Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matajiri watano kuibeba Chadema

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema chama chake kina watu watano wenye uwezo wa kiuchumi wanaoweza kukisaidia chama hicho kuendesha shughuli zake za kampeni, ikiwa ni siku 32 kabla ya wananchi kupiga kura Oktoba 25.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Madiwani watano Chadema kuwania umeya Arusha

Madiwani watano wa Chadema katika Jiji la Arusha, wameanza harakati za kuteuliwa kushika nafasi ya meya, baada ya chama hicho kushinda viti 24 vya udiwani kati ya 25 vilivyopo.

 

10 years ago

Mwananchi

Membe kuibeba Yanga

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amekiri yeye ni shabiki wa Yanga na ana mipango mikubwa na klabu hiyo ambayo itaiimarisha kiuchumi, kuacha utegemezi kwa wafadhili, pia kupiga hatua kubwa kitaifa na kimataifa katika medani ya soka.

 

9 years ago

Mtanzania

Mechi za AFCON kuibeba Yanga

PluijmNA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Yanga Mholanzi, Hans van der Pluijm, amesema wachezaji waliokwenda kuzichezea timu zao za taifa wanapaswa kuelewa majukumu yao, ili waweze kunufaika na uzoefu wanaopata kwenye michuano ya Afrika.

Wachezaji 11 wa mabingwa hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, wameitwa kuzichezea timu zao za taifa katika mechi za kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zitakazofanyika mwaka 2017, nchini Gabon.

Yanga iliwahi kuwakatalia nyota wake walioitwa...

 

9 years ago

Habarileo

Msenegali ashindwa kuibeba Simba

TIMU ya Simba ya Dar es Salaam jana ilishindwa kutamba mbele ya Mwadui ya Shinyanga baada ya kulazimishwa sare ya bila kufungana katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi walaumiwa kuibeba CCM

Waangalizi katika Uchaguzi wa Ubunge Chalinze wamesema Jeshi la Polisi lilielekeza ulinzi kwenye mikutano ya CCM zaidi na kuviacha vyama vingine vikiwa havina ulinzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Azam FC kuibeba Ashanti leo?

WAUZA mitumba wa Ilala jijini Dar es Salaam, Ashanti United, usiku wa leo wanatarajiwa kushuka dimba la Amaan visiwani hapa kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi katika mchezo mgumu dhidi...

 

9 years ago

Habarileo

Singano kamili kuibeba Azam

WINGA Ramadhani Singano ‘Messi,’ amesema yupo tayari kuanza kwenye kikosi cha kwanza cha Azam FC kinachoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuzoea mfumo unaotumiwa na kocha Stewart Hall.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga, Azam kuibeba Simba leo?

Dar es Salaam. Kocha wa Yanga, Mholanzi Hans van Pluijm amesema hatakubali kuona timu yake ikikabidhiwa kombe kwa kufungwa au kutoka sare na Azam leo katika mechi ya Ligi Kuu Bara itakayoanza saa 11 jioni kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Tumaini, Sulle kuibeba Tanzania leo

>Tanzania na Kenya zimetamba katika nusu fainali ya mashindano ya tenisi ya Afrika Mashariki na Kati baada ya wachezaji wake kuingia katika fainali itakayochezwa  leo  kwenye Viwanja Gymkhana, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani