Mgambo aliyejeruhiwa na majambazi afariki
NA RABIA BAKARI
MGAMBO Venance Francis, aliyejeruhiwa na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi, ambao waliteka kituo cha polisi, kuua askari na kupora silaha, amefariki.
Marehemu huyo, ambaye alijeruhiwa kwa risasi begani, alifariki jana wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani.
Tukio hilo la aina yake lilitokea usiku wa kuamkia juzi katika Kituo cha Polisi cha Mkamba, kilichoko Kimanzichana, wilayani Mkuranga, mkoani Pwani.
Kamishna wa Upelelezi na...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo11 Feb
Katibu wa CCM aliyejeruhiwa aendelea kutibiwa
KATIBU wa UVCCM, Kata ya Majengo, Wilaya ya Kahama, Sebastian Masonga (34) anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando alikolazwa baada ya kupigwa na watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chadema akitoka kwenye kampeni za udiwani wilayani humo.
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Polisi aliyejeruhiwa kwa bomu afanyiwa upasuaji wa mkono
11 years ago
Michuzi.jpg)
SITTA AMJULIA HALI MJUMBE WA BUNGE MAALUM ALIYEJERUHIWA NA WATU WASIOJULIKANA
.jpg)
.jpg)
11 years ago
GPL
MTOTO ALIYEJERUHIWA KATIKA SHAMBULIO KANISANI AFIKISHWA NAIROBI KWA MATIBABU
11 years ago
Mwananchi19 Feb
Wafanyabiashara wawaonya mgambo
9 years ago
Habarileo07 Dec
Yanga, Mgambo vitani
MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga leo wanaingia kambini Bagamoyo kujiandaa kwa ajili ya mchezo dhidi ya Mgambo Shooting ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaofanyika Jumamosi kwenye Uwanja wa Mkwakwani.
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Tundu Lissu awalipua mgambo
MWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema anachukizwa na mgambo kuchangisha fedha za michango mbalimbali bila ya kujali kuwa wanazidisha umaskini kwa wananchi. Aidha, alisema kuwa serikali imekuwa...