Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DUDE ‘APIGWA’ TENA!

Stori: Gladness Mallya MGANGA hajigangi! Licha ya kuwa msanii mahiri anayeelimisha jamii jinsi ya kugundua utapeli na kuepukana nao, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameibiwa ‘kupigwa’ vifaa vya saluni na vibaka. Msanii mahiri Kulwa Kikumba ‘Dude’. Akistorisha na mwanahabari wetu, Dude alisema juzikati vibaka hao walipanda kwenye dari na kukata ‘celling board’ kisha kuingia ndani ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

MCD, Mzee Dude hatuko nao tena

TASNIA ya sanaa hapa nchini imepata pigo baada ya kuondokewa na wasanii wawili, Soud Mohamed ‘MCD’ wa bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ na  Mzee Dude wa kundi la vichekesho...

 

10 years ago

Bongo Movies

Bongo Dar-Es-Salaam ya Dude Kurudi Tena Hivi Karibuni!!

Kipindi  cha mchezo wa maigizo cha  Bongo Dar es Salaam kilichojizolea mashabiki na watazamaji wengi kinalejea tena hivi karibuni baada ya kusimama kwa  zaidi ya miaka mitatu.

Mwigizaji Kulwa Kikumba “Dude” ambae ni muigizaji mkuu na mmiliki wa kipindi hicho amewadokeza mashabiki wake mtandaono na kuwa kipindi kitakuwa hewani hivi karibuni na kuweka baadhi ya picha akiwa lokesheni wakifanya kazi huku akimtaja  muigizaji Haji Adam kuwa ni moja ya staa atakaefanya nae kazi.

Bila shaka wengi...

 

10 years ago

GPL

AUNT LULU APIGWA TENA NA BWANA’KE

Stori: Gladness Mallya
MWANADADA mwenye umbo tata Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amedaiwa kubondwa tena na mpenzi wake aitwaye Amani, kisa kikitajwa kuwa ni wivu wa kimapenzi. Mwanadada mwenye umbo tata Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’. Chanzo cha habari ambacho ni jirani na msanii huyo kimeeleza kuwa, Aunt Lulu alichezea kipigo hicho hivi karibuni akiwa nyumbani kwao Mbezi Salasala jijini Dar...

 

11 years ago

Bongo5

Chris Brown apigwa chini tena na mpenzi wake Karrueche Tran kisa Rihanna!

Button ya uhusiano wa mwimbaji Chris Brown na mrembo wake Karrueche Tran imewekwa ‘Off’ kwa mara nyingine na sababu ni Rihanna. Siku chache zilizopita kuna shabiki mmoja alipost picha ya Chris Brown akiwa kitandani na Rihanna na kumtag Breezy ambaye naye ali ‘like’, kwa mujibu wa TMZ hiyo ni moja ya sababu ya Karrueche ku’switch […]

 

5 years ago

Michuzi

WATANZANIA NAOMBA KUANZIA SASA CORONA AWE RAFIKI YETU...KWELI TENA , ASIWE ADUI TENA


Na Said Mwishehe, Michuzi TV

CORONA mambo vipi? Natumai uko salama na unaendelea vema na majukumu yako ya kila siku hapa duniani tangu ulipokuja Desemba mwaka 2019.

Karibu Corona, karibu Duniani, karibu kila unapotaka kuingia. Ndio karibu Corona maana umekuja na malengo yako.

Malengo ya kuua maelfu ya binadamu. Sawa Corona maana ndicho unachoona kwetu sisi.

Dunia inalia tangu ulipokuja na kuanza kuua watu wasio na hatia. Umetutia majonzi makubwa sana,  tunalia kwa ajili yako, wengi wamepoteza...

 

11 years ago

GPL

DUDE

Stori: Gladness Mallya
Msanii wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameeleza sababu ya baadhi ya wasanii kuutenga msiba Saidi Ngamba ‘Mzee Small’ akidai kuwa wengi waliona aibu kutokana na walivyomtenga alipokuwa akiumwa. Msanii wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Dude alisema: “Wasanii wengi tumeona aibu kuja hata kwenye maandalizi kutokana...

 

11 years ago

GPL

MASTAA WAMBWATUKIA DUDE

Stori: Gladness Mallya
WASANII wa kike wanaotamba kwenye filamu za Kibongo, hivi karibuni wamembwatukia staa mwenzao, Kulwa Kikumba ‘Dude’ na kuipinga kauli yake kwamba mastaa wengi wa kike wametokea kwenye uchangudoa na kuvamia tasnia hiyo, shuka na mistari uipate habari hii. Kulwa Kikumba ‘Dude’. Wakizungumza na Risasi Jumamosi, mastaa hao wamemtaka Dude kuacha tabia ya kuropoka kwani kauli yake...

 

10 years ago

Bongo Movies

Dude Alaumu Viwango 0

Dude alaumu wasanii wenzake kwa kutoa utitiri wa filamu zisizo na viwango  na kusema  anataka kuleta mabadiliko katika filamu yake  mpya, baada ya kukaa muda mrefu bila kutoa sinema.

Dude alisema wasanii wengi  wa filamu  nchini  wana vipaji lakini  wanashindwa kuvitumia ipasavyo kutokana na kuandika miswada ya filamu ambazo hazina elimu yoyote kwa jamii.

Mbali na miswada mibovu , Dude amesema pia wasanii wengi wana tatizo la kuingiza mambo binafsi  ambayo hayaendani na  hadithi  yenyewe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani