Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashamba yaanza kuhakikiwa Monduli

Kamishna wa Ardhi wa Kanda ya Kaskazini, Doroth Wanzala amesema wameanza ukaguzi wa mashamba makubwa ambayo hayaendelezwi ili yafutiwe hati miliki na kurejeshwa kwa wananchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Vyuo vyote vya ufundi nchini kuhakikiwa

KATIBU Mkuu wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), Dk Prime Nkwela na watendaji wa baraza hilo, wamepewa siku 30 kukagua vyuo vyote nchini, kujiridhisha na usajili na utoaji wa elimu katika vyuo hivyo.

 

10 years ago

Vijimambo

WANANCHI KUTOKA MARA WAWASILI KWA WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI EDWARD LOWASSA MONDULI,WAMKOSA WAELEZEA UJIO WAO

Akizungumza na waandishi wa habari aliyekuwa katibu wa umoja wa wanawake wa {UWT} chama cha mapinduzi wilaya ya Serengeti Anna Mathayo Chacha alisema kuwa lowasa  ndie chaguo lao kwa kuwa ni kiongoziwanayeamini kuwa ataivusha nchi kutoka hapa ilipo ikiwa ni pamoja na kukipa heshima  na nguvu chama.Mjumbe wa halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi wilaya ya Serengeti Daniel Kegocha ambaye pia ni diwani aliomba chama hicho kuona umuhimu wa kumpitisha jina la Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI, EDWARD LOWASSA AKIZUNGUMZA NA BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE SEKONDARI YA WAVULANA YA ENGUTOTO WILAYANI MONDULI WAKATI ALIPOTEMBELEA LEO.

 Lowassa ambaye alirejelea kauli yake ya kwamba yeye si tajiri bali ni tajiri wa marafiki, alichangia shilingi milioni tatu kwa ajili ya sare za shule kwa wanafunzi ambao nguo zao ziliteketea. 
Aidha mwenyekiti mtendaji wa makampuni IPP, Reginald Mengi akichangia shilingi milioni 25 kwa ajili ya vitanda na Kampuni ya A to Z ikichangia ujenzi wa mabweni mawili yaliyo ungua moto hivi karibuni.Mmiliki wa kiwanda kikubwa cha A to Z cha Arusha,Anoji Shah (aliesimama) akiwaeleza wanafunzi wa shule...

 

11 years ago

BBCSwahili

Migogoro ya mashamba TZ

Haba Na Haba inaangaazia uwekezaji kwenye ardhi namigogoro baina ya wananchi na wawekezaji wa mashamba makubwa.

 

10 years ago

Habarileo

Viongozi wahimizwa mashamba darasa

VIONGOZI wakiwemo mawaziri, wabunge na madiwani wametakiwa kuwa na mashamba darasa kwa ajili ya kuhamasisha mkakati wa Kilimo Kwanza ili kiweze kuwa na tija kwa wakulima.

 

11 years ago

Habarileo

Upimaji mashamba ya mkonge wakamilika

 Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey ZambiSERIKALI imekamilisha awamu ya kwanza ya upimaji mashamba ya wakulima wadogo wa mkonge ili kuwapatia hati miliki zitakazowezesha kupata mikopo katika taasisi za fedha kwa ajili ya kuendeleza zao la mkonge.

 

9 years ago

Mwananchi

Mikataba ya viwanda, mashamba kuchunguzwa

Msajili wa Hazina, Lawrence Mafuru amesema wameanza kuzipitia taarifa za utekelezaji wa mikataba ya viwanda na mashamba yaliyobinafsishwa baada ya kupokea kutoka kwa wawekezaji.

 

11 years ago

Mwananchi

Wakulima wa miwa kupewa mashamba

Ofisi ya Rais kupitia Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (Mkurabita), imewataka wakulima wa miwa katika Wilaya za Kilosa na Kilombero kujitokeza katika zoezi la urasimishaji mashamba.

 

11 years ago

Michuzi

26 wakamatwa kwa uvamizi wa mashamba

Na John Gagarini, Kibaha
JUMLA ya watu 26 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kwa tuhuma za kuharibu mazao ndani ya shamba.
Pia watu hao wanatuhumiwa kuvamia mashamba na kuingia kwa jinai kukutwa na bangi kete 38 na gramu 250 za bangi pamoja na pombe ya moshi lita 30.

Akithibitisha kwa kutokea tukio hilo alisema kuwa uvamizi huo ulifanywa kwenye vitongoji vitatu tofauti vya Mkonga, Mkombozi na Tambani wilayani Mkuranga.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Kamishna Msaidizi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani