Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge azilipua wizara zilizovuka bajeti iliyotengwa

Mbunge wa Pangani (CCM), Saleh Pamba amezilipua wizara tatu kwa kutumia fedha zaidi ya bajeti iliyotengewa ikiwamo Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ambayo ilitengewa Sh35 bilioni lakini ikatumia Sh154 bilioni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Bajeti ya Wizara ya Fedha ni kufuru

Bajeti ya Wizara ya Fedha kwa mwaka ujao wa fedha imetuthibitishia kitu kimoja kikubwa. Kwamba wizara hiyo inajiona iko juu ya wizara nyingine, hivyo kuziona shughuli zake kama kipaumbele pekee cha Taifa

 

11 years ago

Habarileo

Bajeti ya Wizara ya Kilimo yapita

PAMOJA na wabunge kuchachamalia makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika kwa kuondoa shilingi mara kadhaa, bajeti hiyo ilipita pamoja na maboresho.

 

11 years ago

Mwananchi

Waiponda Bajeti Wizara ya Afya

Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, imesema Serikali imeweka rehani wananchi wake kutokana na uamuzi wake wa kuchangia kiasi kidogo cha fedha za maendeleo za Bajeti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii mwaka 2014/15.

 

11 years ago

Mwananchi

Bajeti za wizara zinaandaliwa kisanii

Tuliwahi kusema kupitia katika safu hii kwamba vituko vingi vinavyotokea hapa nchini ni vigumu kutokea katika nchi nyingine. Tulikuwa na maana kwamba nchi yetu ina matukio mengi ya ajabu na ya aina yake.

 

11 years ago

GPL

VIDOKEZO MUHIMU BAJETI YA WIZARA YA ULINZI

WABUNGE wameendelea kuchangia hotuba ya Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kutenga Taifa Dk. Hussein Mwinyi aliyoitoa jana. Vifuatavyo ni baadhi ya vidokezo vilivyochangiwa na waheshimiwa wabunge wa Bunge la 10 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mkutano wake wa 15 kwenye kikao chake cha Saba. Wataalamu tunao, tumewatelekeza- Anna Abdalah
MBUNGE wa Viti Maalum, Anna Abdalah amesema nchi imewatelekeza wataalamu mbalimbali waliopo jeshini,...

 

10 years ago

Habarileo

Kamati yaridhia bajeti ya Wizara ya Habari

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, Albert Obama KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, imeridhia zaidi ya Sh bilioni 29.41 zilizotengwa kwa ajili makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.

 

10 years ago

Habarileo

Wizara kufunga bajeti wiki hii

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum.MAKADIRIO ya Mapato na Matumizi ya Wizara mbalimbali za Serikali yanatarajiwa kuhitimishwa wiki hii wakati wizara sita nyeti zitakapokamilisha uwasilishaji wa bajeti hizo kwa mwaka wa fedha 2015/16.

 

11 years ago

Mwananchi

Wawakilishi waikataa Bajeti ya Wizara ya Afya

Baraza la Wawakilishi Zanzibar limeamua kuondoa Bajeti ya Wizara ya Afya baada ya wajumbe wa baraza hilo kuipinga kwa madai kuwa matumizi yaliyopendekezwa hayajazingatia kuondoa kero zinazoikabili sekta ya afya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani