Mgeni Benge: Nilicharangwa mapanga mume akishuhudia
>Kwa haraharaka ukihesabu makovu mwilini mwake yanafika 22. Makovu makubwa yanayotoa ishara kuwa mtu aliyekuwa akifanya kitendo hicho, alitumia nguvu mfano wa mtu aliyekuwa akikata mti mnene kwa ajili ya kuni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/mapanga-1-002.jpg)
MUME AMCHARANGA MAPANGA MKEWE!
Ashura Ramadhani anayedaiwa kucharangwa mapanga na mumewe. Na Haruni Sanchawa WIVU! Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Abdallah, mkazi wa Gongo la Mboto, Ilala jijini Dar es Salaam, anadaiwa kumkatakata kwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili mkewe Ashura Ramadhani kwa kinachodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Chanzo cha kuaminika kililiambia gazeti hili juzi kuwa Abdallah baada ya kufanya unyama huo, alikimbilia kusikojulikana...
9 years ago
Mwananchi27 Nov
Mke auawa kwa mapanga, mume akimbia
Mwanamke kazi wa Kijiji cha Mgunga, wilayani Igunga, Gama Jilala ameuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-__roV-ZxewA/XpgoLIUgx4I/AAAAAAALnJg/8C-8SeBuCBI3rDD-4464LcP5aVaWm-EYwCLcBGAsYHQ/s72-c/_111266929_corona.png)
MGENI, MGENII MGENI HUYU MGENI, ANAUA WAZEE, VIJANA MPAKA WATOTO
![](https://1.bp.blogspot.com/-__roV-ZxewA/XpgoLIUgx4I/AAAAAAALnJg/8C-8SeBuCBI3rDD-4464LcP5aVaWm-EYwCLcBGAsYHQ/s640/_111266929_corona.png)
Mgeni ulikua ni wimbo ambao ulimuelezea mgeni (Ukimwi) ambaye alikua ameingia kwa kasi nchini huku akiua watu kwa fujo. Wazee, Vijana hadi Watoto walikua wahanga wa mgeni huyu.
Sogea hapa; Mwishoni mwa mwaka jana, Desemba 31, 2019 watu walikesha wakifurahia kuuaga mwaka huo na kuukaribisha mwaka mpya wa 2020.
Watu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/80HUFF25OCBSu4fkYqRSz*43kkDSkxFaFFwoXkRjYV7fB0eIbrd2f0d5h0dylw0mFmMhFvEVk2a0GN-QcADOm8Qf9k3XTapZ/Kipigo.jpg?width=650)
FAMILIA YAKATWA MAPANGA
Stori: Waandishi Wetu Tukio hilo lilitokea Aprili 18, mwaka huu, maeneo ya Mkuranga mkoani Pwani ambapo awali familia hiyo ilipata taarifa kuwa kuna watu wanaonekana kwenye shamba lao wakikata miti na kujipimia maeneo, hali iliyowalazimu kufunga safari ili kujua watu hao walikuwa na lengo gani. Mmoja wa wanafamilia aliyejeruhiwa alitambukika kwa jina moja la Coline. Akizungumza na waandishi wetu, Karim alisema kuwa akiwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mK50tPAXydX9A8MbN1OajZ8hxu20rGydK-MjlK7MZuCOgtX0HKOb7UTk4Q-lkc1YRu*enT4bhjt4dooKPYe2D9Dv-pGg5y0W/mtoto.jpg?width=650)
MTOTO AOKOTWA AMEKATWA MAPANGA
Stori: Makongoro Oging’
MTOTO Ismail Barihegi, mwenye umri wa miaka 12 mkazi wa Kijiji cha Fukayosi wilayani Bagamoyo mkoani Pwani ameokotwa akiwa amekatwa mapanga baada ya kudaiwa kuipeleka mifugo yao katika mashamba. Mtoto Ismail Barihegi. Barihegi ambaye amelazwa katika Jengo la Mwaisela Wodi na 17, Muhimbili, alimwambia mwandishi wa habari hizi kwamba siku ya tukio (hakumbuki)alikuwa akichunga...
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Auawa kwa kucharangwa mapanga
WATU wasiojulikana wamevamia Kanisa la Pentekoste Assemblies of God ( PAG ) usiku wa kuamkia leo Tawi la Kagemu, Kata ya Kitendaguro Manispaa ya Bukoba na kumuua mwalimu ambaye ni...
10 years ago
Mwananchi22 Sep
Mlinzi acharangwa mapanga Kilwa
Mlinzi wa shamba la korosho, Abdalah Pwelapwela amevamiwa na kundi la watu waliomcharanga kwa mapanga wakimtuhumu kumjeruhi kwa risasi mwenzao walipovamia shamba hilo na kutaka kuiba korosho.
11 years ago
GPLAUAWA KIKATILI KWA MAPANGA
Stori: Victor Bariety, Geita
HUU ni unyama! Modester Shija, 55, mkazi wa Kitongoji cha Kamlale, Kijiji cha Nyawilimilwa, wilayani Geita, ameuawa kikatili kwa kukatwa mapanga. Tukio hilo la kuhuzunisha, lilitokea Machi 14, mwaka huu ambapo lilifanywa na watu wasiojulikana wakati mama huyo akiwa jikoni kwake akitayarisha chakula cha usiku. Ilielezwa kuwa siku ya tukio, majira ya saa 1:30 usiku, Modester akiwa jikoni, walifika...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I0fvYV0V5N7rqsu52BQfHeq6OltTGKM8PteV*HTggrIaDAbHdh4*i-vzd4XeezkB-5qJoeYFa5QmRzxPQkArwqD4Ot3uj1Oc/MZEE.jpg?width=650)
MKE AKATWA MAPANGA, HAWARA ATAJWA
Stori: Timoth Itembe, TARIME
MAMA mmoja mkazi wa Ronsoti, Kata ya Nyamisangura, wilayani hapa, Eliza Marwa,28, hivi karibuni amenusurika kuuawa na mumewe, baada ya majirani kufika kumuokoa kutokana na kukatwakatwa mapanga. Mariamu akiugulia maumivu. Mama huyo aliliambia gazeti hili akiwa katika Hospitali ya Wilaya Bomani, Tarime kuwa mume wake Marwa Ogora alimkatakata mapanga baada ya kumtuhumu kuwa akikwenda kwa hawara yake...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania