Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maximo atuma maombi ya mechi mbili kimataifa

Marcio Maximo

Kocha mpya wa klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, Marcio Maximo

NA JENNIFER ULLEMBO

KOCHA mkuu wa timu ya Yanga, Marcio Maximo, ametuma maombi kwa uongozi wa klabu hiyo kumtafutia michezo miwili zaidi ya kimataifa kabla ya kuivaa Azam FC Septemba 13 jijini Dar es Salaam, katika mechi ya Ngao ya Hisani.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Ofisa Habari wa klabu hiyo, Baraka Kizuguto alithibitisha kutumwa maombi hayo kwa uongozi.

Kiziguto alisema mchezo wa kwanza wa kimataifa, utachezwa kesho dhidi ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Marcio Maximo aomba mechi mbili kuwavaa Azam FC

MKUU wa benchi la ufundi la timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, ameomba kwa uongozi wa klabu hiyo mechi mbili za kirafiki siku ya Jumatano ijayo na Jumapili kabla ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mechi zaahirishwa kwa sababu ya maombi Zambia

Mechi za soka nchini Zambia zilizopangiwa kuchezwa wikendi hii zimeahirishwa kutokana na siku ya kitaifa ya maombi Jumapili.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Phiri apewa mechi mbili

WAKATI Benchi la Ufundi la klabu ya Simba likipewa mechi mbili kubadilisha matokeo ya timu hiyo, wachezaji ambao wamesimamishwa kwa tuhuma za kuhujumu timu na ukosefu wa nidhamu, wanatarajia kukutana...

 

10 years ago

GPL

Phiri apewa mechi mbili Simba SC

Kocha mkuu wa Simba Mzambia, Patrick Phiri. Goodluck Ngai na Wilbert Molandi
UONGOZI wa Klabu ya Simba chini ya kamati ya utendaji, umelipa benchi la ufundi la kikosi chao mechi mbili za kubadili mwenendo wa matokeo ya timu na kuhakikisha timu inapata ushindi na kucheza mpira unaovutia. Tangu kuanza kwa Ligi Kuu Bara msimu huu, Simba imekuwa ikipata matokeo yasiyovutia huku ikicheza michezo mitano na kuambulia pointi tano...

 

5 years ago

Michuzi

DPP AWASILISHA MAOMBI MAHAKAMA YA MAFISADI KUTAKA AKAUNTI MBILI ZENYE SHILINGI BILIONI 16.7 ZA UPATU ZIWE MALI YA SERIKALI

Na Karama Kenyunko, Michuzi Globu ya Jamii.
MKURUGENZI Mashtaka nchini (DPP) Biswalo Mganga amewasilisha maombi katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi ( Mahakama ya Mafisadi), ya kuomba kutaifishwa kwa akaunti mbili za USD na moja ya EURO zenye jumla ya Shilingi bilioni 16.7 za upatu kuwa mali ya Serikali kutokana na washtakiwa hao raia wa kigeni kutofika mahakamani
Washtakiwa hao ni  raia wa Ujerumani Manon Huebenthal na raia wa Uingereza Frank Ricket ambapo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mechi za kimataifa za kirafiki zarindima

Michuano ya kirafiki ya kimataifa imeendelea kupigwa katika viwanja mbalimbali duniani.

 

9 years ago

Bongo5

Linah ana collabo mbili za kimataifa kibindoni

12298833_944662165599178_1629279455_n

Linah Sanga amesema tayari ameshafanya collabo mbili na wasanii wa kimataifa na amepanga kuzitoa mwakani.

12298833_944662165599178_1629279455_n

Ameiambia Bongo5 kuwa kazi hizo zitatoka mwakani kutokana na muda uliobaki kila msanii kutaka kutoa wimbo.

“Kabla sijafunga mwaka nilikuwa nataka kufanya kolabo kubwa za kimataifa. Nashukuru tayari nimefanikiwa ila siwezi kuziweka wazi nimefanya na nani na nchi gani.

Lakini ni kubwa na nimeshindwa kuziachia kwa sasa kutokana na muda uliobaki. Ila mashabiki wangu sitawaacha hivyo hivyo,...

 

10 years ago

Mwananchi

Malinzi: Kamwe Taifa Stars haitajitoa mechi za kimataifa

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amesema Tanzania haiwezi kujitoa kwenye mashindano kwa sasa kuhofia rungu la Shirikisho la Soka Ulimwenguni (Fifa).

 

9 years ago

MillardAyo

Matukio 10 hatari ambayo huwezi kuyaangalia mara mbili katika mechi ya mpira wa miguu (+Video& +18)

Soka imekuwa kama burudani nyingine ya kawaida kwa watu wa rika zote, siku hizi ni kawaida kuona mtu anapanga ratiba yake ya siku lakini usishangae kumuona katenga muda wa kwenda kuangalia mpira katika ratiba zake, licha ya kuwa ndio mchezo wenye mashabiki wengi duniani au ndio mchezo maarufu zaidi. Kuna baadhi ya matukio huwezi kutamani […]

The post Matukio 10 hatari ambayo huwezi kuyaangalia mara mbili katika mechi ya mpira wa miguu (+Video& +18) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani