Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBONGO ABAKWA CHINA, AFA

Stori: Mwandishi Wetu
AMA kweli dunia hadaa, ulimwengu shujaa! Kumeibuka mchezo mchafu, kuna Watanzania wanawachukua warembo nchini na kuwapeleka China kwa ahadi kwamba wanakwenda kufanya kazi saluni, wakifika kule wanawanyang’anya paspoti na kuwauza kwa wanaume (ukahaba), sasa yamemkuta Mbongo aitwaye Sabrina au Habiba, Ijumaa Wikienda lina mkasa wa kusikitisha. Habari za uhakika kutoka kwa chanzo chetu nchini humo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kikongwe Mbeya abakwa, afa

VIKONGWE  wawili, wamefariki dunia katika matukio tofauti mkoani Mbeya akiwemo   Mesia Shoti (71)  mkazi wa kijiji cha Sisitila, jijini Mbeya  kwa kubakwa na kisha kuuawa kwa kupigwa na kitu butu  kichwani. Tukio hilo limetokea...

 

10 years ago

GPL

MREMBO MBONGO AFIA CHINA!

Imelda Mtema
Mrembo Mtanzania aliyejulikana kwa jina la Rehema Mohamed (30), anadaiwa kufia katika Mji wa Shanghai nchini China wiki mbili zilizopita baada ya kuugua kwa muda mrefu hadi mauti yalipomfika huku ndugu zake wakichanganyikiwa kutokana na taarifa za kifo hicho. Mwanadada Rehema Mohamed anayedaiwa kufia China. Habari zaidi kutoka kwa aliyekuwa rafiki wa karibu wa Rehema nchini China, (jina lake linahifadhiwa)...

 

11 years ago

GPL

MBONGO ALIYEBAKWA HADI KUFA CHINA... MAZITO YAIBUKA!

Stori: Shakoor Jongo na Gabriel Ng’osha
KATIKA Gazeti la Ijumaa Wikienda la juzi Jumatatu, Toleo Namba 354 ukurasa wake wa mbele kuna habari yenye kichwa kisemacho; MBONGO ABAKWA CHINA, AFA! Sabrina enzi za uhai wake. Katika habari hiyo, kulisindikizwa na vichwa vidogo vilivyosomeka; Wabakaji ni Wanigeria watano, maiti yake yakutwa haina figo, moyo!
Habari hiyo ilimhusu Mtanzania aliyejulikana kwa… ...

 

11 years ago

Habarileo

Mtalii kutoka China afa akiogelea Dar

WATU wawili wamekufa maji jijini Dar es Salaam katika Sikukuu ya Krismasi akiwemo mtalii kutoka China aliyekufa wakati akiogelea na wenzake katika Hoteli ya Golden Tullip jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

MBONGO AUAWA MAREKANI

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
MAMIA ya wananchi wa Manispaa ya Morogoro wakiongozwa na Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro, Mhashamu Telesphor Mkude wamejitokeza kumzika marehemu Method Clecence Mengi aliyeuawa kwa kuchomwa visu na watu wasiofahamika nchini Marekani. Mama akimuaga marehemu mwanaye, Method Clecence Mengi. Mengi alikumbwa na ukatili huo wa kuchomwa visu vitatu, tumboni viwili na kwenye paji la uso...

 

11 years ago

Tanzania Daima

ALAT yawa mbongo

JUMUIYA ya Serikali za Mitaa (ALAT) Taifa, imeitaka serikali kuu kutangaza kuzivunja serikali za mitaa iwapo wanaona hazihitajiki kutokana na kushindwa kuzitambua katika rasimu ya katiba mpya. Kwamba rasimu hiyo...

 

10 years ago

GPL

MODO MBONGO ANAYESUMBUA MAREKANI

Mwanamitindo wa kimataifa Mtanzania anayeishi nchini Marekani, Tausi Likokola akijiweka sawa kufanya mahojiano kupitia Global TV Online. UKIZUNGUMZIA wanamitindo watatu walioandika historia Tanzania hadi sasa katika fani hiyo kimataifa ni wazi utamtaja mwanamitindo mkongwe, Tausi Likokola, Mtanzania anayefanya shughuli zake nchini Marekani kwa muda mrefu ambaye kwa sasa yupo nchini kwa ajili ya kusalimia na pia kuzindua miradi...

 

9 years ago

GPL

KAMPUNI YA MBONGO YAIBUKA KIDEDEA MAREKANI

Dickson Mkama. KUMBE! Wabongo tunaweza, Kampuni ya DMK Global ya nchini Marekani inayomilikiwa na kijana wa Kitanzania , Dickson Mkama imefanikiwa kuibuka kidedea katika kinyang’anyiro cha Tuzo za African Entertainment Awards U.S.A katika kipengele cha Best Promoter. Tuzo aliyoshinda Mkama. Kampuni hiyo ambayo imekuwa ikifanya kazi za kuandaa shoo za wasanii kibao wa kibongo na hata nje ya Bongo, ilichukua tuzo hiyo Oktoba 31,...

 

10 years ago

GPL

MBONGO AUAWA KWA SUMU UJERUMANI

Marehemu Robert John Mpwata (34) enzi za uhai wake. Na Makongoro Oging’, Issa Mnally/Uwazi MTU mmoja anayeaminika kuwa ni Mtanzania, Robert John Mpwata (34) anadaiwa kuuawa kwa kuwekewa sumu na mwili wake kukutwa chumbani kwake katika Mji wa Shorten nchini Ujerumani siku chache zilizopita. Habari kutoka kwa baadhi ya marafiki zake waliopo huko, zinasema Robert aliyekuwa mwanamichezo aliyecheza sarakasi, karate na judo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani