Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAXIMO ATAJA WASAIDIZI WAKE, NI WABONGO

Kocha Mbrazili, Marcio Maximo. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
KOCHA Marcio Maximo kutoka Brazil, tayari ameupitia mkataba wa kuanza kufanya kazi Yanga na kusema: “Nitaanza kazi na (Charles) Mkwasa pamoja na (Juma) Pondamali.”
Awali kulikuwa na hofu huenda kocha huyo angetaka kutua nchini na msaidizi wake kutoka Brazil lakini sasa atalazimika kuwataja wazawa hao katika benchi lake la ufundi. Habari za uhakika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Pinda awapongeza Muhongo na wasaidizi wake

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amemmwagia sifa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na naibu mawaziri wake, kwa kazi nzuri wanayoifanya katika wizara hiyo tangu wateuliwe kuiongoza.

 

11 years ago

Mwananchi

Maximo amtetea Mbrazili wake

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo na baadhi ya mashabiki wamemtetea mshambuliaji wa timu hiyo, Jaja kuwa ni mchezaji wa ndani ya eneo la hatari pekee.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS SHEIN ATAJA MATUKIO YALIYOTIKISA UTAWALA WAKE

DAKTARI Ali Shein, Rais wa Awamu ya Saba wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), ametaja misukosuko aliyokumbana nayo katika utawala wake.
Mwaka huu Rais Shein anamaliza muda wake wa vipindi viwili kuiongoza Zanzibar (2010/2015 na 2015/2020), tangu alipoingia madarakani mwezi Novemba 2010.

Akihutubia wakati anavunja shughuli za Baraza la Tisa la Wawakilishi la Zanzibar, leo Jumamosi tarehe 20 Juni 2020, Rais Shein amesema utawala wake uliongoza kwa kuwa upandikizwaji chuki, dharau na...

 

5 years ago

Michuzi

DIWANI KATA YA KIBAMBA ALIYEMALIZA MUDA WAKE ATAJA SIRI 14 YA KUFANIKIWA KWAKE

Diwani wa Kata ya Kibamba aliyemaliza muda wake wa miaka mitano tangu kupitia tiketi ya Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Ernest Mgawe kushoto akimkabidhi mmoja wa viongozi wa kata wa chama hicho ripoti maalumu ya utekelezaji wa majukumu mbali mbali ambayo aliyafanay wakati wa uongozi wake kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2015/2020 katika halfa ambayo ilihudhuliwa na viongozi mbali mbali.(Picha na Victor Masangu).
 Diwani wa kata ya Kibamba ambaye amemaliza muda wake kupitia tiketi ya...

 

11 years ago

Bongo5

Jux ataja kiwango alichotozwa na Mabeste kumwandikia wimbo wake mpya ‘Sisikii’, ni zaidi ya 1M na ameilipa

Wasanii wengi wa bongo siku hizi hawawaandikii bure nyimbo wasanii wenzao sababu imegeuka kuwa biashara inayolipa, kitu ambacho kimemkuta Jux pia ambaye single yake mpya ‘Sisikii’ iliyotoka jana ameandikiwa na rapper Mabeste. Akizungumza wakati anautambulisha wimbo huo jana kupitia XXL ya Clouds Fm, Jux amesema alipomfata Mabeste na kumwomba amwandikie wimbo alimwambia atafanya hivyo lakini […]

 

9 years ago

CCM Blog

KAMATI KUU YA CCM YAMPONGEZA RAIS DK. MAGUFULI NA WASAIDIZI WAKE, NI KWA KUSIMAMIA VYANZO VYA MAPATO YA SERIKALI, KUDHIBITI MATUMIZI YA SERIKALI NA UHIMIZAJI WANANCHI KUFANAYA KAZI KWA BIDII



Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na Waandishi wa Habari, leo kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo)IFUATAYO NI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KAMA ILIVYOWASILISHWA LEO NA KINANA  Jana tarehe 07/12/2015 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ilifanya kikao chake cha kawaida mjini Dar es salaam kwa siku moja. Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA MAXIMO, SASA PHILI SIMBA OUT NA HUYU NDIYO MRITHI WA WAKE NAE SIJUI ATADUMU SIMBA NA YANGA NI SHIDA

Kocha Patrick Phiri amesema ametaarifiwa kuhusiana na kibarua chake kusitishwa.
Phiri raia wa Zambia amesema ni suala la kawaida kumtokea kocha, hivyo hana kinyongo na uongozi wa klabu hiyo.
"Wamenitaarifu kuhusiana na kuachishwa kazi, hili si jambo jipya, ingawa niliona tungeweza kubadilisha mambo.
"Najua Simba wanataka kufanya vizuri, hivyo siwezi kumlaumu mtu na utaona mwendo wa timu yetu ulivyokuwa," alisema Phiri.
Phiri amesema anasubiri kiasi cha fedha alichokuwa anadai ambacho hakueleza...

 

10 years ago

Mtanzania

Wasaidizi kisheria waaswa

NA ALLY BADI, LINDI
OFISA Mfawidhi Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Kanda ya Kusini, Mourice Chisi, amewataka wasaidizi wa kisheria kutumia nafasi zao kuwasaidia wananchi mkoani hapa kutatua migogoro bila upendeleo.
Wito huo ameutoa wakati alipokuwa anafunga kikao kazi na kugawa vyeti kwa wahitimu wasaidizi wa kisheria kutoka wilaya sita za Mkoa wa Lindi kilichoandaliwa na Kituo cha Msaada wa Kisheria kwa Wanawake na Watoto Mkoa wa Lindi (LIWOPAC).
Alisema wasaidizi wa kisheria ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani