao
Naibu Waziri, wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Pindi Chana (Mb) akijibu swali leo Bungeni Dodoma, kwa niaba ya Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika kuhusu mpango wa Serikali kutumia teknolojia ya jeni katika kuboresha mbegu za mazao.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mhe. Hawa Ghasia (Mb), akijibu swali katika kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni Dododma.
Naibu Waziri, Wizara ya Ushirikiano wa Afika Mashariki, Mhe. Dkt. Abdullah...
10 years ago
Habarileo02 Sep
‘Serikali yalipa madeni yote ya walimu’
SERIKALI imetoa ufafanuzi kuhusu madeni ya walimu kwa kusema imeshalipa yote ya mwaka jana na kwa mwaka huu, orodha inaandaliwa. Orodha kwa ajili ya madeni ya mwaka huu, inasubiriwa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi) kabla ya malipo kufanyika.
11 years ago
MichuziSerikali yafanikiwa kudhibiti uvunaji haramu wa mazao ya misitu - Mafupa
Hayo yamesemwa na Meneja wa Wakala wa huduma za Misitu Tanzania kanda ya Kaskazini (TFS) bw. Cuthbert Mafupa wakati wa ziara ya waandishi wa Habari waliotembelea hifadhi ya Chome na ile ya Amani iliyipo mkoani Tanga ili kujifunza na kuona hatua...
5 years ago
Michuzi
SERIKALI ITAKAMILISHA MIRADI YOTE YA KIPAUMBELE-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itatoa msukumo wa kipekee katika kukamilisha miradi ya kipaumbele na kimkakati inayoendelea kutekelezwa na Serikali ya Awamu ya Tano ili wananchi waendelee kupata huduma bora.
Pia, Waziri Mkuu amesema Serikali itashirikiana na sekta binafsi kuleta mageuzi kwa kutekeleza kwa kasi mpango wa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji nchini (yaani Blue Print for Business Environment).
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumatatu, Juni 15, 2020)...
9 years ago
StarTV21 Dec
Serikali yaombwa kudhibiti biashara ya mazao nje kupunguza mfumko wa bei
Baadhi ya wananchi wakiwemo wafanyabiashara wa mazao mbalimbali jijini Mbeya wameiomba Serikali kudhibiti biashara ya mazao ya chakula nje ya nchi hatua ambayo itasaidia kupunguza mfumko wa bei za vyakula.
Wamesema kwa sasa bei za vyakula kutoka kwa wakulima mashambani zimepanda tofauti na ilivyokuwa miezi michache iliyopita hali inayochagiwa na uuzwaji wa mazao hayo nje ya nchi.
Mazao yaliyopanda bei ni pamoja nyanya na Mchele ambao sasa unauzwa kati ya shilingi 34,000 mpaka 40,000 kwa debe...