Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfungwa aliyetoroka jela anaswa kabatini

Mfungwa aliyetoroka gerezani nchini Australia wiki kadha zilizopita amekamatawa akiwa amejificha kabatini.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mfungwa aliyetoroka New York akamatwa

Mfungwa aliyetoroka kutoka gereza la New York amekamatwa na karibu na mpaka wa Canada

 

10 years ago

GPL

BI HARUSI ALIYETOROKA ANASWA!

SHANI RAMADHANI YULE mwanamke Tatu Ally, mkazi wa Kongowe, Mbagala jijini Dar aliyefunga ndoa na kutoroka kwa mumewe aliyetajwa kwa jina moja la Ramadhan, mkazi wa Mbezi-Kimara, amenaswa baada ya msako mkali uliofanywa na polisi kwa kushirikiana na ndugu zake. Tatu Ally aliyedaiwa kumtoroka mumewe baada ya ndoa. Stori ya Tatu kutoroka kwa mumewe siku moja baada ya kufunga ndoa iliripotiwa na gazeti hili wiki iliyopita, ukurasa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali kumwajibisha mkandarasi aliyetoroka

WIZARA ya Maji imetakiwa kumchukulia hatua za kinidhamu mkandarasi wa mradi wa maji wilayani Meatu aliyetoroka kazini. Ushauri huo ulitolewa bungeni jana na Mbunge wa Biharamulo Magharibi, Dk. Antony Mbassa...

 

10 years ago

Vijimambo

Mtoto aliyetoroka Moshi, aibukia Dar es Salaam

Mtoto Hassan Masasi, aliyetoroka nyumbani kwao Moshi, Kibosho-Umbwe, mkoani Kilimanjaro.
Mtoto Hassan Masasi (pichani), aliyetoroka nyumbani kwao Moshi, Kibosho-Umbwe, mkoani Kilimanjaro, ameonekana jijini Dar es Salaam.

Akizungumza jana katika ofisi za gazeti hili zilizoko Mikocheni jijini Dar es Salaam, mtoto huyo mwenye umri wa miaka saba, alisema ni mwanafunzi wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Kindi Juu, iliyopo Moshi, Kibosho- Umbwe.

Alimtaja mama yake mzazi kuwa ni Pendo...

 

10 years ago

Mtanzania

Wananchi wamuua aliyetoroka baada ya kumuua polisi

David-MisimeNA RAMADHAN HASSAN, DODOMA

MTUHUMIWA Tissi Mallya ambaye alitoroka baada ya kumuua polisi, G.7168 Koplo Joseph Swai, ameauwa usiku wa kuamkia jana na wananchi alipokuwa amejificha akiwa na panga lenye damu lililotumika kwenye mauaji hayo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) David Misime alisema hayo jana katika mkutano wake na waandishi wa habari.

Mauaji hayo yalitokea juzi asubuhi katika eneo la Chang’ombe Juu.

Kamanda Misime alisema baada ya Malya...

 

10 years ago

GPL

KIBAKA ALIYETOROKA KITUO CHA POLISI TABATA, DAR AKAMATWA

Mwizi aliyetoroka kituo cha akiwa chini ya ulinzi wa raia wenye hasira kali maeneo ya vingunguti msimbazi. Raia wakipanga kumchoma moto kibaka huyo. Na waandishin wetu Kibaka aliyetoroka kituo cha polisi Tabata hatimaye kukukamatwa majira ya saa tano asubuhi maeneo ya msimbazi vingunguti na kurudishwa…

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK amnusuru mfungwa EPA

MFANYABIASHARA, Ajay Somai, aliyetupwa jela kwa kosa la kukwapua sh bilioni 3.8 kutoka Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kwa njia ya udanganyifu, anadaiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfungwa wa EPA aibua mapya

JESHI la Magereza (TPS) nchini limekiri kuachiwa huru kwa msamaha wa Rais Jakaya Kikwete, mfanyabiashara , aliyetupwa jela kutumikia kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kukwapua sh bilioni 3.8...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani