MASHAMBULIO YAUA 30 KENYA
![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akSvE*LCk0WjK9DrqR9zxtK3NJzSJMRDoFvM94ULo7agwDbeDQH1l7fmFc1j8XYl-oMLjuQkjXMbXY1dtErSOaKg/kenya.jpg?width=650)
Magari yaliyochomwa katika shambulio la Mpeketoni, Juni mwaka huu. WATU 30 wamepoteza maisha katika mashambulio mawili tofauti huko Pwani ya Kenya karibu na mpaka wa Somali. Wizara ya maswala ya ndani nchini Kenya imethibitisha kutokea tukio hilo. Watu 20 waliuawa katika eneo la Gamba kaunti ya Tanariver huku wengine wakiuawa kufuatia ufyatulianaji wa risasi katika kituo kimoja cha kibiashara kaunti ya Lamu karibu na mpaka wa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili16 Nov
Mashambulio Paris: Kenya na Uganda zaimarisha usalama
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FsV0PLw632pnnG5KndWVKoAk38PoFsO1p4a-ZZOKTQoP8Zq-3gtJG8rJhm35EIzundI6meoWVPa*aa*yY3TMKDYbVazLQqX4/NDEGE.jpg)
AJALI YA NDEGE YA MIZIGO YAUA WANNE KENYA
10 years ago
Vijimambo21 Apr
Zwelithini alaani mashambulio AK
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/04/20/150420111654_goodwill_zwelithini_512x288_bbc_nocredit.jpg)
Goodwill Zwelithini, Mflame wa Zulu
Mfalme wa kabila la Zulu, Goodwill Zwelithini, ameelezea kama jambo la aibu mashambulio dhidi ya raia wa mataifa mengine yanayofanyika nchini Afrika Kusini, ambayo tayari yamesababisha vifo vya watu saba.Mwaandishi habari wa BBC mjini Durban mahala ambapo mfalme huyo alitoa matamshi hayo anasema kuwa hata ingawa anakanusha kuwa amenukuliwa visivyo, matamshi yake dhidi ya raia wa kigeni imesababisha athari mbaya.
Amesema kuwa umma uliwapigia kelele mabalozi...
10 years ago
BBCSwahili01 Jul
Mashambulio mabaya Misri
10 years ago
BBCSwahili20 Jan
EU kupambana na mashambulio ya kigaidi
11 years ago
BBCSwahili09 Jul
Israel-Hamas wazidisha mashambulio
9 years ago
BBCSwahili14 Nov
Wengi wauawa mashambulio Paris
10 years ago
BBCSwahili07 Mar
Mashambulio Maiduguri yauwa watu 40
9 years ago
BBCSwahili11 Sep
Watu 12 wahukumiwa kwa mashambulio ya mabomu