Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAZOEZI YA SIMBA ZANZBAR USPIME

Wachezaji wa Simba SC, wakijifua ndani ya Uwanja wa Chuo cha Kislamu Jukwani mjini Zanzibar, kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga SC, unaotarajiwa kuchezwa Machi 8 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Wachezaji wa Simba wakiendelea na mazoezi yao ndani ya Uwanja wa Jukwani mjini…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Tambwe avuruga mazoezi Simba SC

Mshambuliaji wa Simba kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Amissi Tambwe(kushoto).
Na Sweetbert Lukonge
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Simba, Amissi Tambwe, jana alikuwa kituko katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika katika Gym ya Silas iliyopo Chang’ombe jijini Dar es Salaam. Katika mazoezi hayo, Tambwe alikuwa kituko kutokana na muda mwingi kufanya makosa kwa kwenda kinyume na maelekezo ya kiongozi wao, Silas Bungaca...

 

10 years ago

GPL

Lowassa atibua mazoezi Simba SC

Aliyekuwa mgombea mtarajiwa wa urais nchini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Edward Lowassa. Na Omary Mdose, Lushoto
BAADA ya aliyekuwa mgombea mtarajiwa wa urais nchini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Edward Lowassa jina lake kukatwa kwenye nafasi hiyo, hali ilibadilika kwenye mazoezi ya Simba yaliyofanyika juzi Jumamosi kwenye Uwanja wa Chuo cha Magamba, Lushoto, Tanga.… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Kagera Sugar yaiandalia Simba mazoezi rasmi

Kagera Sugar inaanza mazoezi yake kesho kujiandaa na Ligi Kuu, lakini imewaambia Simba kuwa itawasambaratisha katika mchezo baina yao.

 

10 years ago

Mwananchi

Baba Ubaya aanza mazoezi mepesi Simba

Beki wa kushoto wa kutumainiwa wa Simba, Issa Rashid ‘Baba Ubaya’ ameanza mazoezi na timu yake  ingawa daktari wa timu hiyo amemzuia kucheza mechi.

 

10 years ago

GPL

MAZOEZI YA SIMBA SC KWENYE UWANJA WA NANGWANDA, MTWARA

Kocha wa Simba, Mserbia Goran Kopunovic akiongoza kikosi chake katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika jana kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijao, mjini Mtwara, wakijifua  kuelekea mchezo wa leo dhidi ya Ndanda. Umati wa mashabiki wakishuhudia mazoezi ya kikosi cha Simba jana kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona huko Mtwara, wakijiandaa na mchezo wa leo, dhidi ya Ndanda.… ...

 

10 years ago

GPL

WACHEZAJI WA SIMBA WAKIWA KATIKA MAZOEZI JIJINI TANGA

Kocha wa Simba, Goran Kopunovic (mwenye mpira) akitoa maelekezo kwa wachezaji wake katika mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na mchezo wa leo dhidi ya Coastal union. Kiungo mshambuliaji wa Simba, Emannuel Okwi (katikati) akijaribu kumtoka kiungo wa timu hiyo, Jonas Mkude na beki, Hassani Kessy…

 

11 years ago

GPL

Logarusic avunja mazoezi Simba, aifuata Yanga Taifa

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravok Logarusic. Na Khatimu Naheka
KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravok Logarusic amelazimika kubadili ratiba ya mazoezi ya kikosi chake, kikubwa ni kuifuata Yanga itakayovaana na KMKM kesho Jumamosi. Akizungumza na Championi Ijumaa, Logarusic, raia wa Croatia, amesema atakuwepo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, kuiangalia Yanga itakapokuwa ikiumana na KMKM ya Zanzibar katika mchezo huo wa kirafiki ambapo...

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Michuzi

WACHEZAJI WA SIMBA KAMILI YAENDA ZANZIBAR KUWEKA KAMBI YA MAZOEZI

 Baadhi ya wachezaji wa Simba wakielekea kupanda boti katika Bandari ya Dar es Salaam, kwa ajili ya safari ya kwenda Zanzibar kwenye kambi ya mazoezi ya kujiandaa na Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, inayotarajiwa kuanzai hivi karibuni. (Picha na Francis Dande) Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwa wamepozi kwa picha. Mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe (wa pili kushoto) akiwa na wachezaji wenzake. Wachezaji wa Simba wakiwa wamepozi kwa picha.Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwa katika boti kabla...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani