Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge aomba wadau kujenga ‘mochari’ Chalinze

MBUNGE wa Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani, Ridhiwani Kikwete, amewaomba wadau wa afya ndani na nje ya mkoa huo kujenga chumba cha kuhifadhia maiti kwenye vituo vya afya kwenye jimbo hilo, kwani hakuna kituo cha afya chenye huduma hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE AZINDUA MAKTABA YA KISASA SHULE YA SEKONDARI CHALINZE

1Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akikata utepe kuzindua maktaba ya shule ya sekondari ya Chalinze mjini Chalinze jana ambayo imejengwa na Kampuni ya Tanga Cement kupitia bidhaa yake ya Simba Cement kwa kushirikiana na taasisi ya Read International kwa gharama ya shilingi milioni 42 za kitanzania katika kuboresha elimu jimboni humo.
Mbunge huyo pia ameahidi kujenga jiko katika shule hiyo na kuongeza kompyuta ili wanafunzi wajengewe mzingira mazuri zaidi ya kujisomea lakini...

 

11 years ago

GPL

MBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE AZINDUA MAKTABA YA KISASA SHULE YA SEKONDARI CHALINZE‏

Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akikata utepe kuzindua maktaba ya shule ya sekondari ya Chalinze jana ambayo imejengwa na Kampuni ya Tanga Cement kupitia bidhaa yake ya Simba Cement kwa kushirikiana na taasisi ya Read International kwa gharama ya shilingi milioni 42 za kitanzania katika kuboresha elimu jimboni humo, Mbunge huyo pia ameahidi kujenga jiko katika shule hiyo na kuongeza kompyuta ili wanafunzi...

 

11 years ago

Michuzi

MKE WA MBUNGE WA CHALINZE AGAWA MISAADA KWA FAMILIA ZENYE MAHITAJI MUHIMU CHALINZE

1Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete,Bi. Arafa Mohammed (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Vyombo vya ndani na Tende mzee Said Khamis Mnyika wa kijiji cha Changarikwa kata ya Mbwewe kama zawadi ya mbunge huyo katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan kwa familia zenye mahitaji muhimu kutokana na kuishi katika mazingira magumu.ambapo vifaa vya ndani pamoja na Tende zitatolewa kwa familia zipatazo 600 katika kata zote za jimbo hilo.

Huu ni mwendelezo wa shughuli za mbunge huyo...

 

11 years ago

GPL

MKE WA MBUNGE WA CHALINZE AGAWA MISAADA KWA FAMILIA ZENYE MAHITAJI MUHIMU CHALINZE‏

Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete(kushoto) akimkabidhi zawadi ya vyombo vya ndani na Tende Mzee Ahmad Ramadhan mmoja wa wazee wa kijiji cha Changarikwa wakati alipotoa zawadi hizo kwa familia zenye mahitaji muhimu katika kata ya Mbwewe jana.…

 

11 years ago

GPL

MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE, RIDHIWANI AOMBA KURA KATA YA UBENA

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Jakaya Kikwete, akihutubia mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Visakazi, katika kata ya Ubena jana.
Wananchi wa kijiji cha Visakazi wakinyoosha mikono kuonyesha kumuuunga mkono Ridhiwani wakati wa mkutano…

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge aomba chakula cha msaada Kwimba

WILAYA ya Kwimba inakabiliwa na njaa, hali ambayo mbunge wa Sumve , Richard Ndassa ameomba Serikali kuwaletea wananchi chakula cha msaada.

 

9 years ago

Mwananchi

NYANZA: Mbunge aomba BMC iongezewe bajeti

Mbunge wa Nyamagana Stanslaus Mabula amemuomba Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu kuishawishi Serikali kuitengea bajeti Hospitali ya Rufaa Bugando (BMC) kwa asilimia 100 ili kuboresha huduma zake kwa wananchi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa.

 

10 years ago

Michuzi

Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ajiandikisha Msoga

 Mwandikishaji Msaidizi katika kituo cha kupiga kura kituo cha Afya Msoga Bi.Happyness Thomas Misana akimkabidhi fomu Mbunge wa Chalinze Mh.Ridhiwani Kikwete wakati mbunge huyo alipojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura leo.Afisa TEHAMA kutoka Tume ya Taisa Ya Uchaguzi Bwana SAnif Khalfan akimkabidhi Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete kutambulisho chake cha mpiga kura baada ya kujiandikisha katika daftari la kudumu la kupiga kura leo

 

11 years ago

GPL

MBUNGE WA CHALINZE, SAID BWANAMDOGO (CCM) AFARIKI DUNIA

Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo enzi za uhai wake. Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo (CCM), aliyekuwa amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU), katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa (MOI), amefariki…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani