Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Membe: Tulikuwa ‘tunagongana’ angani utadhani nyumbani kuna moto

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amempongeza Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli kwa kupiga marufuku safari za nje ya nchi, akisema mawaziri na watendaji wa Serikali walikuwa “wakigongana” angani na ndege utadhani Tanzania ilikuwa ikiwaka moto.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Penny Mungilwa Nyumbani kwake kuna klabu ndogo

Penny (4)Mtangazaji Penniel Mungilwa ‘Penny’.

SIKU zote hapa huwa tunawatembelea mastaa mbalimbali nyumbani kwao. Leo tunaye Mtangazaji Penniel Mungilwa ‘Penny’ anayeishi maeneo ya Mwananyamala jijini Dar.

Penny (9)Anaipenda nyumba yake. Ameidizaini mapambo kwani mwenyewe pia anafanya shughuli hiyo na kutengeneza kipato pia. Mbali na kupambwa na vitu tofauti, nyumbani kwake kuna klabu ndogo yenye vinywaji vilivyo na kilevi na vya kwaida.

Penny (10)
Kama hiyo haitoshi, kuna  eneo maalum aliloweka mtungi wa shisha....

 

9 years ago

MillardAyo

Nyumbani kwa Chris Brown kuna nini?!.. Nyingine ya mwanamke kuvamia nyumba yake imenifikia!

Miezi kadhaa iliyopita, Chris Brown aliziandika headlines baada ya taarifa kusambaa kuwa kuna mwanamke alivamia nyumba yake na kujikaribisha mpka ndani pamoja na kuchora kuta za nyumba za staa huyo na maandishi yaliyosema ‘I Love You Chris’… hiyo ilikuwa miezi saba iliyopita, kuna nyingine mpya inayofanana na hiyo pia! Siku ya jumanne tarehe 22 December […]

The post Nyumbani kwa Chris Brown kuna nini?!.. Nyingine ya mwanamke kuvamia nyumba yake imenifikia! appeared first on...

 

9 years ago

Mwananchi

Sheria inayolazimisha vizima moto nyumbani ipo tayari

Majanga ya moto yaliyotokea Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam katika kipindi cha miezi sita, yamesababisha huzuni na kuacha kumbukumbu mbaya, yenye maumivu kwa ndugu, jamaa na marafiki, baada ya watu 15 wa familia mbili kupoteza maisha ghafla kwa kuungua moto ndani ya nyumba walizokuwa wakiishi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kocha: Simba tulikuwa na kikosi imara

Kocha mkuu wa Simba Mserbia, Goran Kopunovic amesema ameridhishwa na timu yake kushinda nafasi ya tatu ligi kuu ya Tanzania Bara

 

10 years ago

Bongo Movies

Ray:Mimi na Kanumba Tulikuwa Tunaitwa Wauza Sura!!

Muigizaji na muongozaji wa filamu, Vicent Kigosi ‘Ray’aliayasema hayo mara baada ya kubandika picha ya kasha ya filamu hiyo hapo juu.

“Dahaaa leo katika pita pita yangu nimekutana na hii picha yani nikakumbuka mbali sana kuwa tulifanya jitihada kubwa sana mimi Ray The Greatest na marehemu Kanumba The Great kuifikisha tasnia hapa ilipo na kila mtu kutamani kuigiza lakini kipindi hiki nakumbuka tulikuwa tukiitwa wauza sura. DANGEROUS DESIRE embu niambie mdau unakumbuka nini kuhusu sinema...

 

10 years ago

Dewji Blog

Moto wawaka ndani ya Lindi wakati Mheshimiwa Bernard Membe akitangaza nia ya kugombea urais 2015

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwapungia mkono umati wa wana CCM na wakazi wa Lindi katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa, wakati alipotangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba. (Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog).

Wananchi wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard...

 

10 years ago

Vijimambo

NDOA NDOANO:MKE AMWAGIA MUMEWE MAJI YA MOTO BAADA YA KUULIZWA NA MUMEWE KWANINI AMECHELEWA KURUDI NYUMBANI!!

Mwanamke mmoja katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara, amemfanyia ukatili mume wake kwa kumwagia maji ya moto yaliyokuwa yametengwa kwa ajili ya kupikia ugali.Kwa mujibu wa jeshi la polisi wilayani hapa, tukio hilo lilitokea juzi, saa 4:30 usiku, katika mtaa wa Nyamakokoto, mjini Bunda, baada ya kuzuka ugomvi ulitokana na mwanamke huyo (jina linahifadhiwa) kuchelewa kurudi nyumbani.Mwanaume huyo amejeruhiwa vibaya mume wake sehemu mbalimbali za mwili wake, hali iliyopelekea kulazwa katika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mjadala; Watanzania Diaspora, Tunawataka wajenge vihenge nyumbani, lakini hatutaki wawe na haki kama tulio nyumbani, kwanini?

MJENGWA

Ndugu zangu,

Leo alfajiri niliongoza mjadala kwenye redio za Kwanza Jamii na Nuru FM kuhusiana na kongamano linaloendelea Dar la Watanzania wa Diaspora wanaokutana nyumbani, Tanzania.

Ni kwa nini tuna hofu na Watanzania wenzetu walio ughaibuni? Hofu hii ni ya kihistoria.

Kwanini kongamano hili la kwanza kufanyika lisiwe la mwisho kufanyika katika sura yake hii, kwamba maudhui ya kongamano yenyewe kuwa ni ; connect, engage, inform and ivest nako kunakosekana dhana integration kwa maana ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani