Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbeya Lowassa

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Lowassa aliteka jiji la Mbeya

OTH_6174FREDY AZZAH, MBEYA

MGOMBEA Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, amelifunga jiji la Mbeya kwa mapokezi na kuomba kura akisema hana mchezo na kazi.

Pia, ameendelea kuwasisitizia wananchi, umuhimu wa kulinda kura zao baada ya kupiga hadi kitakapoeleweka.

Lowassa aliyasema hayo jana kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe vilivyopo jijini hapa.

“Wana Mbeya, kuna rafiki yangu...

 

10 years ago

Raia Mwema

Mbeya wajikata baada ya Lowassa kukatwa

HATUA ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwaengua wanachama wake walioaminika kuteuliwa na chama hicho

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AFUNIKA KYELA MKOANI MBEYA

  Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi wa Kyela Mkoani Mbeya katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika jumatatu  tarehe 19/10/2015 
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Freeman Mbowe, akihutubia wananchi katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa wananchi wa Kyela...

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa aaga Mwanza, kutikisa Mbeya

OTH_9895Na Fredy Azzah, Mwanza

ZIKIWA zimebaki siku nane kuanzia sasa kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amemaliza mikutano yake ya kampeni katika mikoa ya Kanda ya Ziwa kwa kuwasisitiza wanachama wake kuhakikisha wanalinda kura zao.

Baada ya kumaliza ziara zake katika kanda hiyo, Lowassa, anayeungwa mkono na vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), leo anatarajia kuanza mikutano mkoani Mbeya.

Mkoa...

 

10 years ago

Mtanzania

Mbowe kumtambulisha Lowassa Mbeya kesho

lowassa na mboweNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kitengo cha moyo alipokuwa amelazwa kwa saa 48.

Kutokana na afya yake kuimarika, kiongozi huyo wa upinzani kesho anatarajiwa kushiriki katika mkutano wa kumtambulisha mgombea urais wa chama hicho, Edward Lowassa, utakaofanyika jijini Mbeya.

Mbowe aliyehudumiwa na jopo la madaktari nane baada ya kushindwa kuhitimisha maandamano ya...

 

9 years ago

TheCitizen

Huge reception expected for Lowassa in Mbeya today

Chadema presidential candidate Edward Lowassa who is also supported by opposition political parties forming the Coalition of Defenders of the People’s Constitution (Ukawa) is expected to be introduced to his supporters here today in the evening.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani