Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCD, Mzee Dude hatuko nao tena

TASNIA ya sanaa hapa nchini imepata pigo baada ya kuondokewa na wasanii wawili, Soud Mohamed ‘MCD’ wa bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ na  Mzee Dude wa kundi la vichekesho...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MZEE DUDE AFARIKI DUNIA

Mzee Dude enzi za uhai wake. MSANII wa kundi maarufu la vichekesho na uigizaji la Futuhi, Mzee Dude amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya Rufaa Bugando iliyopo jijini Mwanza leo jioni! Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.…

 

11 years ago

GPL

MAZISHI YA MSANII WA FUTUHI MZEE DUDE OMARY

Mwili wa   marehemu Omary Majuto maarufu kwa jina la Mzee Dude aliyefariki jana jioni ukiombewa duwa. Kwa mapenzi mema na urafiki hata watoto wadogo walishiriki kuweka mchanga kuusitiri mwili wa aliyekuwa mwigizaji wa kundi la uchekeshaji wa luninga la FUTUHI marehemu Omary Majuto maarufu kwa jina la Mzee…

 

11 years ago

GPL

DUDE ‘APIGWA’ TENA!

Stori: Gladness Mallya MGANGA hajigangi! Licha ya kuwa msanii mahiri anayeelimisha jamii jinsi ya kugundua utapeli na kuepukana nao, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameibiwa ‘kupigwa’ vifaa vya saluni na vibaka. Msanii mahiri Kulwa Kikumba ‘Dude’. Akistorisha na mwanahabari wetu, Dude alisema juzikati vibaka hao walipanda kwenye dari na kukata ‘celling board’ kisha kuingia ndani ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

Bongo Dar-Es-Salaam ya Dude Kurudi Tena Hivi Karibuni!!

Kipindi  cha mchezo wa maigizo cha  Bongo Dar es Salaam kilichojizolea mashabiki na watazamaji wengi kinalejea tena hivi karibuni baada ya kusimama kwa  zaidi ya miaka mitatu.

Mwigizaji Kulwa Kikumba “Dude” ambae ni muigizaji mkuu na mmiliki wa kipindi hicho amewadokeza mashabiki wake mtandaono na kuwa kipindi kitakuwa hewani hivi karibuni na kuweka baadhi ya picha akiwa lokesheni wakifanya kazi huku akimtaja  muigizaji Haji Adam kuwa ni moja ya staa atakaefanya nae kazi.

Bila shaka wengi...

 

10 years ago

Vijimambo

HARAMBEE YA MZEE EDDIS MGAWE DMV DOLA 3,000 ZAPATIKANA, WATANZANIA OKLAHOMA NAO WACHANGA JUMLA YA MICHANGO NI 13,1OO


 Mary Mgawe(kuli) akiwa mwenye huzuni huku akilia kwa uchungu wa kufiwa na mpendwa baba yake marehemu mzee Eddis Mgawe aliyefariki siku ya Jumapili March 29, 2015 usiku , kushoto ni Jasmine Rubama akimfariji wakati wakiwa kwenye harambee iliyofanyika siku ya Jumatano na kuwezesha kukusanya jumla ya dola 3,000 na kufanya jumla ya fedha zilichangishwa wakiwemo wanaDMV na Watanzania Oklahoma kufikia dola 13,100 lengo lilikua 13,955 kiasi kilichobaki ni dola 855 Familia na kamati inatoa...

 

11 years ago

GPL

MAJANGA TENA; MZEE SMALL AFARIKI DUNIA

Muigizaji mkongwe nchini, Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small amefariki dunia usiku huu akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar. Mzee Small amefariki kwa ugonjwa wa presha baada ya kuugua kwa muda mrefu kabla ya kuzidiwa jana na kupelekwa Muhimbili. Mtoto wa marehemu aitwaye, Muhidin amethibitisha kifo cha Mzee Small. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!… ...

 

10 years ago

Mtanzania

ADC: Hatuko tayari kujiunga na Ukawa

NA AZIZA MASOUD, TANGA
CHAMA cha siasa cha ADC, kimesema hakiwezi kujiunga na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa kuwa umoja huo una lengo la kuua vyama vidogo vya siasa.
Akizungumza katika viwanja vya Kwediboma wilayani Kilindi, mkoani Tanga juzi, Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Said Miraji, alisema Ukawa wana lengo la kuvidhoofisha vyama vidogo kupitia mpango wao wa kugawana majimbo kwa sera ya maeneo wanayokubalika.
“Ukawa wameonyesha udhaifu mkubwa wa kugawana majimbo kwa hoja ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani