Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mateke, ngumi za Solange kwa Jay Z zinatufundisha nini?

Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Yaani dunia ilivyokuwa ikisubiri kusikia au kushuhudia ugomvi wa Beyonce na mumewe Jay Z, leo hii unakuwa wa mtu na shemeji yake…makubwa haya!

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

HAFRA FUPI YA SHIRIKISHO LA NGUMI ZA RIDHAA TANZANIA KWA AJILI YA KUHAMASISHA MCHEZO WA NGUMI KWA VIJANA TANZANIA

Baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa wa ngumi za Ridhaa pamoja na wadau wengine wa mchezo huo katika Picha ya pamoja, wakati wa hafra hiyo.

Aliyesimama kushoto ni mkurugenzi wa Afrika Mashariki kupitia kinywaji cha Battery Bwana Tony Misokia akiwa anaongea na wananchi walioshiriki katika Hafra hiyo.…

 

10 years ago

Vijimambo

Mwanafunzi aua mwenzake kwa ngumi.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Longinus Tibishubwamu.
Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Ilola, Kata ya Ilola Itwangi, Wilaya ya Shinyanga Vijijini, mkoani hapa, mwenye umri umri wa miaka 12 (jina lake linahifadhiwa kutokana na umri wake), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mwenzake kwa kumpiga ngumi kichwani na kuangukia kisogo, wakati wakigombea daftari waliloazima.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Longinus Tibishubwamu, jana alisema tukio hilo lilitokea juzi saa...

 

11 years ago

Habarileo

Kizimbani kwa kumpiga mkewe ngumi, makofi

MKAZI wa mtaa wa Ohio, George Kanyama (68) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, kujibu mashitaka ya kumshambulia mke wake kwa kumpiga.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baba Mbeya aua mwanae kwa ngumi

MKAZI wa Kijiji cha Isisi, wilayani Mbarali, Patrick Njolo, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mwanae kwa kumpiga ngumi. Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Ahmed Msangi, alisema jana kuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

BONDIA WA MOROGORO AOMBA PAMBANO LA NGUMI KWA MAPROMOTA

Na Mwandishi Wetu 


PIUS KAZAULABONDIA Pius Kazaula wa Morogoro KG 66 amejitokeza hadharani na kuwaomba wadau wa mchezo wa masumbwi pamoja na mapromota kumwandalia mpambano kwa ajili ya kupima kiwango chake kwa kuwa mapromota wengi wapo Dar es salaam wao wa mikoani wanasahaulika

akizungumza na mwandishi wa habari kwa njia ya simu amesema mabondia wa uzito wake wapo wengi ingawa kila siku wanapangiwa wao kwa wao mana unaweza kukuta bondia mmoja kacheza na mtu mmoja mara nne wakati mabondia...

 

10 years ago

Vijimambo

NGUMI ZILIVYOPIGWA MANZESE MASHALI, KAONEKA WASHINDA KWA K,O

Bondia Shabani Kaoneka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ramadhan Alfani wakati wa mpambano wao Kaoneka alishinda kwa K,O ya Raundi ya kwanza Shabani Kaoneka akinuliwa kuwa mshindiBondia Fred Sayuni kushoto akipambana na Mbayo Ilunga wakati wa mchezo wao uliofanyika katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es salaam Sayuni alishinda kwa K,O raundi ya piliBondia Henry Wandela kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Thomas Mashali wakati wa mpambano wao Mashali...

 

11 years ago

GPL

MTOTO AUAWA NA BABA YAKE KWA KUPIGWA NGUMI MKOANI MBEYA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,SACP Ahmed Msangi. KATIKA TUKIO LA KWANZA:
MTOTO ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA VANESA PATRICK NJOJO (03) MKAZI WA ISISI, WILAYANI MBARALI ALIUAWA KWA KUPIGWA NGUMI NA BABA YAKE MZAZI AITWAYE PATRICK NJOJO (23) MKAZI WA ISISI. TUKIO HILO LIMETOKEA MNAMO TAREHE 26.04.2014 MAJIRA YA SAA 23:45 USIKU HUKO KATIKA KIJIJI CHA ISISI, KATA NA TARAFA YA RUJEWA, WILAYA YA MBARALI, MKOA WA MBEYA. INADAIWA KUWA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani