Mbeya City yaifuata Kagera kwa ‘pipa’
>Timu ya soka ya Mbeya City kwa mara ya kwanza tangu ipande daraja msimu huu, jana iliondoka mjini Mbeya kuelekea Kagera ikitumia usafiri wa Shirika la Ndege la Fast Jet.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi18 Jan
ligi kuu ya vodacom yazidi kurindima, kagera city hoi kwa mbeya city, yanga yabanwa na ruvu shooting, azam na simba kidedea
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...
9 years ago
Habarileo03 Sep
Mbeya City kujipima kwa Shooting
TIMU ya Mbeya City inatarajiwa kujipima na Ruvu Shooting Jumapili katika mchezo wa kirafiki utakaochezwa kwenye uwanja wa Mabatini, Mlandizi ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao kuekelea michuano ya Ligi Kuu.
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
Mbeya City yafungua milango kwa wafadhili
UONGOZI wa Mbeya City umezidi kufungua milango kwa makampuni na wafanyabishara kuwekeza kwao kwa maslahi ya pande zote, hasa soka la Tanzania. Katibu wa Mbeya City, Emmanuel Kimbe akizungumza na...
9 years ago
Habarileo19 Sep
Prisons kumalizia hasira kwa Mbeya City
NAHODHA wa Tanzania Prisons, Laurian Mpalile amesema mchezo dhidi ya Mbeya City utakuwa mgumu lakini haiwafanyi kuogopa kucheza nao.
9 years ago
StarTV20 Aug
Kaseja arudi kwa kishindo Mbeya City
Kaseja alijiunga na Simba SC mwaka 2002 akitokea Moro United kabla ya mwaka 2009, kuhamia Yanga kwa mwaka mmoja kabla ya kurejea Msimbazi mwaka...
9 years ago
Mwananchi27 Sep
Mtihani kwa Mbeya City, African Sports
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
Mbeya City yajinoa kwa Mapinduzi Cup
TIMU ya soka ya Mbeya City, imeanza rasmi maandalizi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara na michuano ya Kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza visiwani Zanzibar Januari Mosi hadi...
9 years ago
Mwananchi12 Oct
Stars yaifuata Algeria kwa Jasho