Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MENINNAH: NJOONI TUFURAHI PAMOJA NDANI YA TAMASHA LA MATUMAINI

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Meninnah naye ni miongoni mwa mastaa watakaotoa burudani katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014. Staa huyo anawaalika watu wote kuhudhuria kwa wingi katika tamasha hilo litakalofanyika Agosti 8, 2014 ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar ili waweze kufurahi pamoja naye.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MASHABIKI WANGU NJOONI TUFURAHI NA KUCHEZA PAMOJA KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI- JB

Staa wa filamu za Kibongo, Jacob Steven 'JB' anawakaribisha mashabiki wake wote kuhudhuria kwa wingi katika Tamasha la Usiku wa Matumaini ambapo amejigamba kumgalagaza staa mwenzake Issa Mussa 'Cloud 112' katika upande wa 'boxing'. Katika mechi kati ya Bongo Muvi na Bongo Fleva, staa huyo amesema amepangwa kuongoza safu ya ushambuliaji akicheza namba 9! ...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DK. BILAL NDANI YA TAMASHA LA MATUMAINI 2014

Makamu wa Rais wa Tanzania, Mohamed Ghalib Bilal amelipongeza wazo la Tamasha la Usiku wa Matumaini lililoandaliwa na Kampuni ya Global Publishers, jana kuwa ni zuri.
Alimpongeza Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo kwa kuandaa tamasha hilo kwani linaunganisha Watanzania wote.Mgeni rasmi katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014, Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Ghalib Bilal akitoa hotuba.Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd ambao ndiyo waandaaji wa Tamasha la Usiku wa Matumaini...

 

11 years ago

GPL

MAKAMUZI YA SHILOLE NDANI YA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014

Mwanadada mwigizaji na mwanamuziki Zuwena Mohamed 'Shilole' akicheza kwa kujiachia katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 usiku wa kuamkia leo. Zuwena Mohamed 'Shilole' akiongea na mashabiki wake.…

 

11 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS DK. GHARIB BILAL NDANI YA TAMASHA LA MATUMAINI 2014

Mgeni rasmi katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014, Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal akitoa hotuba fupi. Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd ambao ndiyo waandaaji wa Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014, Eric Shigongo naye akitoa neno la…

 

11 years ago

GPL

MADEE AMTAFUTA ALIYEMWAGA POMBE YAKE NDANI YA TAMASHA LA MATUMAINI 2014

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya kutoka Kundi la Tip Top Connection, Ahmad Ally 'Madee' akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014. Madee akisema na mashabiki wake.…

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014: STAA WA JOHNNY... EEE! KUTOKA NIGERIA NAYE NDANI

Yemi Alade. IM looking for my Johnny
Where is my Johnny...
Johnny oooh
Do you know Johnny...question Kiitikio hicho ndiyo habari ya mjini kwa sasa na good news ni kwamba staa wa wimbo huo, Yemi Alade wa Nigeria anadondoka Bongo kwa mara ya kwanza kuungana na listi ndefu ya wasanii wa nyumbani kulipamba Tamasha la Usiku wa Matumaini, Agosti 8, mwaka huu… ...

 

11 years ago

GPL

IVO MAPUNDA: WATANZANIA NJOONI TUONYESHE MATUMAINI KWA TAIFA LETU

Kipa namba moja wa Simba SC, Ivo Mapunda awakaribisha Watanzania katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar kuonyesha matumaini yao kwa Tanzania.

 

11 years ago

GPL

Azam, Mtibwa kunogesha Tamasha la Matumaini

Kikosi cha timu ya Azam, FC Na Khadija Mngwai
TIMU za Azam FC na Mtibwa Sugar, zinatarajiwa kunogesha Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalofanyika Agosti 8, mwaka huu jijini Dar es Salaam kwa kushuka dimbani siku hiyo kuonyeshana ubabe. Tamasha hilo litahusishwa na burudani kibao ikiwa ni pamoja na mechi za Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa upande wa Simba na Yanga ambao wataonyeshana ubabe kwa kujua nani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani