MBASHA PUNGUZA MUNKARI!

EMMANUEL Mbasha ana jina kubwa katika muziki wa Injili hapa nchini. Lakini hata hivyo, ukubwa wa jina lake hautokani na uwezo wake wa kuifanya kazi hiyo, bali kitendo chake cha kufunga ndoa na mmoja kati ya waimbaji bora zaidi wa kike, Flora Mbasha. Simfahamu sana kikazi Emmanuel, lakini nimewahi kusikiliza nyimbo zake kadhaa na kugundua kuwa anacho kipaji kinachohitaji kuendelezwa. Anafanya kazi nzuri ya utumishi wa Mungu kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
FLORA MBASHA AKIRI: MWANANGU SI WA MBASHA!
11 years ago
Mwananchi19 Jul
Punguza kula vyakula vinavyosindikwa viwandani
11 years ago
GPL
WEE KAKA, PUNGUZA MAJI UGALI UIVE
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
GPL
MBASHA: NITAJIUA
11 years ago
GPL
MASKINI MBASHA!
9 years ago
GPL
MBASHA AANGUSHA PATI
10 years ago
Uhuru Newspaper
KESI YA MUME WA MBASHA
Daktari aanika taarifa ya vipimo
NA ATHNATH MKIRAMWENI
SHAHIDI wa nne katika kesi ya tuhuma za ubakaji inayomkabili Emmanuel Mbasha, mume wa mwanamuziki wa nyimbo za injili, Flora Mbasha, jana alidai mahakamani kuwa hakuona dalili zozote za kuingiliwa kimwili mlalamikaji.
Hayo yalidaiwa na daktari wa Hospitali ya Amana, Migole Mtuka, ambaye alimfanyia vipimo msichana huyo.

Daktari huyo alidai katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kwamba vipimo alivyomfanyia msichana huyo anayedaiwa kubakwa na...