Penny Mungilwa Nyumbani kwake kuna klabu ndogo
Mtangazaji Penniel Mungilwa ‘Penny’.
SIKU zote hapa huwa tunawatembelea mastaa mbalimbali nyumbani kwao. Leo tunaye Mtangazaji Penniel Mungilwa ‘Penny’ anayeishi maeneo ya Mwananyamala jijini Dar.
Anaipenda nyumba yake. Ameidizaini mapambo kwani mwenyewe pia anafanya shughuli hiyo na kutengeneza kipato pia. Mbali na kupambwa na vitu tofauti, nyumbani kwake kuna klabu ndogo yenye vinywaji vilivyo na kilevi na vya kwaida.
Kama hiyo haitoshi, kuna eneo maalum aliloweka mtungi wa shisha....
Global Publishers
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo24 Oct
Mfanyabiashara auawa nyumbani kwake
MFANYABIASHARA wa nafaka wa Maili Mbili , Dodoma mjini, Kapteni Mwita maarufu kama Chacha amepigwa risasi tatu na kufa akiwa nyumbani kwake.
11 years ago
GPLLOWASSA AANGUSHA BONGE LA PATI NYUMBANI KWAKE
10 years ago
VijimamboASHA AFUTARISHA NYUMBANI KWAKE GERMANTOWN, MARYLAND
10 years ago
VijimamboMAALIM SEIF AFUTARISHA MASHEIKH NYUMBANI KWAKE
11 years ago
GPLAMANDA AGEUZA DUKA LA MSHIKAJI NYUMBANI KWAKE
10 years ago
GPLNISHA AVAMIWA NYUMBANI KWAKE, APORWA MALI
9 years ago
Mwananchi11 Nov
Membe: Tulikuwa ‘tunagongana’ angani utadhani nyumbani kuna moto
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Baba anyonga mtoto akidai si wa kwake, atoroka nyumbani
9 years ago
Dewji Blog15 Dec
Balozi wa Iran amtembelea Mzee Mwinyi nyumbani kwake
Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (kulia) akikabidhi Picha kwa Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mh. Mehdi Aghajafari, inayoonyesha sehemu ya Utamaduni wa Tanzania, wakati alipomtembelea Nyumbani kwake, Mikocheni, Jijini Dar es salaam Disemba 14, 2015.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (kulia) akikabidhi Picha yake rasmi kwa Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mh. Mehdi Aghajafari,...