Mbaroni kwa ‘utapeli’ akijifanya mkuu CCP
JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mkazi wa eneo la Mwakilyambiti, kijiji cha Hungumalwa, wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, Joseph Maliuta (27) kwa tuhuma za kujipatia Sh milioni 11 kwa wizi wa mtandao baada ya kujiita Mkuu wa Chuo cha Polisi Moshi (CCP), Matanga Mbushi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLFEROOZ MBARONI KWA UTAPELI
10 years ago
Mtanzania04 Jun
Mbaroni kwa tuhuma za utapeli
Na Upendo Mosha
SERIKALI wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, inamshikilia mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Preygod Mmasi, kwa tuhuma za kujihusisha na utapeli kwa kutumia kivuli cha Ofisi ya Waziri Mkuu na kuwatapeli wawekezaji wilayani humo kwa kushirikiana na baadhi ya watumishi wa Serikali.
Akizungumzia tukio hilo, Mkuu wa wilaya hiyo, Athoniy Mtaka ambaye pia ni Mwenyekiti wa ulinzi na usalama wilayani humo, alisema mtuhumiwa huyo alikamatwa Juni mosi mwaka huu saa 3 usiku mkoani Arusha...
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
Mbaroni kwa utapeli misikitini
KIJANA, John Charles, anashikiliwa katika Kituo cha Polisi Sitakishari, Dar es Salaam kwa tuhuma za utapeli kupitia misikiti. Tanzania Daima ilishuhudia kijana huyo akikamatwa na kufikishwa kwa Mwenyekiti wa Mtaa...
10 years ago
GPLKILA MMOJA AKIJIFANYA MJUAJI, KUNA MAPENZI?
10 years ago
Mwananchi11 Oct
Maofisa polisi 120 watimuliwa CCP
10 years ago
GPLROSE MUHANDO KWA UTAPELI TOO MUCH!
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Amanda atumika kwa utapeli
Staa wa Bongo Movies, Tamrina Posh ‘Amanda’.
Mwandishi wetu
Kaa chonjo! Staa wa Bongo Movies, Tamrina Posh ‘Amanda’ amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya jina lake kutumika kwa utapeli kwenye mitandao ya kijamii.
Amanda ameliambia Ijumaa Wikienda kwamba, kuna Amanda feki anayetumia jina lake kutapeli watu ambapo tayari amepokea malalamiko mengi huku jamaa mmoja akichukuliwa fedha kilaini (hakutaja kiasi) kupitia Facebook, akiamini ni staa huyo hivyo kuwataka watu kuwa makini kwani yeye hana...
10 years ago
GPLJOKATE ASAKWA KWA UTAPELI!
10 years ago
GPLBINTI MIAKA 14 ASUTWA KWA UTAPELI